ukuaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Kazembe

    Posta kuendeshwa kizamani Je awaoni ukuaji wa teknologia?

    Posta inakwama wapi?? Katika pita yangu mtandaoni mwezi wa 3 mwishoni nikadownload App ya posta ukweli huduma za posta nazihitaji na hapo awali nilikuwa nikitumia sanduku la rafiki yangu katika kudownload ile App nikaona kuna uwezekano wa kuanzisha sanduku ukiwa popote pale yaani wakimaanisha...
  2. BARD AI

    Tanzania yawa miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri kiuchumi Afrika 2024. Yazipiku Kenya na Uganda

    Nchi 3 za Afrika Mashariki zimetajwa katika orodha hiyo ambapo zitaongozwa na Rwanda inayotarajiwa kupata Ukuaji wa 7.2% ikifuatiwa na Tanzania 6.1% na Uganda itakayokua na Ukuaji wa Uchumia wa 6%. Afrika itachangia uchumi wa nchi kumi na moja kati ya 20 zinazokuwa kwa kasi zaidi duniani...
  3. JanguKamaJangu

    Ukuaji wa pato la ndani unaotazamiwa kutokea kwa nchi za Afrika Mwaka 2024, Tanzania yashika nafsi ya tatu

    On one side of the coin, the depreciation of African currencies against major currencies, particularly the US dollar, turned into a major headache affecting trade balances, inflation rates, and what people could buy with their money. Countries like Nigeria, Kenya, and Zambia saw their currencies...
  4. GANJIBHAAI

    Ni kwanini kwenye ukuaji wa tasnia ya mziki wa kizazi kipya mchango wa shule za sekondari miaka ya 90 haupewi uzito wake?

    Mimi ni mkereketwa mkubwa wa mziki wa kizazi kipya hasa Hip Hop, Soul and R&B toka miaka ya tisini, nimeshuhudia mabadiliko makubwa ya mziki huu kuanzia matumizi ya vinyl, tapes, disc, mp3, mp4 mpaka leo hii. From turntables, radio cassette, walkman cassette, disc player to all blessed...
  5. D

    Kuchelewa hatua za ukuaji Kwa mtoto (Delayed milestone) na ufumbuzi wake. Mtoto anapozaliwa anatakiwa kukua kimwili, kiakili, lugha na kijamii

    Kuchelewa hatua za ukuaji Kwa mtoto (Delayed milestone) na ufumbuzi wake. Mtoto anapozaliwa anatakiwa kukua kimwili, kiakili, lugha na kijamii. Wengine hukua haraka au hufuata hatua za ukuaji pasipo kuchelewa ila Kuna wale ambao kutokana na sababu mbalimbali huchelewa kuendana na hatua za...
  6. Analogia Malenga

    Tanzania imepata ukuaji mdogo wa GDP ukilinganisha na Rwanda na Uganda kuanzia mwaka 2021

    Katika ripoti ya NBS inayoonesha masuala mbalimbali ya GDP kwa kipindi cha kuanzia April hadi Juni 2023, imeonesha ukuaji wa GDP wa Tanzania umeshuka ukilinganisha na Rwanda na Uganda. Tanzania imefananishwa na Rwanda na Uganda kwa kuwa ndio nchi pekee katika Jumuiya ya Africa Mashariki...
  7. Ammarah

    SoC03 Uwezo wa Afrika kwa Ukuaji na Maendeleo

    UTANGULIZI Katika dunia ya leo viongozi wengi hawawajibiki sana majukumu yao, wanachosema ni tofauti na wanachofanya, hii ndiyo sababu watu wengi wanashindwa kuwaamini. Wengi wetu tunajua kuwa haiwezekani kuweka imani yako kwa mwanasiasa lakini kwa njia fulani sio watu wote sawa...
  8. F

    SoC03 Ukuaji wa technolojia kama chachu ya maendeleo kwa nchi za kiafika

    Dunia inaenda kasi sana kwenye swala la maendeleo ya teknologia. tumekuwa tukishuhudia ongezeko kubwa sana la uanzilishaji na uendelezaji wa teknologia, pamoja na kuwa maendeleo haya yameshuhudiwa zaidi kwa nchi za dunia ya kwanza pia sisi bara la afrika hatujaachwa mbali maendeleo haya...
  9. Baltazary Twati

    SoC03 Ajiralink.com - kuunganisha vijana na fursa za ajira na ukuaji wa kifikra na utendaji kwa vitendo

    Kichwa cha habari: Ajiralink.com - Kuunganisha Vijana na Fursa za Ajira na Ukuaji wa kifikra na utendaji kwa vitendo. Kwa kuzingatia vigezo na masharti yaliyotolewa, naomba kutoa andiko kuhusu wazo la Ajiralink.com, jukwaa litakalolenga kuondoa changamoto ya upatikanaji wa ajira, nafasi za...
  10. TheForgotten Genious

    Ipi ni kesho ya Taifa katika ukuaji wa Sayansi na teknolojia?

