mateso

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mateso Makuu ya Kimyakimya Hayajifichi, Lakini Mtesaji ni Kama Hayamhusu

    Sitaandika mengi hapa, kwa sababu ushahidi upo, kila mmoja anauona waziwazi. Chungulia video yoyote inayomwonyesha katika kila hadhara mtu anayetakiwa sasa awe karidhika kwa kumkomoa mtu aliyemweka gerezani kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Zichunguze tu hizo video uone kama kuna alama yoyote ya...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa North Korea wanaishi kwa mateso sana

    Unaambiwa kila nyumba inatakiwa kuwa na picha ya bab wa taifa na picha ya kiduku. Ikitokea nyumba imeungua na kuna mtoto ndani ni bora kuokoa picha ,wakija wakakuta picha zimeungua na umeokoa mtoto au mtu asiue jiweza wewe ni jera. Mtu akifanya makosa basi familia yenu itahukumiwa mfano...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu anaejua kesho yake na hakuna anaependa mateso lakini hadi sasa itoshe kushukuru sijawai kufanya kazi kampuni ya wahindi, waarabu au wachina

    Ukiachana na wachache kama kina Bakhresa, makundi hayo kazi ni msuli tembo lakini hadi hio hela umeipata ni kwa manyanyaso sana. Boss tajiri lakini ukichunguza mishahara wanayowalipa wafanyakazi wao unabaki shangaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tusiwalaumu sana viongozi wetu, ni nature yetu waafrika wengi kuwa loyal kwa rewards kama Vyeo na pesa kuzidi uzalendo wa kufikiria mateso ya wengine

    Unafkiri hawaoni yanayoendelea ?? wanayaona sana tu lakini mapenzi ya vyeo, pesa, maisha mazuri ya familia, n.k. ni muhimu sana kuvitunza Kwa kiasi kikubwa, tatizo linaweza kuwa ni sehemu ya utamaduni wetu wa kisiasa na kijamii. Mara nyingi wengi wetu huwa waaminifu zaidi katika maslahi kama...
  5. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Mapigo ya Misri Katika Safari ya Mkristo ya Kutakaswa Kupitia Mateso

    Katika mtazamo wa kiroho wa Kikristo, mapigo kumi ya Misri yanaweza kuonekana kama mfano wa hatua ambazo Mungu humpitisha mwamini ili kumwondoa katika utumwa wa dhambi na kumfanya afanane na Kristo. Misri inawakilisha ulimwengu wa dhambi, mwili, na utumwa wa shetani. Kwa Mkristo, mapigo haya...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kila jamii inatabaka, kuna tabaka ambalo walishajichagua wenyewe, tabu na mateso yenu ni ya kwenu wenyewe ingawa hawawezi survive bila nyie

    Atakutesa lakini atakulaumu kwa nini unalalamika unaumia. POLENI SANA. Historia ya masikini inaandikwa chooni, historia ya mshindi inaandikwa kwenye vitabu. Mshana Jr min -me ngara23
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Magereza zenye mateso zaidi Tanzania, usiombe ukanyage huko

    1. Gereza la Ngwalla, Chunya Hili ni namba 1 lipo msituni na wala hakuna ulinzi mkali wala ukuta ila hukuna mfungwa anaweza kutoroka. Gereza hili limezungukwa na wanyama wakali kama Simba, Chui, Fisi n. K Hutumika kuhufadhi mateka wa Kijeshi 2 Gereza la Kitai, Songea Hili ni namba mbili Kazi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ni wateule tu ili watanganyika mkombolewe kupitia mateso na hata vifo vyao

    Usipokuwa na uwezo wa kufanya reasoning na kushndwa kuelewa historia, unaweza usielewe kuwa watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ujasiri na uthubutu walio nao ni kazi ya Nature ( Mungu) ili kupitia shida na mateso yao au hata vifo vyao, mlio wengi mkombolewe. Hata wale waliouwawa Oktoba 29...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Ugaidi Tanzania: Mateso, Mauaji, na Utekaji nyara wa Kisiasa unaongezeka. The Washington Post.

    February 6, 2026 Warning: This story contains graphic content. https://t.co/bwpN0QJUj7 Tafsiri isiyo rasmi. Ikimezwa na vita na idadi kubwa ya waliokufa, Afrika inaingia katika aina ya giza ambalo ulimwengu haujawahi kuona. Mto wa damu isiyo na hatia, unaoanzia Nigeria hadi Sudan, unameza...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Patrobas Katambi: Gerezani siyo sehemu ya adhabu tu, ni sehemu ya uzalishaji

