inafikirisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. meghan markle

    Hii mialiko ya futari inafikirisha. Sasa imeshakuwa trend!

    Hi tabia ya kualikana futari ni ya muda mrefu na ni jambo jema kama linafanywa kwa kuzingatia misingi bora iliyowekwa. Essence ya kualikana futari ni kushare na wale wasio na uwezo wa kupata hiyo futari lakini trend iliyopo ni kualikana wenye nazo kwa wenye nazo. Kwa kweli inafikirisha...
  2. dalalitz

    Eric Prince asema ni wakati Afrika itawaliwe tena. Haya ni matusi, lakini inafikirisha

    Hili lijamaa ni libobevu kwenye Mapigano Majini ( US-NAVY SEAL) 'listahafu' na pia lenye Mapesa yake mengi tu. Sijajua iwapo limetumwa au ni vipi lakini, limenukuliwa likitamka Uozo huo unaoweza kumchefua Muafrika yeyote. Kauli hii inasikitisha. Kuona kuwa inafaa mwingine kutawaliwa, tena Zama...
  3. Kiungopunda

    Video inafikirisha sana

    Kwa kuwa tumejikuta tu Duniani bila idhini yetu kuwa tuzaliwe na tuishi humu au lah ila tunapitia changamoto sana za kuwa duniani. Basi tu kwa kuwa tumejikuta tupo tu ila sio sehemu salama kabisa kwetu wanadamu kuishi. Mateso ni mengi sana katika gereza hili la Roho zetu yaani Duniani.
  4. B

    Hoja ya huyu jamaa kuhusu dini za weupe kwa waafrika inafikirisha sana

    Anasema " IF HEAVEN WAS REAL, WE COULDN'T HAVE TOLD AFRICANS ABOUT IT. WE WOULD BE GOING THERE SECRETLY" How does it make sense? Ngozi nyeupe ni wabinafsi na hawatupendi wa Afrika. Wasingeweza kutufahamisha kuhusu kitu kizuri kama Mbingu kama kweli kingekuwa cha ukweli.. Mifano hai...
  5. benzemah

    Rais Samia Akabidhi Nyumba Kwa Mjane wa Dkt Magufuli (Mama Janeth Magufuli)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli wakati wa hafla fupi ya kukabidhi nyumba ya kuishi iliyopo wilaya ya Kinondoni ambayo imejengwa na Serikali...
  6. Asante CCM

    Kama ni kweli hawa wasanii wanapelekwa Dubai kwa mission maalum Dubai Port, hakika inafikirisha!

    Watanzania wenzangu hatima ya ustawi wa Taifa letu upo mikononi mwetu. Ni wajibu wetu kama Watanzania tujizuie kwa namna yeyote ima kununuliwa ama kushawishiwa kwa namna yeyote ile ilmradi tuligawe Taifa na rasilimali zetu. Safari za namna hiyo za watu maarufu na wasanii wetu kwenda huko Dubai...
  7. F

    Picha: Akina Mangungo wa nyakati zetu? Inafikirisha

    Tunaendelea kupata picha halisi ya yaliyojiri kabla ya mkataba huu wa aibu wa kuwahi kutokea kuhusu bandari zetu. Wabunge walikwenda Dubai na wapo wanaodai kupewa kiasi cha fedha takriban 6M bila kujua hasa kwa madhumuni gani. Ni vigumu kuamini mbunge kuhongwa 6M ili kukubaliana na mpango wa ku...
  8. I

    Inafikirisha sana hii tabia ya watu wazima kubaka watoto

    Hakuna kitu kinafikirisha sana kwa sasa kama hili la watu wazima kabisa tena wenye familia zao lakini unaambia eti kabaka mtoto mdogo. Hivi hawa watu wanakuwa na matatizo gani hasa?. Kwanini watu wamekosa utu namna hii? Nini kinasababisha mambo kama Haya kutokea katika jamii zetu sasa hivi...
  9. The Burning Spear

    Kauli ya vumbi la Congo kutoka kwa Mkuu wa Nchi inafikirisha sana

    Africans tunaswagwa Tu kama ng'ombe hatujui tunaelekea wapi. Ila anatuswaga ndo anajua anakotupeleka. Hoja ya msingi hivi ni kweli nguvu za kiume ndo tatizo kubwa kwa vijana wa kitanzania. Mkuu wa Nchi unaamka unauambia ulimwengu vijana wangu Wana upungufu wa nguvu za kiume kwamba nalo ni...
  10. petercharlz255

    SoC02 Njia mbili za kifikra kati jambo moja na maamuzi sahihi | siasa, ndoa, dini...

