mbezi louis

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    KERO Sehemu za kuvuka Morocco, Ubungo na Mbezi Louis ni mateso kwa Wananchi

    Salaam Wadau, Kama umewahi kufika Ubungo, Morocco na Mbezi Louis utakutana na kivuko cha watembea kwa miguu kinachopita juu ya barabara. Japokuwa sehemu hizo zilikuwa na nia ya kurahisisha uvukaji kwa Watembea kwa miguu, lakini namna vilivyotengenezwa vimekuwa kama adhabu kwa wavukaji wake...
  2. pdozen_nation

    Anaitajika dereva bajaji wa hesabu Mbezi Louis

    1. Awe Mtanzania kwenye kitambulisho cha NIDA 2. Awe na leseni ya udereva 3. Aje na mashaidi wawili Atume CV yake kwenye email @pdozen74@gmail.com
  3. Z

    Serikali inapaswa ianzishe Kariakooo nyingine maeneo ya Mbezi Louis

    Tatizo kubwa ni kuwa na soko kubwa eneo moja ndio maana wafanyabiashara wanapata jeuri ya kuivimbia Serikali, kuna haja sasa kwa Serikali kuanzisha soko kubwa la kimkakati katika maeneo ya Mbezi Mwisho karibu kabisa na stendi ya mabasi ya Magufuli. Tumeona adha iliyo sababishwa na...
  4. D

    Stand ya daladala Mbezi Louis imegeuzwa soko?

    Ni jambo la kusikitisha sana Stand ya daladala Mbezi luis kugeuzwa soko, hasa nyakati za Jioni kuanzia saa 12 Jion na kuendelea. Ukipita stand ya Mbezi luis kuanzia barabara ya kwenda Kinyerezi kunakuwa na foleni kubwa sana daldala haziingii ndani ya stand zinapaki na kushusha abiria njiani kwa...
  5. Mwachiluwi

    Kero ya maji Mbezi Louis kwa Yusuph

    Morning, Now hii imekuwa kero kubwa huku Mbezi maji yamefunguliwa juzi leo morng yamekatika na kurudi kwake ni week. Tumekaa week bila maji the yanakuja kufunguliwa two days yanakatika na hawafungi mpaka week ipete imezidi sasa. Af mwisho wa mwezi bill kubwa ase silipi this time.
  6. Miss Zomboko

    INAUZWA Compressor Inauzwa Mbezi Louis

    Compressor LITA 300 Inatumia Jenereta + PETROL Horse 6 750,000🔥🔥🔥 0688986066 MBEZI-MWISHO
  7. zugimlole

    Sticky: Miundombinu inayojengwa Mbezi Louis tukutane 2027

    Habari Wanajamvi hii ni kuweka kumbukumbu tu Kwa wasiojua Mbezi ndio kuna Stendi ya Magufuli pia kuna stendi ndogo ya daladala baada ya miaka 5-10 kwa miundombinu inayojengwa Mbezi haitoweza kukidhi kutakua na foleni zaidi ya ile iliyokuwa Ubungo. Tanroad wamejitahidi lakini sidhani kama...
  8. Madihani

    Mbezi Louis: Mabadiliko makubwa yaliyotokea ndani miezi michache baada kifo cha Dkt. Magufuli

    Habari za muda huu JamiiForums. Picha zinawekwa hapa kwahio hakuna haja ya maneno mengi. 1.Mbezi Louis ya Mwendazake (Dictatorial Regime). 2. Mbezi Louis ya Samia Suluhu.
  9. Donnie Charlie

    Kero: Msongamano wa vibanda vya machinga Mbezi Mwisho unaziba maeneo ya waenda kwa miguu

    Msongamano wa vibanda vya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga hadi kuziba eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Mbezi Mwisho, Manispaa ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, kitendo kinachosababisha usumbufu kwa wapita njia na vyombo vya moto. PICHA: SABATO KASIKA Chanzo: Nipashe.
  10. M

    Kituo cha Mabasi Magufuli bei ya pango hadi Tsh. 1,200,000/= kwa siku

    Sasa kama mjasiriamali amepewa fremu ili auze maji na soda ndani ya kituo ghorofani kwa kodi (rent) ya Tsh. 36,028,200/= kwa mwezi sawa na Tsh. 1,201,000/= kwa siku uhalisia uko wapi! Machinga wanauza maji na soda hizo hizo ndani na nje ya kituo hicho hicho kwa rent ya kitambulisho chake cha...
  11. Analogia Malenga

