bei za vyakula

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Miss Zomboko

  Takriban watu milioni 55 wanakabiliwa na njaa kanda ya Afrika Magharibi na Kati kutokana na kupanda kwa bei za vyakula

  Takriban watu milioni 55 wanakabiliwa na kitisho cha njaa katika kanda ya Afrika Magharibi na Kati kutokana na kupanda kwa bei za vyakula. Taarifa ya pamoja iliyotolewa na Shirika la Mpango wa Chakula duniani WFP, Shirika la kuhudumia watoto UNICEF na lile la Chakula na Kilimo, imesema kuwa...
 2. Msanii

  Mfumuko wa bei upo juu, Viongozi wapo bize na uchaguzi na kununua makasri Dubai

  Ndugu zangu, Bidhaa ghafi kama sukari inakimbilia TZS 5,000+ halafu Waziri wa Kilimo anatuambia mashamba ya miwa yamejaa maji... ina maana mipango na mikakati ya serikali ni namna wanavyosurvive leo na hawana 10+ years plan. Serikali haina akiba ya chakula ndiyo maana soon watakimbilia...
 3. Expensive life

  Bei za vyakula yashuka nchini

  Ndugu zangu leo nimestaajabu pale wife aliponiambia, mchele sasa hivi kg moja inaanzia 2400 kwa kilo hadi 3000. Tofauti na hapo awali bei ilikuwa inaanzia 2800 hadi 3500 kwa kilo. Mafuta ya kupikia nayo yameshuka kutoka 4500 kwa lita hadi 3800. Maharage na mahindi nayo yamashuka kwa...
 4. U

  Kupanda kwa bei za vyakula Serikali iwajibike

  Miezi ya mwanzo wa mwaka 2023 Bila ubishi tumeona kupanda Sana kwa bei za vyakula. Hii imekuwa wazi mno Halina mjadala kama tulivyozoea kulishwa na mamlaka husika mfano NBS wakusanya takwimu waje na takwimu ndio waseme kuna mfumuko wa bei katika bidhaa za vyakula. Kiukweli bei zimepanda Sana...
 5. P

  Ni kwa jinsi gani Katiba Mpya inaweza kushusha bei za vyakula?

  Kumekuwa na hoja kutoka siasa za upinzani, wakidai kwamba kuna uwezekano wa bei za vyakula kushuka iwapo tu tungekuwa na Katiba Mpya. Hii ni hoja inayowavutia sana wananchi ila hakuna hata kiongozi mmoja wa upinzani aliewahi kueleza ni kwa jinsi gani jambo hili linawezekana. Tafadhali kama...
 6. BARD AI

  Serikali: Mfumuko wa Bei za Vyakula na Vinywaji bado ni Himilivu

  OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imetabiri kwamba mfumuko wa bei za bidhaa za vyakula na vinywaji baridi unatarajiwa kupungua kwa asilimia moja katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka huu. Pia imesema mfumuko wa bei kwa ujumla unahimilika kwa kuwa bado uko kwenye tarakimu moja. Mtakwimu...
 7. MR.NOMA

  Hali mbaya ya bei za vyakula nchini, kwanini mawaziri husika wasijipime katika hili kama wanatosha au laa!

  Wakuu kwema! Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza kudhibiti Hali hii. 1. Mchele 3000-4000/- 2. Maharage zaidi ya 3500/- 3. Unga zaidi ya 2000/- 4. Nk...
 8. MR.NOMA

  Hali mbaya ya bei za vyakula nchini, kwanini mawaziri husika wasijipima katika hili kama wanatosha au laa!

  Wakuu kwema! Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza kudhibiti Hali hii. 1. Mchele 3000-4000/- 2. Maharage zaidi ya 3500/- 3. Unga zaidi ya 2000/- 4.Nk...
 9. BARD AI

  Serikali yadai ongezeko la Bei ya Vyakula limetokana na uhaba wa mvua

  Serikali imekiri kuwepo kwa ongezeko la bei za vyakula nchini, kutokana na upungufu wa mvua na mahitaji makubwa ya chakula ndani na nje ya nchi. Kauli hiyo ya Serikali imekuja wakati kukiwa na taarifa za ongezeko la vyakula kutoka kwa wafanyabiashara. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
 10. J

  Chadema yaitaka Serikali kueleza imejipangaje kukabiliana na baa la njaa na bei kali za vyakula

  Hii ndio Chadema Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika amesema Serikali inatakiwa ieleze ndani ya Bunge na Nje imejipangaje kukabiliana na baa la njaa linalokuja na bei kali za bidhaa zinazoongezea wananchi ugumu wa maisha Aidha Mnyika aliwataka polisi wamtajie kifungu cha Sheria...
 11. Sildenafil Citrate

  Bei za vyakula zapaa maradufu. Mchele wafika Tsh 3000/=, unga wa mahindi Tsh 2000/=

  Wakati bei za vyakula zikizidi kupanda katika maeneo mbalimbali nchini, wakulima wametaja sababu tatu za hali hiyo, wakiitaka Serikali kuingilia kati. Miongoni mwa sababu hizo, eneo ambalo wanataka Serikali iingilie kati ni kufurika kwa wanunuzi wa nafaka kutoka nje ya nchi. Sababu nyingine ni...
 12. Nyankurungu2020

  Inashangaza mkuu wa nchi kutaka wananchi wake wawe wanakula lishe bora wakati hawawezi kumudu bei za vyakula wasizoweza kuzimudu.

  Leo hii bei ya nafaka kama mchele na unga imepaa maradufu kabla ya ya huyu mkuu wa nchi kuingia madarakani. Kabla ya kuingia madarakani mchele ulikuwa ukiuzwa sh 1200 kwa kilo . Sasa hivi Mchele unauzwa sh 3600 kwa kilo. Huko mitaani wananchi wanalia juu ya ugumu wa maisha. Maana uchumi...
 13. feisar wa moro

  Sababu za kwanini bei za vyakula Tanzania zipande mara dufu

  Wakuu sina mengi hizi ni sababu zangu kutokana na hali halisi iliyopo huku mashambani kunakofanyika kilimo..( nipo kilombero morogoro) ZAO MPUNGA Bei ya kukodi shamba Ni laki 2 kutoka laki 1 msimu uliopita Bei ya kuvuruga ni laki moja na 40 kutoka 80elf msimu uliopita Bei ya kupanda ni laki...
 14. Jerlamarel

  Hivi Waziri wa Fedha ana taarifa bei za vyakula hazishikiki huko masokoni?

  Kama hana hiyo taarifa basi mfikishieni hizi taarifa. Mchele kwa sasa low quality unaupata kwa 3000-3200, high quality unaenda mpaka 4000. Unga, maharage, dagaa, tambi, ngano zote zinazidi kupaa. Wakati kama huu sasa ndiyo tulitakiwa tuone matumizi sahihi ya tozo, eneo la vyakula ni nyeti sana...
Back
Top Bottom