uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bunge la Ulaya (EU) lapinga Msaada wa Euro Milioni 156 (Tsh. Bilioni 440+) kwa Tanzania. Wataja Haki za Binadamu na Uchaguzi wa 2025

    Wakuu, Kuna mvutano mzito unaoendelea huko Ulaya kati ya Bunge la Umoja wa Ulaya (European Parliament) na Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (European Commission) kuhusu mpango wa kuipatia Tanzania msaada wa kimaendeleo wa kiasi cha Euro Milioni 156 (zaidi ya Tsh. Bilioni 440). Kwa mujibu wa taarifa...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vijana Wadanganywa Ghasia za Uchaguzi 2025

    Uchunguzi wa Tume umebaini kuwa vijana wengi walidanganywa na kushawishiwa kushiriki ghasia baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia mitandao ya kijamii kueneza kauli na picha za uwongo ili kuibua hasira zao. Vijana waliaminiwa kuwa wanalinda haki...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uharibifu wa Kiuchumi Baada ya Uchaguzi 2025 Wafichuliwa

    Tume ya Uchunguzi ilibaini kuwa ghasia zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zilisababisha hasara kubwa ya kiuchumi. Uharibifu wa mali, biashara na miundombinu ulisababisha kupungua kwa shughuli za kiuchumi na kuchelewesha maendeleo ya taifa kwa miaka kadhaa. Ripoti...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Washiriki wa ghasia walibeba silaha mbalimbali jambo ambalo haliruhusiwi kisheria kwenye maandamano ya amani

    .......tatu, washiriki wa ghasia za wakati na baada ya uchaguzi mkuu walibeba silaha za aina mbalimbali, zikiwemo mawe, nondo, mkuki, sururu, fimbo, marungu, visu, vibiriti, vipulizi, bunduki, manati, kombeo, rato, mapanga; jambo ambalo haliruhusiwi kisheria katika maandamano ya amani. Hii ni...
  5. 888I

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nilivyoielewa Hotuba ya Jaji Chande

    Hotuba ya Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, iliyowasilishwa Leo (tarehe 23 Aprili 2026), inatoa picha halisi, nzito, na ya kusikitisha kuhusu kile kilichotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Hapa chini ni mambo matano (5) ya niliyoyaona kutokana na...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ukimuona kwa mbali utafikiri hana akili, ukimsogelea ndio utajua kuwa ni mweupe amejaa funza, hakuna utafanya cha kumsaidia!

    Wallah tena nawaambia, ukiwa kwa mbali unaweza kudhani macho na masikio vinakudanganya maana muonekano wake unakufanya udhani ni mtu mwenye busara na maarifa, kichwani kuna nondo za kutosha, na moyoni amejaza utu na upendo! Msogelee sasa, ndio utajua kumbe fala falasi, mbinguni hayupo, akhera...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Rais Samia ana njia moja tu ya kuepuka kitanzi cha ICC na hasira ya wananchi...

    Wakuu, Njia iliyobaki kwa Rais Samia kuepuka kitanzi cha ICC na hasira ya wananchi kutokana na mauaji ya Oktoba 29, ni kuangusha lawama zote kwa vyombo vya ulinzi, kisha apishe kiti kuruhusu uchaguzi mwingine kufanyika. Aseme vyombo vya ulinzi vilitenda mauaji yale kwa order zao, either kwa...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Asanteni Mashekh kwa kunipigania uchaguzi 2025

    "Kwa uamuzi wenu siyo tu kwa kuniunga mkono, walioniunga mkono ni wengi, lakini kwa kitendo chenu cha kuniunga mkono waziwazi na hamkuficha. Mie ni mkristo na naungwa mkono na vongozi wangu wa kikristo, tofauti iliyopo ni kuwa hawa wameniunga mkono waziwazi bila kuficha, bila kusita...
  9. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaiangalia Tume ya Uchunguzi wa Vurugu za Uchaguzi 2025 kama kipimo cha uwajibikaji

    Geneva, Uswisi. Tanzania imeangazia juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, katika kuimarisha uwajibikaji, maridhiano na kuendelea kuzijenga taasisi za umma kupitia kuundwa kwa Tume Huru ya Uchunguzi kuhusu vurugu zilizohusishwa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Hayo yaliwasilishwa katika tukio...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rasmi Kesi iliyofunguliwa na TLS kupinga amri ya IGP kuzuia watu kutoka nje Oktoba 29 imetupiliwa mbali na Mahakama Kuu

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kilifungua kesi mahakamani kupinga amri ya Mkuu wa Polisi (IGP) ya kuzuia watu kutoka nje (curfew) wakati wa vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025. Lakini, Mahakama Kuu imeiamua kuitupa kesi hiyo kapuni bila hata kuanza kuijadili. Hizi ndizo sababu tatu (3)...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa UN kukutana na vyama vya siasa vya Tanzania kujadili hali ya uchaguzi 2025, rais Samia apongezwa katika Demokrasia

    Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika (UNOAU), Bw. Parfait OnangaAnyanga, ambaye ni Mjumbe Maalum wa Mhe. Antonio Guterres, Katibu Mkuu UN ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaitaka Jumuiya ya Kimataifa kuheshimu uhuru wa Tume

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa majibu makali mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikiyashutumu mataifa ya Magharibi na asasi za kimataifa kwa kutoa kauli za upendeleo na "kuchagua matukio" kuhusu hali ya usalama nchini kufuatia uchaguzi wa Oktoba...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Ni miezi mitatu toka Rais Samia ateue Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29, nini matarajio yako? Je, tunaelekea pazuri?