    Kupitia jukwaa hili nataka kuwafikishia elimu hii watumiaji wa jukwaa hili la jamii kuhusu NJIA MBILI ZA KIFIKRA KATIKA JAMBO MOJA NA MAAMUZI CHANYA. Kwa ufafanuzi zaidi ili kuleta maana harisi niliyotazamia katika jambo nalotaka kuzungumzia tuchukulie jambo hilo labda ni kosa katika sehemu...
  11. SAYVILLE

    Kesi ya mirathi ya Mengi inafikirisha sana

    Najaribu kuwaza nikifuatilia kisa hiki cha mirathi ya Mengi na najiuliza maswali mengi kuhusu haya maisha. Mengi amepigana akajenga familia yake na biashara zilizomfanya mmoja wa matajiri wakubwa nchini. Akiwa katika uzee wake, akaachana na mkewe na karibu kila kitu kinavurugika. Ugomvi ndani...
  12. Dong Jin

    Kumbe bajeti ya Tanzania inaweza kuwa Tsh. Trilioni 2 na chenji ikabaki? Inafikirisha!

    Mwanzoni mwa utawala wa mama Samia, kuna mkopo wa trilioni 1.3 wa masharti nafuu ambao ulikopwa kwa ajili ya kupambana na janga la korona. Huu mkopo ulipata umaarufu zaidi baada ya aliyekuwa spika wa bunge mh. Job ndungai kuhoji kwanini mkopo huo umeombwa wakati tunaweza kutumia hela zetu za...
  13. MK254

    Hii ramani inafikirisha sana, Urusi imeshindwa kuparamia haka kanchi

    Ama kwa kweli ukubwa sio nguvu ila ujuzi na matumizi ya ubongo, kainchi saizi ya mkoa mmoja wa Urusi kameitoza Urusi kamasi imepoteza majenerali, meli, wanajeshi maelfu na hasara nyingine nyingi mpaka Urusi imeomba msaada Syria na kwingine. Licha ya hasara yote hiyo, Urusi imeambulia tumiji twa...
  14. Idugunde

    Inafikirisha sana, kwa utajiri wa mali na biashara anazofanya Mbowe ni wa kuchangiwa? Au ndio kuumizana tu Kichademachadema?

    Mwenyekiti wa CHADEMA anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai. Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili? Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia...
  15. SANCTUS ANACLETUS

    Inauma, inasikitisha, inakera sana, na inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na Safari ya Uongozi

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kuuficha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  16. SANCTUS ANACLETUS

    Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kulificha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  17. LIKUD

    Dunia ni mortgage: Nadharia hii kuhusu sababu ya binadamu kuletwa duniani inafikirisha sana

    Mafundisho ya uislamu, ukristo Na uyahudi KUHUSU chanzo Na Sababu ya binadamu kuwepo katika sayari ya Dunia wote mnayajua so sipo hapa Kwa ajili ya kuyarudia.. Nipo hapa Kwa ajili ya kuelezea Nadharia KUHUSU chanzo Na Sababu ya Maisha ya binadamu ulimwenguni ambazo zilitolewa Na watu walio...
  18. Fundi Madirisha

    Kwani, Walinzi wa Mbowe si walikamatwa na Sabaya mwenyewe? Inafikirisha sana

    Kuna mambo ya ajabu sana ndani ya taifa hili, hivi bado kuna la kujiuliza kuhusu walinzi wa Mbowe ambao tunaambiwa nao wana tuhuma ya kesi ya Ugaidi? Si ndio huyu huyu Sabaya wanaosema kwamba alikuwa anataka kuuawa na ndio yeye aliwakamata? Yaani Sabaya huyu huyu akakamate waliotaka kumuua na...
  19. L

    #COVID19 Corona bado inafikirisha sana

    Moja kwa moja kwenye mada. Kwanini wanamichezo hasa wachezaji mpira, riadha n.k hawasumbuliwi na Covid -19? Wengi wamekutwa na virusi lakini hawalazwi wanaendelea na mazoezi au kucheza mechi pia kama vile hawana chochote kwenye miili yao. Wengi pia hupona bila kutumia dawa yoyote maana...
Back
Top Bottom