Lapotra Atuma Salam za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Mwenza wa Rais Samia
Na Mwandishi wetu - MAELEZO
Rais wa Klabu ya Barcelona FC, Joan Lapotra amemkabidhi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda barua maalum ya rambirambi kwa ajili ya kumfikishia Rais wa Jamhuri ya...