    Kenya kesho wanazindua na kurusha Satellite yao walioipa jina Taifa-1 na ikumbukwe Kenya wana Laptops na desktops zao zinaitwa taifa. Tanzania haieleweki katika uga wa elimu,katika ukuaji wa sayansi na teknolojia ndio kama mfu,hawana mpango maalumu wakuvumbua vipaji bunifu katika teknolojia...
  11. Rashda Zunde

    Rais Samia alivyochochea ukuaji wa uwekezaji kwenye sekta mbalimbali nchini

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa taarifa kuhusu mwenendo wa hali ua uwekezaji nchini katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais wa awamu ya sita, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na kueleza kwamba jumla ya miradi 575 imesajiliwa sawa na ongezeko la asilimia 26. Mchanganuo wa...
  12. Sildenafil Citrate

    Ukuaji wa Sayansi na Teknolojia uzingatie Usawa pasipo Kubagua Wanawake

    Wanawake wanahitaji teknolojia kwa sababu sawa na wanaume: kukuza ujuzi wao wa soko, kuboresha fursa zao za kiuchumi, kushiriki katika kufanya maamuzi sahihi, kujitangaza kama watu binafsi au Kwa nia ya kujifurahisha tu. Wanawake wanahitaji teknolojia kushiriki katika ulimwengu wa kisasa kwa...
  13. L

    Simu janja kutoka nchini China zachochea ukuaji wa uchumi wa kidijitali Afrika

    China ni nchi inayoendelea ambayo imepata mafanikio makubwa sana katika maendeleo ya teknolojia, hususan katika teknolojia ya mawasiliano. Simu janja zinazotengenezwa nchini China zimekuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya uchumi wa kidijitali katika nchi nyingi zinazoendelea hususan za...
  14. RAFA_01

    Tuzungumze sababu zinazorudisha nyuma ukuaji wa e-commerce(Biashara za mitandaoni Afrika)

    Kabla hatujaenda kwenye maada ngoja tumsaidie maana ya e-commerce kwa asiefahamu: (In a layman way) e-commerce ni uuzaji/ununuaji wa bidhaa au huduma kwenye mtandao mahala popote. Mfano: Umekaa kwenye kochi unachukua simu/laptop unaingia mtandaoni unaagiza bidhaa unaletewa mpaka nyumbani kwako...
  15. Meneja Wa Makampuni

    Uhusiano wa Katiba Bora, ukuaji wa uchumi na hali ya maisha ya raia wa Tanzania

    Katiba ni sheria kuu ya nchi inayoweka mfumo wa kisheria na kitaasisi kwa serikali, kufafanua haki na wajibu wa raia, na kuweka kanuni za utendaji kazi wa jamii. Ni hati inayoeleza kanuni na maadili ya msingi ya nchi, na inatumika kama msingi wa sheria na sera nyingine zote. Katiba kwa kawaida...
  16. BARD AI

    Ripoti IMF: Matarajio ya Ukuaji Uchumi yabadilika, kutakuwa na Ongezeko la kasi

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limesema Ukuaji wa Uchumi utaongezeka kwa 0.2% kutokana na kufunguliwa tena kwa Nchi ya #China na Utekelezaji wa Sera ya Kubana Matumizi katika Nchi nyingi duniani, jambo litakalopunguza kasi ya Mfumuko wa Bei. Bara la Afrika litakuwa na ongezeko la Ukuaji...
  17. I

    Je, huu ndio mwisho wa ukuaji wa juu kwa uchumi wa China?

    Wakati sehemu kubwa ya dunia ilipopitia mdororo mkubwa wa uchumi mwaka 2008-2009, China, kupitia juhudi kubwa za matumizi ya serikali, iliweza kukabiliana na dhoruba na kuinua uchumi wa dunia. Huku ulimwengu ukitetereka "karibu hatari" kwa mdororo wa ulimwengu kwa nyuma ya vita vya Urusi huko...
  18. Black Butterfly

    Umuhimu wa Mbegu za Chia katika Ukuaji wa Mtoto

    Mbegu za chia ni kati ya vyakula mashuhuri kwa afya bora, kwa sababu ya kusheheni virutubisho vya mwili. Gram 100 zimesheheni:- Fibers: 39 gm, Protini: 16 gm, mafuta: 37 gm (18 gm ikiwa ni Omega-3, iliyomuhimu katika kuimalisha ubongo na 6 gm Omega 6); Madini kwa kiwango kinachohitajika kwa...
  19. Rangooo

    Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujarbu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha. Miongoni mwa maswali yangu ni je...
  20. Rangooo

    Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujaribu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha. Miongoni mwa maswali yangu ni je...
Back
Top Bottom