    Serikali imeweka wazi kuwa Magereza mbalimbali nchini sio Sehemu ya Mateso huku ukiwepo ushahidi wa Maendeleo kwa Wafungwa kuhitimu Masomo ya ngazi mbalimbali na Mafunzo wakiwa ndani ya kifungo ikiwemo Wafungwa 209 waliohitimu Masomo ya Ujasiriamali katika Chuo cha Uhasibu Arusha na wafungwa 201...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa polisi na raia umeharibika sana kwa sababu ya matukio kama haya ya watu kufia mikononi mwao kwa mateso na ukweli unageuzwa

    Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa marehemu huko Rau, Manispaa ya Moshi ili kushiriki ibada ya maziko yake, wanadaiwa kumfukuza na kumzomea...
  12. Soul21

    JamiiForums Tanzania Mateso ya Sekta binafsi ye NSSF wanatunyima mafao yetu

    Tuliofanya kazi sekta binafsi kwa mshahara kidogo na mateso makali na mwisho Mungu akajalia tukapata serikali leo tunajua pesa ya NSSF itakuwa msaada kwetu lakini sheria za hovyo alizopitisha Magufuli tunanyimwa. Naomba serikali ione huruma ili tunaopata kazi serikali tulipwe hiyo pesa ili...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nafikiri moja ya mateso ya kujitakiaa waafrika ni pale tunapo mshirikisha Mungu katika kila nukta ya sayari hii

    Ni kazi ya Mungu. Ni Mapenzi ya Mungu. Mungu amependa zaidi. 👆👆 👇👇 🗑️🗑️ YA DUNIA NI YA DUNIA TU, YA MUNGU NI YA MUNGU
  14. Criss

    JamiiForums Tanzania Kuliko kupata mateso mara mbili, si bora tukomae atoke!

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania inakabiliwa na changamoto ya upungufu wa rasilimali fedha kutokana na mauaji aliyoyasababisha . Hii maana yake ni kwamba Taifa lijiandae kupitia magumu plus kwa sababu ya unjinga wa kikundi cha watu wachache kushindwa kufanya maamuzi yenye busara ...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa familia: MC Pilipili alipata mateso kabla hajafariki

    Msemaji wa familia ya marehemu Emmanuel Mathias maarufu 'MC Pilipili', Paschal Maingu amesema taarifa aliyoipata kutoka kwa ndugu inasema marehemu amefariki kwa mateso na mwili wake umekutwa na majeraha. "Mdogo wao wa mwisho aliniambia kapata mateso kabla hajafariki ndio maana mpaka sasa hivi...
  16. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Hakika huu ni Mwanzo wa mwisho wa mateso

    Kwa sasa waTanganyika sio waoga wa kifo , sio waoga wa utekaji wenu wakijinga .Na kuanzia sasa hata polisi wakijaa kwenye mfumo wa uonevu tunaruka nao. 👇👇👇👇 Hapa Gen_z tunduma wakienda toe to toe na mercenaries wenye silaha za kisasa lakini madogo wanamawe, nabado mashoga walikimbia licha ya...
  17. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikombe cha mateso cha watanzania hakija-jaa ni moja ya sababu ya kufeli kwa maandamano

    Maandamano yamefeli mpaka navyoandika mda huu- kila mtu amejifungia ndani mfano lile tukio la wanakimara kushuka magomeni na kuleta vurugu na kuchoma magari pale kikombe cha mateso kwa wana-kimara kilijaa kukawa hakuna cha kupoteza hawakupanga ila ilitokea Lakini tunatakiwa kufahamu...
  18. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania KERO Ni mateso kwa ajira mpya Halmashauri ya Msalala-Kahama

    Niwe mkweli sijawahi ona halmashauri wazembe, wala rushwa, wavivu kama halimashauri ya Msalala-Kahama. Halmashauri hii imegeuka kuwa kilio kwa watumishi wa umma, ukiwa na shida husikilizwi, mtumishi unaonekana kama kibaka. Ajira mpya walioajiriwa toka February halmashauri hii imegoma kata kata...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latangaza uchunguzi wa video ya Askari kulala chini, madai ya rushwa na mateso

    Video inayoonyesha askari polisi akiwa amelala chini imezua taharuki mitandaoni, huku ikidaiwa imerekodiwa katika kituo cha polisi bandari. Katika ujumbe ulioambatana na video hiyo, askari wanaodai kuwa wa kituo hicho walieleza kuwa wanakabiliwa na unyanyasaji mkubwa kutoka kwa viongozi wao...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Kuingia uwanjani saa nne asubuhi wakati mechi inachezwa saa kumi na moja jioni ni mateso

    "Kuingia uwanjani saa nne asubuhi wakati mechi inachezwa saa kumi na moja jioni ni mateso. Sio kwamba mashabiki wanataka, hapana, wanajihami. Wanahepuka kadhia ya baadae. Kule kwa wenzetu kila tiketi ina seat number. Mageti yote pia yanafunguliwa na unaingia katika geti la jukwaa lako. Naona...
Back
Top Bottom