pabaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. puker

    JamiiForums Tanzania Nani Mwingine hasira humweka pabaya kunizidi?

    Habari zenu ndugu zangu natumai mko poa. Kuna jambo, huwa linaumiza sana acha niwashirkishe ndugu zangu. Kuna wakati, naweza nikawa na mazungumzo na mtu aidha tumekwazana katika jambo fulani, aidha kibiashara, kijamii, kimahusiano n.k, naweza kuta nina hoja za msingi sana, bila matusi, kejeli...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kagame :" Rais wa Congo hakushinda uchaguzi huru" Kwa hii milio PK kashikwa pabaya na Félix Tshisekedi ?

    https://www.youtube.com/watch?v=oRSdtN4PaWI “Mnajua jinsi rais wa sasa alivyoingia madarakani? Aliitwa tu ofisini, na huyu mtu akadhani anafanya makubaliano mazuri, akaikabidhi mamlaka. Pia mnajua kwamba kulikuwa na mashahidi, marais wa nchi mbalimbali? Mnajua hilo? Mmoja wao akiwa rais wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Imefikia pabaya sana. Mnakaa mitaani na kuomba viongozi wenu wauliwe kama wale wa Iran!

    Naona mmewachoka na mnawachukia sana. Mnakaa vijiweni na kuomba walipuliwe kama Ayatollah na jopo lake alivyouwawa. Hii ni sababu ya nini? Cake ya taifa?
  4. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Picha: Vita imefika pabaya, Netanyahu anadhalilika mchana kweupee!

    Niaje waungwana Naona Netanyahu kawekwa mtu kati 🤣🤣🤣🤣 Akienda mbele nchale ( Iran ) Akirudi nyuma nchale ( Hezbollah ) Akikaa nchale ( Houthis ) Muona mbali, na mjuzi wa mambo ya vita, niliwahi kuandika threads huko nyuma (2022) na (2024) kabla Iran na Israel hazijawahi kushambuliana moja...
  5. PAGAN

    JamiiForums Tanzania Watanzania sasa huku tulikofika ni pabaya...

  6. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi Nchimbi vunja ukimya, Taifa linaelekea pabaya

    Balozi Emmanuel John Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuandikia ujumbe huu nikikuomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa uvunje ukimya ulisaidie taifa. Nchi yetu inaelekea kubaya kumeibuka wimbi kubwa la matamko yanayolenga kuwagombanisha wakristo na Serikali...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msimamo wa watawala mpaka sasa unazidi kuiweka nchi pabaya zaidi

    Hakuna dalili yoyote ya uwajibikaji wala maridhiano mpaka sasa kwa kauli hizi 1. Wahalifu(Waandamanaji) walitoka nje 2. Waandamanaji walikuwa na silaha na wengine walikuwa hawajui Kiswahili 3. Waandamanaji walilipwa 4. Hii ni vita ya uchumi, tunachonganishwa na kuchachafuliwa na watu wa nje...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia alikuwa na uwezo wa kujenga kukubalika baada tu ya kuwa rais na angeweza kuwashinda upinzani lakini uwezo mdogo umempeleka pabaya

    Samia alipata nafasi ya kuonesha maono yake na watanzania na dunia ili muamini na kushangilia, lakini kutokana na kile ninachokiita "uwezo mdogo" alishindwa kujenga misingi ya kukubalika. Samia angeweza kuwashinda wakina lissu, kwanini lissu akubalike lakini samia asikubalike, hapana samia...
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa ofisi za JF ni ushahidi kuwa serikali imeshikwa pabaya na inatuogopa kwa mishale yetu?

    Serikali yoyote halali na yenye kujiamini, haiwezi kupoteza muda na heshima yake kuvamia ofisi ya mitandao kama ilivyotokea kwa ofisi za JF. Kwanza, nalaani kitendo hiki cha kichovu na kizwazwa, na pia, naitaka serikali ilaani kama kweli aihusiki. Pili, naitahadharisha serikali kuwa isipokuwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Amewashika pabaya! Wamemfungia, what next?

  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBATIK

    Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBA TUNATIKI ✅✅
  12. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Tuseme tuache, tisa kumi Gwajima amegusa pabaya

    Sisi wanaume ukitugusa unyeo kila kitu kitaishia hapo. Serikali Ina mitandao mingi. Kwa hiyo Ngwaji boy atalengwa tu
  13. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mama amshika pabaya mchungaji, Mungu kasema unipe laki sita

    Wakuu Mungu kasema na Mama ajabu mchungaji anajianya hasikii.😁😁
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Video hii ni fake. AI imefika pabaya sana.

    https://youtube.com/shorts/MSt3ulTfcb4?si=UI9WsdIJxfArjaif
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hatimaye! Lissu na CHADEMA wafanikiwa kuwashika CCM pabaya!

    Kuendekeza njaa na maslahi binafsi kwa wana CCM kumekifanya chama hicho kuwa kwenye wakati mgumu sana kupingana na hoja ya CHADEMA na Lissu kuwa No Reform No Election. Utafiti wangu umeonesha kuwa suala la No Reform No Election lilitangazwa na CHADEMA linawapa wakati mgumu sana CCM kwa sababu...
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya kuzuia vurugu za uchaguzi wa Rais mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya

    Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
  17. Mr-Njombe

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko na mpasuko ndani ya CHADEMA, sasa wadhihirika bayana na unaelekea pabaya usipodhibitiwa mapema kisiasa

    Mwanzoni viongozi waandamizi wa chadema hususani ngazi ya taifa walikua wakijipiga kifua sana hadaharani kwamba hakuna mgawanyiko wala mpasuko wowote ndani ya chadema, ispokua kilichokua kinajitokeza ni uhuru wa viongozi na wanachama wa chadema kutoa maoni na mitazamo yao dhidi ya waliyo kua...
  18. dubu

    JamiiForums Tanzania Dudley Mbowe, Mtoto wa Freeman Mbowe akalia kuti kavu, dhuruma yamuweka pabaya

    MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Kazi, Januari 6, 2025 inatarajia kuanza kusikiliza maombi ya waandishi wa habari Maregesi Paul na wenzake 9 wanaotaka Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe aamuliwe kwenda gerezani kama mfungwa wa madai kwa kushindwa kulipa malimbikizo ya misharaha yao...
  19. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 KUMBUKIZI: Kiongozi wa CCM aliwahi kusema ushindi CCM hauna Mungu akipenda, ni lazima!

    NB: Video hii ni kumbukizi wakati wa Kampeni za Uchaguzi mwaka 2020 Huyu kiongozi ana mkashifu Mwenyezi Mungu, oky sikiliza mpaka mwisho.👇 "…sikiliza ana mpango gani na tawi lake halafu tutaendelea kuzungumza si ndio? Si tumekuja tuzungumze pamoja, siyo kutoa maagizo sasa hivi, nataka tujue...
  20. Rule L

    JamiiForums Tanzania Utani umewahi kukupeleka pabaya???

    Habari wanajamvi, natumai mmeamka salama salmini. Kama mada inavyosema, utani hua ni mameno ya hapa na pale, mara nyingine ni ya ukweli ila yanawasilishwa kwanjia ya utani. Ila utani mara nyingine huota meno ya sumu na kusababisha ugomvi mkali, pengine mpaka kupigana. Binafsi kuna kisa Cha...
Back
Top Bottom