Baadhi ya meli zimekataa kutia nanga Dar es Salaam port kwa msongamano. Zimeacha mizigo Mombasa port ili kufanyiwa transhipment

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Ukiona baadhi ya meli zinaprefer kuwacha mizigo Mombasa port kuliko kupanga foleni ndefu huko Dar port ujuwe kwamba Malazy wameshindwa kabisa kuliendesha bandari lao.

======

Mombasa port transshipment business grows​

Different shipping lines have opted for Mombasa port due to what they claim are delays at the Dar es Salaam port.

The Port of Mombasa is recording increased transshipment business as more ships evade berthing “delays and waiting” at the Dar port.

Over the past month, Mombasa has handled more than 10 feeder ships transshipping Port of Dar es Salaam containers advancing her opportunities for a regional transshipment hub
.

MSc Shipping Line, the second global liner, has confirmed using the port of Mombasa until the situation normalises in Dar es Salaam. Others include CMA CGM and Maersk Shipping Lines.

Statistics show that at the beginning of this month 7,894 Twenty Feet Equivalent Units transshipment to Dar landed in Mombasa to await nomination for second carriers to the ports of Dar and Zanzibar.

KPA general manager (operations) Sudi Mwasinago says among the lines discharging in Mombasa for Dar es Salaam, MSC accounts for 75 percent of the volumes while CMA CGM and Maersk take 24 percent and nine percent respectively. "There has been a significant rise in transshipment business," said Mr Mwasinago

Source: Business Daily
 
Wenzetu hawa wameshindwa kabisa kuacha desturi yao ya uzembe uzembe, wao hupenda kuongea ongea sana ila matendo sifuri. Sisi tuendelee kupiga hela kupitia mgongo wa uzembe wao maana inaonekana upo kwenye vinasaba kabisa na haiji siku wabadilike.
 
Haahaha. Uzuri ni kwamba sisi tunajua kukula na kipofu. Hatumgusi kwenye mikono wakati tunakula naye. Kipofu anafurahi anadhani anakula peke yake kumbe hajui kwamba chakula chake kinaliwa na jirani.
Cc chongchung
 
Tanzania inashindwa kujiongeza ni jambo la kusikitisha. Ilibidi tushike ukanda wote huu kwenye ishu za bandari yani kila nchi itamani kupitishia mizigo hapa.

Ila sasa dah
Mumezungukwa na nchi majirani sijui nane au tisa. Zingine hata ni landlocked countries kama Malawi, Zambia na Uganda ila bado mnajikokota. Yaani mna fursa kibao ya kusambaza mizigo kila kona ila bado mnajikokota tu.
 
Kuna ile barabara fulani ilikua tuwaingie kiaina ili kufikia hayo mataifa ya huko, sijui huo mradi ulifikia wapi.
 
Unajua kujikokota ww. Hii mambo mnaongelea kiuwepesi wepesi sana. You don't know what is really happening. The influx of business is growing kuliko handling capacity waliyoizoea. So chill guys, mambo bado.
 
Mumezungukwa na nchi majirani sijui nane au tisa. Zingine hata ni landlocked countries kama Malawi, Zambia na Uganda ila bado mnajikokota. Yaani mna fursa kibao ya kusambaza mizigo kila kona ila bado mnajikokota tu.
Shamba la bibi ndugu zanguni..hii nchi iko na laana..

#MaendeleoHayanaChama
 
Hili tatizo liko sana lina cost makampuni ya usafirishaji pesa nyingi na bado tunaimba nyimbo Bandari ndio utaona umuhimu mkubwa wa kuwa na Bandari Bagamoyo hii ya Dar ni majanga hatuwezi kushindana kwa ufanisi huu haiwezekani.

Hata Airport zenye ufanisi bora ni ile hali ya kuondoka na kufika inakuchukuwa muda gani mpaka kutoka nje au kuingia ndani ndio ubora wa airport.
 
Kuna ile barabara fulani ilikua tuwaingie kiaina ili kufikia hayo mataifa ya huko, sijui huo mradi ulifikia wapi.
Nadhani umekaribia kukamilika. Ila sijapata updates kwa muda sasa. Nitachunguza nione ujenzi umefikia wapi.
 
Tanzania inashindwa kujiongeza ni jambo la kusikitisha. Ilibidi tushike ukanda wote huu kwenye ishu za bandari yani kila nchi itamani kupitishia mizigo hapa.

Ila sasa dah
Pambaneni kwanza ili kuepuka kufa njaa
 
Mombasa port runs this region. its better and more efficient.

Now, I am waiting for geza to come with a useless YouTube clip about one of the useless ports on Tanzania
 
Ukiona baadhi ya meli zinaprefer kuwacha mizigo Mombasa port kuliko kupanga foleni ndefu huko Dar port ujuwe kwamba Malazy wameshindwa kabisa kuliendesha bandari lao.

Mombasa port transshipment business grows​

Different shipping lines have opted for Mombasa port due to what they claim are delays at the Dar es Salaam port.

The Port of Mombasa is recording increased transshipment business as more ships evade berthing “delays and waiting” at the Dar port.

Over the past month, Mombasa has handled more than 10 feeder ships transshipping Port of Dar es Salaam containers advancing her opportunities for a regional transshipment hub
.

MSc Shipping Line, the second global liner, has confirmed using the port of Mombasa until the situation normalises in Dar es Salaam. Others include CMA CGM and Maersk Shipping Lines.

Statistics show that at the beginning of this month 7,894 Twenty Feet Equivalent Units transshipment to Dar landed in Mombasa to await nomination for second carriers to the ports of Dar and Zanzibar.

KPA general manager (operations) Sudi Mwasinago says among the lines discharging in Mombasa for Dar es Salaam, MSC accounts for 75 percent of the volumes while CMA CGM and Maersk take 24 percent and nine percent respectively. "There has been a significant rise in transshipment business," said Mr Mwasinago

Cc chongchung
Mnatuhujumu nyie
 
Wenzetu hawa wameshindwa kabisa kuacha desturi yao ya uzembe uzembe, wao hupenda kuongea ongea sana ila matendo sifuri. Sisi tuendelee kupiga hela kupitia mgongo wa uzembe wao maana inaonekana upo kwenye vinasaba kabisa na haiji siku wabadilike.
Sio uzembe bali bandari imezidiwa pia bado hakuna eneo la kutosha la kuweka mizigo yaani dry port
 
Ipo inajengwa sema ni kwa slow pace,inaitwa Kwala
Naijua Kwala ICD inayojengwa. Simaanishi hiyo ICD bali container terminal moja kubwa hapo hapo Dar port. Mnastahili kujenga moja jitu la container terminal ambalo linaweza kubeba containers 450,000 kwa mwaka kama hii ya Kenya inayojengwa ambayo ni jitu la container terminal ambalo litabeba containers 450,000 kwa mwaka. Linaitwa second container terminal

1649997544269.png

Cc Geza Ulole
 
Back
Top Bottom