    Wakuu, Ni miezi mitatu sasa (siku 92 tukiwa precise) toka Samia afanye uteuzi wa Tume ya Kuchunguza 'matukio' ya Oktoba 29, 2025, akisema hajui kwanini tuliandamana kugomea uchaguzi, wa kina nani waliua watu vile na kwa amri ya nani :BearLaugh::BearLaugh: Dunia ina mambo, anyhu.... Hii...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mpina akataa wito wa Tume ya Rais ya kuchunguza matukio ya Uchaguzi Oktoba 2025

    Nakiri kupokea barua yako yenye Kumb. Na. SAE. 3511527/L ya tarehe 21 Januari 2026, ikinitaka kufika kukutana na Tume tarehe 31 Januari 2026, kuanzia saa 2:00 mchana hadi saa 9:00 alasiri katika Ukumbi wa Manyara, Benki Kuu – Dar es Salaam. Utakumbuka kuwa mnamo tarehe 18 Novemba 2025, Chama...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dkt. Anna Henga: Bunge la 13 halina uhalali wa kisiasa, wananchi hawakuridhika na uchaguzi uliofanyika

    Leo, tarehe 27 Januari 2026, Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza rasmi Mkutano wake wa Pili Jijini Dodoma. Kufuatia kuanza kwa mkutano huo, Dkt. Anna Henga (Wakili), Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ameeleza mtazamo wake kuhusu Bunge hilo...
  16. 888I

    JamiiForums Tanzania SERIKALI IMEAJIRI LOBBY GROUP YA MAREKANI KUREKEBISHA PICHA – HUKU SIYO KUIUZA NCHI?

    Hili jambo la FARA hili mmh ni kama Serikali imeamua kununua "kipaza sauti" kule Washington D.C ili sauti yake isikike tofauti na inavyosikika sasa hivi.😂 1. Kwanini Marekani na kwanini Tom Graves? Washington D.C. inatawaliwa na kitu kinaitwa "Lobbying Engine." Siasa za Marekani, hususan chini...
  17. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa, hatutakiwi kuwapa nafasi yoyote CHADEMA

    Chadema ni kikundi cha panyaroad yafaa kiondolewe sifa za kufanya shughuli za kisiasa nchini, ushahidi upo kwenye post zao mitandaoni kwa kweli mpaka unajiuliza hivi Hawa watu wanaakili kweli? Ni WA Tanzania kweli? Yafaa wadhibitiwe vikali. Kama Taifa Hatutakiwi kuwapa nafasi yoyote chadema...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watanzania tuikatae tume iliyoundwa kuchunguza vifo vya ndugu zetu. Tusikubali matokeo yake kama tulivyokataa matokeo ya uchaguzi 2025

    Bila hata aibu anasimama na kujitapa nilipata 98% sababu CHADEMA ya Lissu haikushiriki uchaguzi! Hata kama madaraka ya uraisi ni matamu ndio kwa uongo huu! Watu hawakujitokeza kabisa kupiga kula hata Mungu shahidi hiyo mil 31 ya wapiga kura inatoka wapi? Haya watu wameuwawa kisa tu wameimba...
  19. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Swali; Je, ACT Wazalendo Zanzibar kufungua kesi kupiga matokeo ya uchaguzi 2025 ni mkakati maalum kutoka nje ya chama?

    Chama hiki kilidai kufungua kesi kupiga matokeo ya uchaguzi katika majimbo 25 ya uwakilishi Zanzibar na kikitarajiwa kupiga pia yale ya Ubunge. Huku pia kikiweka pose kuingia kwenye kuunda serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar. Swali, je ni mpango maalum baina yao na kundi la Gasom & Zikamziki...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya! Nani kawaambia zitakuwa Vurugu na sio Maandamano?

    Wakuu, Yaani kila kiongozi na chawa wao wakitoka utasikia "Wanataka kufanya vurugu", "Sio maandamano ni vurugu", "Wanahamasisha vurugu"..... yaani neno vurugu ndio linapigiwa promo! Unaenda kukamata mtu eti anahamasisha vurugu Disemba 9, hapo mtu kasema nitashiriki maandamano au kuwaambia...
Back
Top Bottom