KAMPUNI inayomilikiwa na kampuni ya Gautam Adani, ambaye ni miongoni mwa matajiri wakubwa duniani, imenunua Kituo cha Kimataifa cha Huduma za Makontena Tanzania (TICTS), ambacho wakurugenzi wake waanzilishi ni pamoja na wafanyabiashara wazawa Nazir Karamagi na Yogesh Manek.
Thamani ya mkataba...
Tume ya Ushindani wa Haki Tanzania (FCC) imefichua kuwa Adani tayari ameshapewa dili la kuendesha kontena la bandari ya Dar es Salaam, ingawa hakuna tangazo lililotolewa na TPA.
Ununuzi huo unamaanisha kuwa TICTS inaweza kufanya COMEBACK YA KUHUSIKA katika bandari ya Dar es Salaam, lakini chini...
Kwa habari za kuaminika nikwamba kwasasa kuna mgomo unaendelea TPA Terminal II (TICTS) Madereva wamegoma kutokana na utendaji mbovu na system ya TPA kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutoka TPA I na TPA II.
Mamlaka ziseme ukweli na zitafute ufumbuzi haraka wa hili tatizo.
Kuzuia waandishi wa...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Bukoba Vijijini na Waziri wa Nishati na Madini, Nazir Karamagi, amesema itakuwa ni jambo la ajabu kwa Tanzania kutochangamkia fursa ya kumpata mwekezaji mwingine katika bandari ili kuleta ufanisi wa utendaji na mapato.
Karamagi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha...
Kuna mtu kanifata inbox akilalama Mimi nimepewa hela kukataa DP world.
Sijapewa chochote na mtu yoyote. Mimi ni mmoja ya watu ambao ulikuwepo wakati AirTanzania inasambaratika Kuna muda kwenda Mwanza kwa ndege ilikuwa hadi laki 9 one way.
Tulikuwepo wakati TRC linabinafshishwa likabakia chumba...
Kume kuwa na utetezi WA Wanaotetea nkataba WA DPW kuwa ukodishaji WA Bandari sio WA mara ya Kwanza , Kwa kutolea mfano WA Mkataba WA TICTS ambayo ilikuwa na muungano na Hutchinson ya Singapore , bula kuweka utofauti WA mikataba hii.
Mosi nkataba WA TICTS haukuwa na IGA lakini huu Una WA DPw Una...
TICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000.
Walipewa magati 08,09,10 na 11 na bandari kavu za kurasini na Ubungo amabo ni 75% ya ukubwa wa biashara ya bandariya Dar es...
Swali la msingi liko hapo.
TICTS walipewa miaka 20, waliposhindwa na mkataba kuisha wamenyimwa nyongeza ya mkataba. Je, hao DP World mmewapa muda gani? Ili nao wakishindwa tutafute mwekezaji mwingine na kama watafanikiwa waongezewe mkataba kwa mujibu wa sheria za nchi.
Hoja ya watanganyika...
Akielezea suala linaloendelea kuhusu mkataba wa DP-World na Tanzania ametoa sababu kuwa ni utendaji kazi mdogo wa TICTS ambao umesababisha meli nyingi ziwe zinashushia mizigo Lamu, Mombasa au Afrika kusini hali ambayo imepunguza wateja wa Bandari ya Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa...
TICTS mmebembelezwa sana juu ya kuongeza ufanisi wa kazi zenu. Mliongezwa mkataba wa miaka mitano ili mboreshe lakini mmeshindwa.
Mlipewa proposal muongeze winch za kupakia na kupakua mzigo badala yake mkaendelea kufanya kazi kienyeji. Yaani mnapata pesa nyingi lakini hamtaki kuwekeza...
Salaam Wakuu,
Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam.
Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua Makasha kama ilivyokuwa kwa TICTS si kwamba anapewa bandari yote ya Dar, anapewa kijisehemu tu.
Kwahiyo...
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), imesema kuanzia Januari Mosi, 2023 mamlaka hiyo italiendesha eneo lililokuwa likitumiwa na Kampuni Binafsi ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS).
Kauli hiyo, imetolewa leo Jumatano Desemba 21, 2022 na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Juma Kijavala...
TANZANIA imekuwa kiungo muhimu kwanchi zisizokuwa na bandari katika ukanda wa Afrika mashariki na kati.
Bandari zake za Dar es Salaam, Tanga naMtwara zimekuwa lango muhimu la bidhaa na biashara kwa nchi za Zambia, Zimbabwe, DRC, Malawi, Burundi, Rwanda na hata Uganda.
Hivi Karibuni nikiwa...
Karamagi wa TICTS' ahaha kwa wahariri, wabunge
* Ni baada ya mkataba wao kufutwa bandari ya Dar es Salaam
* Kampuni ya PR ya Capital Plus yapewa kazi kuisafisha TICTS
* Wapanga uhujumu wa huduma za makontena bandarini baada ya kuenguliwa
WAZIRI mstaafu Nazir Karamagi na mfanyabiashara Yogesh...
Bodi ya Mamlaka ya bandari nchini imekubaliana kutohuisha mkataba wa kampuni ya kupakua na kupakia makontena bandarini ya TICTS na badala yake itatafuta muwekezaji mwingine. Chanzo cha taarifa kinasema pande hizo mbili zilishindwa kufikia makubaliano baada ya mkataba wa miaka 5 kufikia tamati na...
TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa
* Yadondosha makontena matatu baharini
* Meli zashindwa kushusha mafuta bandarini kwa siku kadhaa
KAMPUNI ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) imeisababishia taifa hasara kubwa baada ya kudondosha...
Ni wazi Ticts hana chake tena bandarini na hii ni baada ya kampuni ya waarabu wa Dubai Port kufanikiwa kuwashawishi watawala ili wawape Mkataba wa kushusha na kupakia makasha shughuli ambayo Ticts walikuwa wanaifanya hapo awali.
NB: Ile picha ya mama pale Burj inaendelea kulipa.
The terrible performance of TICTS in handling containers at the Dar es Salaam Port over the past 20 years has spillover effects on the vast economic arrays of Tanzania’s economy.
The underperformance of the Dar es Salaam port has cost the government trillions in loss of revenues as there has...
The terrible performance of TICTS in handling containers at the Dar es Salaam Port over the past 20 years has spillover effects on the vast economic arrays of Tanzania’s economy.
The underperformance of the Dar es Salaam port has cost the government trillions in loss of revenues as there has...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.