Nimekuwa nikukutana na picha za watumishi wa sherikali hasa wakiposti maeneo mbalimbali ya nchi ya vijijini na changamoto za miundombinu zilivyo
Na kuna wengine wanafikia kusema huko mimi siwezi kufanya kazi huko, mara hoo uko watu wanaishije nk
Lile vumbi ambalo unaliona wewe leo linaweza...
Watumiaji wa Barabara ya Ipoipo kwenda mpaka Kihonda Sekondari hapa Morogoro Mjini, iliharibika baad aya awali kuwa na lami, Serikali ikachimbua-chimbua kipindi Mwenge unakuja Morogoro na kuiacha hivyo.
Sasa imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hii na wafanyabiashara waliopo pembezoni, kwani...
Anonymous
Thread
barabara
morogoro mjini
vumbi
watumiaji wa barabara
Sasahivi mikoa yote inavumbi sasa moja ya mambo ninayoyachukia ni vumbi kuna mda najiuliza inakuaje nchi zilizoendelea wamefanikiwa kupiga pavement sehemu kubwa sana ya nchi zao sisi tunahindwa nini
Mfano hata maeneo yale ya mjini tumeshindwa kuondoa vumbi ni jambo ambalo linashangaza sana
Na...
1/ Nimeusikia ujumbe wa Meya wa Manispaa ya Kinondoni unaowataka wananchi kupaka rangi nyumba zao ili kuboresha mandhari ya mji.
Lengo la kuwa na mazingira yanayovutia ni zuri na linaweza kuungwa mkono na wengi.
2/ Hata hivyo, kabla ya kuanza kuwataka wananchi kufanya maboresho ya mwonekano...
Wakati Waziri Mkuu Nchemba anaanza kazi, alisema Serikali ya Awamu ya Sita inaenda kudeal na mambo ya mtu mmoja mmoja. Akitolea mfano kwamba mambo ya barabara za lami kuunganisha makao makuu ya mikoa yalishamalizwa na sasa ni lami kuunganisha wilaya.
Hali ni tofauti kwa wakazi wa Rukwa, Katavi...
1/ Kutoka Uyole hadi Mbalizi, wananchi wanakumbana na vumbi lisilomithirika kila siku. Hali hii si tu kero, bali ni tishio kubwa kwa afya za wakazi wa jiji la Mbeya hasa wafanyabiashara. Magari yanatimua vumbi zito sana pale katikakati ya jiji kwa sasa.
2/ Vumbi hili linaongeza hatari ya...
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema:
“Marekani itachukua ‘vumbi’ lote la nyuklia (nuclear dust) lililozalishwa na mabomu yetu makubwa ya B-2,” akirejelea hifadhi ya Iran ya kilo 400 za uranium iliyosafishwa kwa kiwango cha juu.
Aliongeza kuwa:
“Hakutakuwa na malipo yoyote ya fedha kwa...
Mwezi Januari niliandika kuhusu changamoto ya Barabara kwa sisi Wakazi wa Mtaa wa Isevya, Muhimbili – Ilala, Dar es Salaam, nilieleza kuwa kipande cha barabara kimefukuliwa kwa zaidi ya miezi miwili na kutelekezwa baada ya kumwaga kokoto mara moja tu, tangu hapo hakuna kilichofanyika.
Tulikuwa...
Sisi ni Wakazi wa Mtaa wa Isevya, Muhimbili – Ilala, Dar es Salaam. Kuna kipande cha barabara kimefukuliwa kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Baada ya kufukuliwa walimwaga kokoto mara moja tu, tangu hapo hakuna kilichofanyika.
Kwa sasa tunaoga vumbi kama maji 😔Watoto, wazee na wagonjwa tunaumwa...
Habari,
Hiki kiwanda kipo mji wa Mlowo kina husika na kukoboa kahawa ila cha kushangaza hakidhibiti vumbi la pumba ya kahawa lisiende kwenye makazi ya watu. Hali hii imekuwa ni kero kwetu sisi wakazi na kutusababishia vifua vya mara kwa mara. Tunaomba NEMC mfuatilie na mchukue hatua stahiki
Ligi kuu nchini Tanzania inatarajiwa kutimua vumbi mwezi september ambapo atakuwa anatafutwa bingwa mpya ya NBC premire league kabla ya ligi kuanza nimeona isiwe na shaka nije na moja ya top four yangu kabla ya ligi kuanza kutimua vumbi ..licha ya hivyo hii pia nimetabiri top four kwa baadhi ya...
Hivi huyu mkandarasi anayejenga Daraja la Mkuyuni hapa Mwanza anakuwa na shida gani ya kutomwaga maji kwenye barabara ya muda.
Unakuta inaweza kuchukua mpaka siku mbili Watu tunateseka na vumbi hii, kwanza watumiaji wa vyombo ni hatari kwao kwa kuwa vumbi likiwa jingi ni vigumu kuona...
Kuanzia mwezi huu wa saba mpaka wa kumi kila kona ya nchi yetu ukienda maeneo ya mjini ni vumbi kwa kwenda mbele sitaki kuongelea vijijini sababu huko ndo habari ñyingine
Mfano sehemu kama posta, kariakoo kunakuaje na vumbi, mji kama tunduma unakuaje na vumbi, mji kama makambako unakujae na...
Kama ulikua Una wazo la kuja Veggies Sisi kwenye list yetu tumeshajaza vijana jobless wenye matarajio ya vyeo vya ulaji. Nakusihi wahi NCCR kama Selasini. ACT usijaribu maana sio mvaa kobazi
Tunafahamu kuna ujenzi wa daraja maeneo ya msasani barabara ya kuelekea stendi mpya inaendelea na ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuboresha miundo mbinu,ila kosa la kwanza mlilofanya ni kumpa tenda mkandarasi asiye na weledi kabisaa kabisaa,kwa maarifa yangu madogo alipaswa ajenge njia...
Huwaga inafikia steji watu wanayakatia tamaa magari yao wanaamua kutatelekeza magerejini, majumbani, n.k.
Ni sababu ipi iliyokufanya ukate tamaa kulitengeneza gari lako ukaliacha likusanye vumbi na kutu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.