Ukweli mchungu ni kuwa Tundu Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi hii, hana sifa za kuwa Mkuu wa Nchi

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,245
9,702
Tundu lisu Hawezi akawa Rais wa Nchi hii ya Tanzania, Hata Kama angezaliwa kabla ya Uhuru na kuwepo wakati huo na ikatokea uchaguzi ,bado Lisu asingepewa nafasi ya kuwa Mkuu wa nchi hii ya Tanzania kwa kuwa Lisu anakosa sifa za kiuongozi anazopaswa kuwa nazo Mkuu Wa nchi.

Tundu Lisu ni Mtu asiye na kifua busara Wala hekima za Urais, Hana Subira Wala uvumilivu wa Jambo lililo katika kifua chake, Lisu ana mihemuko na jazba kubwa Sana, Lisu Amejaa ujana ambao tuna sema anawaka Kama petroli mahali panapohitaji busara, Tundu lisu Ni Mtu ambaye hajuwi namna ya kuongea na watu wa makundi yote, Rika zote, vyama vyote na jinsia zote, Lisu kwake yeyote atakayetofautiana Naye Basi huyo mtu kwake Hana akili, Ndio sababu utasikia habari za kuita majina ya Maccm au policcm au Maharamia.

Lissu amenyimwa kipawa na uwezo wa kuweza kuwaunganisha watu hata anaotofautiana nao, Lisu ni Mtu anayeweza kutoa hata Siri za Taifa kwa kujuwa kuwa hiyo ndio demokrasia yenyewe au uwazi bila kujari kuwa Kuna Mambo yanapaswa kubaki Siri za Taifa, Ndio maana Lisu anaweza kutoka kufanya mazungumzo na Mtu ambayo yanapaswa kufanywa Siri kwa muda fulani wakati baadhi ya mambo yanasubiri kukamilika lakini yeye akibanwa kidogo utakuta anaanza kuyaongea yote hadharani ili kuwafurahisha watu wake.

Lissu ni mtu ambaye Hana sifa ya kuviongoza vyombo vyote vya ulinzi na usalama kama Amiri Jeshi mkuu, maana Hana busara na hekima ya kuweza kuviunganisha na kuviweka pamoja kutokana na kauli zake za dharau na kianaharakati harakati kwa kila kitu.

Lisu Hawezi kutujengea umoja wa kitaifa zaidi anaweza kurisambalatisha Taifa letu ndani ya muda mfupi sana, maana kwake yeye anahisi anajuwa kila kitu na hapaswi kupingwaa Wala kukosolewa kwa maamuzi yake au kauli zake, Hapa Lisu Ni Rahisi Sana kupandikiza chuki ndani ya Taifa kwa kujenga Hisia za sisi na wao yaani Hawa Ni wenzetu na wale si wenzetu na hawana akili.

Lisu Hawezi kutatua migogoro Wala kuwa mfariji wa Taifa letu kwa kuwa Hana kauli nzuri afunguapo mdomo wake, Lisu anaweza kulipoteza sana Taifa letu na kulitumbukiza katika chuki za kisiasa maana hawezi mvumilia anayemkosoa au kwenda kinyume na msimamo wake au kauli zake au maoni yake au mtizamo wake au maamuzi yake au hisia zake juu ya Jambo fulani.

Lisu hajuwi Ni wakati gani wakuongea na wakati gani wakukaa kimya, hajuwi wakati gani wakujibu na wakati gani wakukaa kimya, Lisu hajuwi Ni aongee maneno gani na katika mazingira gani, Lisu hajuwi ukiwa kiongozi mkubwa siyo kila swali unaloulizwa na mwandishi wa habari wa kimataifa lazima ulijibu namna anavyotaka yeye.

Lissu hajuwi Kama kiongozi Kuna wakati wa kukaa kimya, kuvuta Subira, kuwa mvumilivu, kujishusha, kuwa na taarifa sahihi, kusema subiri kwanza au kusema kuwa Hilo Jambo litatolewa ufafanuzi Baadaye, Lisu anataka ajibu kila kitu hata chenye hatari kwa usalama wetu wa Taifa, Lissu anaweza akataja hata idadi ya silaha na mizinga au ndege Vita na Hadi zinako kaa Kama akiulizwa na waandishi wazungu huko Ulaya.

Lissu Hafahamu kuwa Urais unahitaji busara hekima upendo kwa watu na makundi yote au vyama vyote, unyenyekevu, Subira, uvumilivu, ngozi ngumu hata ulipoumizwa.Hafahamu kuwa Urais unahitaji Breki ya ulimi, Hafahamu mikono na vidole vya Rais vinapaswa kuwa vyenye muunganiko na ubongo ili visitoboe macho ya watu, Lisu Hafahamu mdomo wa Rais haupaswi kutamka kila kitu unachokijuwa au kukifahamu, au kutoa laana muda wote Bali faraja, matumaini, hamasa, mshikamano, umoja na ushindi wa changamoto zote.

Lisu Ni mjuaji Sana ,anahisi anajuwa na kufahamu kila kitu, anahisi anaweza kila kitu, anahisi hastahili kujifunza kutoka kwa yeyote, anahisi hapaswi kushauriwa na yeyote, anahisi hakuna darasa lingine zaidi ya madarasa aliyopita, anahisi hata walimu wake hawana akili kwa sasa, anahisi yeye ndio katiba itembeayo na maktaba ya kila kitu, kumbe uongozi Ni kujifunza kwa kila mtu na kila siku, kumbe uongozi Kuna wakati unabidi ukubali mawazo ya wenzio kwa kupunguza kidogo Yale uliyokuwa nayo juu ya Jambo fulani.

Lisu abaki kuwa mwanaharakati na mtu anayepaswa kuongozwa Lisu hapaswi kuwa ndio top, hapaswi kuwa wamwisho kimaamuzi, Anapaswa kuwa na mtu juu yake Aliyejaa hekima busara upendo unyenyekevu uvumilivu Subira na moyo mkubwa ili kumtuliza muda wote na kumuelekeza kwa busara na hekima bila mikwaruzano, naamini Lisu kwa Sasa hawezi kubadilika maana ndivyo Naye alivyozaliwa na Tabia yake, Hivyo unaweza ukachukua machache mazuri yake hasa upande wa masuala ya ki Sheria na mengine ukayaacha Kama maoni yake Binafsi tu.

Kazi iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka.

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
 
giphy.gif
 
Una hamu ya kutukanwa mchana huu?
Halafu omba ihamishiwe jukwaa la SIASA
 
Tundu Lisu Nyaghaamba.
riport ya makinikinia was propheserial ribbish. kanusha hii....
bora lisu kuliko dictator uchwara
 
Lisu Ni kibaraka tu ambaye yupo tayari kuwapa Siri wabaya wetu ili watuumize, kwa hiyo Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kumpa uongozi wa ofisi kuu ya nchi yetu
mamluki wa nn ? alimfanyia umamluki nani lini na wapi? ulimjua lisi lini? unakumbuka kipindi cha jeneral on monday chanel 10? au ulikiwa hujaja mjini bado???
 
Umesahau namba za simu.
 
Tatizo la Lisu bado bwana mdogo sana!! mwili tu ule!! Baba yake alIstuka kujua kuwa elimu ni mali akampeleka shule tena kwa nguvu zooote za kilimo cha karanga singida!

ila hana Damu ya uongozi! na hekima fiche........... jamani Kikwete ile Damu ya ufalme hasa!...Tunu ya Taifa yule bwana kuba!
 
Back
Top Bottom