mkuu wa nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Miaka ya 64 ya Rais Samia, safari ya kusisimua kutoka Karani wa Masijala hadi Mkuu wa Nchi

    Na Bwanku M Bwanku. Jumamosi Januari 27, 2024 Rais wa Awamu ya 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alitimiza miaka 64 toka kuzaliwa kwake akihudumu nyadhifa ya juu kabisa nchini toka achukue mikoba hiyo Machi 19, 2021 baada ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya 5...
  2. Chachu Ombara

    CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  3. Mkunazi Njiwa

    Rais Samia: Nakataa Ombi la Mbunge Wa Kilwa Kusini, Ally Kisinge kuwaridhisha wapiga kura hata pasina na uhalisia

    Mh.Rais Samia ameendelea kuwafundisha watanzania haki zao za kiraia....UKWELI UKWELI UKWELI. Amelikataa ombi la mh.mbunge wa Kilwa Kusini ndg. Ally Kisinge la kulifuta eneo lililo zaidi ya kilomita moja kutoka pwani linalomilikiwa kisheria na kampuni ya kiwekezaji ya KILWA YARK CLUB. Mbunge...
  4. Nyankurungu2020

    Ufisadi hauwezi kuisha sababu mkuu wa nchi ana 'double standard'. January Makamba alipiga dili la Mahindira Tech hakung'aka

    Mahindira Tech walikula Bil 71 za bure kwa madai eti ufanisi wa Tanesco utaongezwa . Leo hii January yupo tu kama mteule wa rais. Hatuoni ufanisi wa Tanesco zaidi ya Mgao wa umeme kuzidi. Watumishi wa Halimashauri wakipiga dili Mkuu wa nchi anag'aka. Hii ni double standard 👇
  5. Y

    Kuhusu bandari, tatizo ni wakuu wa mashirika au tatizo ni mkuu wa nchi?

    Salute, mie ninajiuliza, ni kweli watanzania hatuwezi kuendesha mashirika yetu ya umma? Kama tunakiri wazi hatuwezi kuendesha bandari, je tunawezaje kuendesha nchi? Najiuliza kwanini kwa Hayati Magufuli mashirika ya umma mpaka yalikuwa yanatoa mpaka gawio? Kwa mfano TTCL, leo imetangazwa...
  6. M

    Aibu ya Tanzania. Mkuu wa nchi anazindua minara ya bil 270+ huku wananchi vijijini hawana maji wala huduma za afya za uhakika

    Watu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika. Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
  7. Bunchari

    Challenge gani umfanya mkuu wa nchi kujitokeza public ili kuomba kuombewa?

    Habari wakuu,hamjambo? Kumekuwepo na trend ya wakuu wa nchi au wafuasi wao kujitokeza adharani au ktk mitandao yao ya kijamii kuomba kuombewa. Msingi wa swali langu Ni huu, ili kiongozi kufikia hali ya kuomba kuunganishwa na muumba wake kwaajili ya ufanisi wa kazi anakua amepitia changamoto...
  8. Izizimba

    Kiongozi mkuu wa Nchi analalamika wananchi wafanyaje?

    Salaam, Nimefuatilia hotuba nyingi za kiongozi mkuu Nchi mara nyingi analalamika sana kuhusu watu walio chini yake lakini hachukui hatua madhubuti yeye ni kulalamika tu sijui shida ni nini? Najiuliza maswali mengi sana. 1. Yawezekana hana mamlaka kamili au kuna watu wana power kumzidi. 2...
  9. Nyankurungu2020

    Rais Samia tunasheherekea uhuru wa Tanganyika gizani? Hakuna umeme mitaani. Hii aibu

    Leo watoto walitakiwa waone kwenye luninga historia ya taifa lao. Lakini wewe na January mmekata umeme. Kwa nini msituonee huruma japo hata kwa leo tu siku ya uhuru. Watu wapo nyumbani wanahitaji kuangalia luninga na kujikumbusha na uhuru wa taifa lao
  10. FRANCIS DA DON

    Nauliza tu: Hivi ni kweli Mkuu wa nchi anashindwa kusimamia na kuwajibisha watendaji wake au anafanya makusudi kuwalea?

