Baada ya kusogea na kuhamia nje ya mji kidogo nimeishi kwa amani na furaha sana , eneo langu ni almost kama heka moja hivi ,eneo nililojenga nyumba pako jirani na mtu mwingine, ujirani huo ndio source ya shida yangu kwa sasa.
Jirani yangu kahamia almost mwaka sasa, aisee huyu mbena ni shida ...
Mnamo tarehe 12 nilifanya malipo ya kuhuisha (renew) leseni yangu ya taaluma ili niweze kuendelea kufanya kazi kisheria kupitia mfumo mpya.
Nilitengeneza Control Number kupitia mfumo huo na nikafanya malipo kwa kutumia Airtel Money. Malipo yalifanikiwa bila tatizo lolote, kama inavyoonekana...
Anachoongea Mwandambo kwa maandishi akimtuhumu Heche kwa Ufisadi, akisema kuwa Mnyika hawezi kumsafisha Heche kwani hasafishiki.
Anasema "Mnyika! Mnyika nakwambia, Heche ni mchafu. Yaani Heche hasafishiki. Ni mchafu hata huyo makamu mwenyekiti hamfai. Heche ni mchafu, tena aone aibu hata...
Nakuunga juhudi zako lakini anza na uchafu barabarani kwanza ,tengeneza mitaro,na sehemu za kutupa taka.
Unakuta mji mzima asubuhi umesheheni makohozi tu hata kwa kukanyaga hakuna inakulazimu uruke makohozi kama madimbwi ya maji
makohozi mengine unakuta yamechanganyika na ugoro
Weka sheria...
Mwenyekiti wa Mamlaka ya mji mdogo Maswa mkoani Simiyu,Carolina Shayo amezuia mzabuni ya uondoshaji wa taka katika mji wa Maswa kutoendelea na kazi na hivyo kusababisha mji kuwa mchafu kila kona.
Ametumia vibaya madaraka yake kuzuia shughuli halali za serikali kufanyika baada ya mzabuni huyo...
wiki iliyopita nilienda kufanya service kwenye gereji ya kituo cha mafuta
gari ilikuwa na tatizo la mafuta, fundi ali drain mafuta yote kwenye gari,
sasa wakati wa kujaza upya mafuta nilishuhudia mchezo huu.
nilikuwa na kidumu changu kwenye buti nikampa fundi ajaza mafuta ya elf 10.
nimempa...
Unavyoliweka zizi ndivyo mdudu ucheza!
Nguruwe ni msafi sana isipokuwa mfugaji ndo mjinga, unaweza sema ngoja niachane na nguruwe ni mchafu, kumbe uchafu wa nguruwe uko kwako
Britanicca
Upo msemo maarufu unaosema “Siasa ni mchezo mchafu,” lakini kwa wengi, huu si msemo tu bali ni uhalisia unaoonekana kila siku. Katika mazingira ya sasa, kuna hali inayozua maswali mengi kuhusu namna mitindo ya maisha, burudani, na “trends” zinavyotumika kama zana za kuwafanya wananchi wasahau...
Nimesoma andiko la Askofu Bagonza. Anasema Wooote, walioshindwa/waliopenya ie walioshinda?? wote ni wale wale. Wote ni waovu., (maharamia, majambazi, wahuni ........nyongeza yangu)
WALIOSHINDWA, actually, though it looks strange, washukuru Mungu maana wameepushwa na mauti huko mbele
Nimeamini siasa ni mchezo mchafu huwa hazitegemei akili ya mtu bali mapenzi ya kiongozi wa wakati huo hasa ukitegemea na sheria zetu za uchaguzi zilivyo mbovu huna cha kufanya.
Tusione watu wanasifia wanajitoa ufahamu kumbe wanajua akili zao walishazikabidhi kwa Rais wao
Mchungaji Msigwq kutoka...
Kwa baadhi ya ya tamaduni tai akitua juu ya paa lako...
Watu watakusanyika na kuanza kutoa maelezo mbalimbali
Wengine Watazomea na kupiga kelele, "Jamani eeh! Nuksi imetua!"😂
Wengine hata wataita waganga wa kienyeji
Na Wengine watafunga na kuomba.
Yote haya ni Kwa nini?
Kwa sababu kuna wazee...
Kwa upande wangu mimi uwa namkubali sana mheshimiwa waziri wa madini nikiamini ni kijana mwenye uwezo mzuri sana wa kuongoza. Hata juzi nikiwa naangalia ufunguzi wa ofisi ya wizara nlipenda alivyoongea sasa leo nmeona kama kituko aiseee habari ya Milard Ayo...
Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana
Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au ndani ya kikundi cha watu na kwenda kufanya vurugu au jambo lolote.
Mungu ametupa mamlaka juu ya vitu...
Humu jf kuna bifu kati ya mashabiki wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu na machawa wa pande zote. Wengi ima hawajui mchezo wa siasa au hawana hata chembe juu ya demokrasia. Chadema, tofauti na CCM ni chama cha kila mmoja. Hivyo, wawili hawa wanapopambana kugombea uenyekiti si tatizo. Siyo sawa na...
Maaskfu kutoka Madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini wamekutana leo, Jumatano Desemba 18.2024 katika ukumbi wa Kurasini Conference and Training Center uliopo makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), jijini Dar es Salaam
Maaskofu hao pamoja na wadau wengine wa...
Mmkiwa shule ya msingi na sekondari kuna yule mtoto wa kike mmoja mnamuona wa ajabu, mshamba na mnamtania hadi anakosa raha...
Nimekutana na mmoja sasa hivi kawa pisi kali hatari
Kuna ndugu yangu mmoja ana account huko CRDB, ila anasema haijatimia kwa muda mrefu kidogo.
Sasa wiki ya pili anapokea jumbe za alerts kuwa account yake imepokea sh. Kadhaa, mara baada ya muda mfupi anapokea tena jumbe kuwa account yake imetolewa fedha kiasi kadhaa sawia na ile pesa iliyoingia...
Habari wanajukwaa..kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mechi zinazochezwa uwanja wa sokoine uliopo mbeya.
Kitu ambacho nimegundua kwa muda mrefu ,huu uwanja ni mchafu sana kwa kweli hasa sehemu za pembezoni mwa pitch na karibia na majukwaa.Manyasi yameota hovyo hovyo hata yakikatwa huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.