    Wapiga debe 30 wakamatwa stendi ya Magufuli

    Wapiga debe 30 wamekamatwa katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli kilichozinduliwa siku mbili zilizopita na Rais John Magufuli. Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Februari 26,2021 Meneja wa kituo hicho, Maira Mkama amesema wapiga debe waliokuwa Ubungo, Riverside na Mbezi wamevamia na kusababisha...
  12. R

    Maswali kuhusu matumizi ya stendi mpya ya mabasi Mbezi (so-called Magufuli)

    Kuna tangazo linasema safari zote zitaanzia stend mpya Magufuli. Tangazo linazidi kusema mabasi makubwa wakodishe mini bus kuwasafirisha abiria kuwaleta stend mpya au wawaelekeze abiria kuja Mbezi. Sasa swali: 1. Anayekwenda Mtwara na yuko Mbagala, naye aje Mbezi? maana tangazo linasema stend...
  13. K

    Maelekezo aliyotoa Rais Magufuli Mbezi Louis ni porojo za siasa, nashusha hoja

    Sikubaliani asilani na maelekezo aliyoyatoa kwa watendaji wake akizindua kituo cha mabasi huko nyumbani, Mbezi Louis lililopewa jina lake. Kwanza Magufuli amesema Stendi hiyo ni ya Kimataifa (International Bus Stop) ambapo mabasi yatafika hapo na abiria kutoka mataifa mbalimbali. Magufuli...
  14. DeepPond

    Baada ya kauli ya Rais, nawasikitikia sana waliochukua fremu za biashara kwenye ya stendi kuu ya mabasi Mbezi

    KWA KAULI YA JPM, Nawaskitikia sana Waliochukua fremu za biashara ndani ya stend kwa gharama kubwa IMEKULA KWAO. Machinga na Mama lishe watauza bidhaa ile Ile kwenye kibaraza cha fremu uliolipia mwenyewe kwa pesa zako, Wateja hawataona umuhimu wa kuingia ndani ya frem lako,Na watauziwa...
  15. J

    Kituo cha mabasi ya mkoani Mbezi Louis chakamilika, kufunguliwa rasmi 25/02/2021, Ubungo kufungwa rasmi Jumatano

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Kunenge amesema Jumatano hii ndio siku ya mwisho kwa kituo cha Ubungo kutumika na kuanzia Alhamis kituo kipya cha Mbezi kitaanza kutumika. Naye kamanda Mambosasa amesema wapiga debe wa Ubungo hawatakiwi kuonekana stendi mpya ya Mbezi na kwamba stendi hiyo...
  16. Q

    Waziri Jafo apendekeza Stendi mpya ya Mbezi ipewe jina la Dkt. John Magufuli

    Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo, amesema kutokana na stendi mpya ya mabasi ya Mbezi Luis kuwa na hadhi ya kimataifa, anapendekeza ipewe jina la Dkt. John Magufuli kama sehemu ya shukrani na kuthamini jitihada alizofanya, ambapo amesema atamuomba Rais aridhie ombi hilo. ============ Waziri...
  17. L

    Tahadhari: Msilipue ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi Mbezi Louis

    Baada ya muda mliopewa kwisha jana tarehe 30/11/2020, na ujenzi kutokukamilika bado unaendelea japo kuwa nje ya agizo la Mh. Rais. Ushauri wangu ni kuwa msilipue kazi bora kuomba muongezwe muda kuliko ku-force halafu mwishowe mkaharibu au ubora ukapotea. Hiyo ni stendi ya kimataifa ni sawa tu...
  18. Hazard CFC

    Maeneo ya biashara Mbezi Louis stendi mpya walengwa ni kina nani?

    Frem ya mita 3 kwa 4 ni milion 5 kwa kodi ya mwezi. Hiyo hapo ni kwa ajili ya E.MONEY shops(uwakala) sijui mtu atafanya biashara kiasi gani kuweza kupata kiasi hicho cha kodi,mshahara wa mfanyakazi/kodi za serekali, faida n.k Picha ya tatu ni mita za mraba 42 eneo la cafe na fastfood bei ni...
Back
Top Bottom