    Mimi huwa si mpenzi sana wa kuanzisha mada kwenye jukwaa la siasa, maana huwa naona vurugu ni nyingi sana humu, watu huwa hawajadili kwa hoja, bali ni kujibu jibu tu arguements kwa vijembe kama mataahira flani hivi. Ila leo nimeshindwa kuvumilia, inabidi niulize. Hivi inawezekanaje mtu amepewa...
  11. Nyankurungu2020

    Mkuu wa Nchi hana huruma kwa raia wa hali ya chini? Hali ya Chakula nchini ni mbaya

    Debe la mahindi linacheza kwenye elfu 22. Kipunga na maharage ndio kipepaa vibaya sana. Leo hii mchele ni sh 3000 na maharage elfu 3000. Mkuu wa nchi yupo kimya na anachukulia poa tu. Wananchi wa kawaida hawana uhakika wa kula
  12. Analogia Malenga

    Rais Samia ampinga Shaka kuhusu kuzaa zaa

    Hilo limetokea wakati Rais Samia Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe, leo Oktoba 16, 2022 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka aliwasisitiza Wananchi kuzaa zaidi kwa kuwa madarasa na vituo vya afya vinajengwa na wawekezaji wanaongezeka Nchini Rais Samia akajibu “Hilo...
  13. The Burning Spear

    Kauli ya vumbi la Congo kutoka kwa Mkuu wa Nchi inafikirisha sana

    Africans tunaswagwa Tu kama ng'ombe hatujui tunaelekea wapi. Ila anatuswaga ndo anajua anakotupeleka. Hoja ya msingi hivi ni kweli nguvu za kiume ndo tatizo kubwa kwa vijana wa kitanzania. Mkuu wa Nchi unaamka unauambia ulimwengu vijana wangu Wana upungufu wa nguvu za kiume kwamba nalo ni...
  14. Nyankurungu2020

    Inashangaza mkuu wa nchi kutaka wananchi wake wawe wanakula lishe bora wakati hawawezi kumudu bei za vyakula wasizoweza kuzimudu.

    Leo hii bei ya nafaka kama mchele na unga imepaa maradufu kabla ya ya huyu mkuu wa nchi kuingia madarakani. Kabla ya kuingia madarakani mchele ulikuwa ukiuzwa sh 1200 kwa kilo . Sasa hivi Mchele unauzwa sh 3600 kwa kilo. Huko mitaani wananchi wanalia juu ya ugumu wa maisha. Maana uchumi...
  15. Nyankurungu2020

    Taifa lolote linapokuwa na mkuu wa nchi ambaye hana huruma kwa raia wake ni taifa linaloekea pabaya. Raia wa hilo taifa watapata magumu na taabu kubwa

    Raia wanalia kuwa kwa sasa hali ya kiuchumi ni mbaya. Mzunguko wa pesa ni duni na kila raia anapata magumu ya maisha. Rais hajali na hatusikii dokezo za kiuchumi kusaidia wananchi. Police brutality? Mbona yupo kimya? Tozo za kila namna ambazo zinamnyonya raia wa chini. Rais yupo kimya bila...
  16. L

    Ukweli mchungu ni kuwa Tundu Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi hii, hana sifa za kuwa Mkuu wa Nchi

    Tundu lisu Hawezi akawa Rais wa Nchi hii ya Tanzania, Hata Kama angezaliwa kabla ya Uhuru na kuwepo wakati huo na ikatokea uchaguzi ,bado Lisu asingepewa nafasi ya kuwa Mkuu wa nchi hii ya Tanzania kwa kuwa Lisu anakosa sifa za kiuongozi anazopaswa kuwa nazo Mkuu Wa nchi. Tundu Lisu ni Mtu...
  17. Nyankurungu2020

    Tunapokuwa na taifa ambalo mkuu wa nchi anakaa kimya pale raia wake wanapouliwa kinyume cha sheria hilli Tataizo kubwa. Kwanini yupo kimya?

    Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT. Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT. Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi...
  18. Nyankurungu2020

    Mkuu wa nchi yoyote anayeingilia majukumu ya Bunge kiasi cha kushawishi kiongozi wa Bunge ag'olewe, lazima ana nia ovu. Na haya ndio matokeo yake

    Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki. Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali...
  19. R

    Kwa kosa hili, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tunamkosea sana

    Habari wakuu, Hivi ni nani humu JF hajawahi kudanganya? Maana inachukuliwa kana kwamba PM alifanya kitu ambacho kigeni sana, Kuna watu wengi tu humu JF wamewahi danganywa kuhusu kuugua au vifo vya watu wao wa karibu ili mradi tu kuweka mambo sawa kwanza. Hayati JPM alikuwa mkuu wa Nchi, Amiri...
  20. M

    Bashungwa acha kumdanganya mkuu wa nchi, umeona deamenor yake. Kanda ya ziwa wana kitu moyoni

    Nimekucheki unaongea pumba mbele ya mkuu wa nchi. Wewe ni unajifanya hujui kusema kweli? Kwa nini usikae kimya. Unaona kabisa deamenor ya mkuu wa kaya hapo Bukoba hainyonyeshi kuwa anakubalika kanda ya ziwa alafu unaweka uongo wa kumpamba.
Back
Top Bottom