Baada ya Watu wengi kuhoji uoga wa Iran kuigusa Israel, wairan walipo ndani ya Iran wale ambao hawataki tawala ya Hawa mamullah wametoa ya moyoni.
Wanasema Marekani hata ashambulie vipi bado hawaoni kama vita imerudi, wanaamini na wanatamani Israel iingie kati sababu Israel huwa hawana utani...
PRESHA
WAVULANA WENGI WANAPAMBANA KIMYA KIMYA.
Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa wasichana… lakini mara nyingi husahau kwamba hata wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni.
Tofauti ni kwamba wavulana wengi wamefundishwa kuficha maumivu yao.
Wamefundishwa:
“vumilia.”
“kuwa mwanaume.”...
Ooh hakikisha unaoa mwanamke mwenye bikra,
Mara ooh ukikuta hana bikra, piga chini.
Kama ingekuwa hivyo wengi wenu msingekuwepo hapa duniani.
Mwanamke akiamua kukubadirikia atakubadirikia tu haijalishi ulimkuta sealed au open case kwa maana mindset ipo kichwni na sio ukeni
Acheni utoto.
Mkiti msaafu wa Chadema Freem mbowe wamekutana na mkuu wa wilaya ya Hai Mstaafu Lengai Ole Sabaya katika msiba wa Mama yake mbunge wa Hai Saasisha Mafuwe.
Katika Msiba Huo,mbowe amesema yeye ameshamsamehe sabaya kwa mambo yote kwa hakuna mwanaadamu mkamilifu.
Nae sabaya alipopata nafasi ya...
Hamjambo!
1. Ni sawa uoe/kuolewa alafu useme nikijipenda inatosha, au akinipenda Mama inatosha. Mkeo au mumeo asipokupenda tafsiri yake hakuna ndoa hapo.
2. Uongozi unatokana na mapenzi. Kupendwa. Ndio maana watu wanachagua viongozi wanaowapenda.
3. Na huwezi kuongoza watu wasiokupenda. Kwa...
Waziri Mkuu goodmorning
Nimeona nianze kukupongeza kwa kazi nzuri ya kusikiliza malalamiko ya wananchi mkoani
Waziri Mkuu nimeona niseme haya
Pamoja na kazi nzuri unayofanya yale maagizo huwa mengi hayatekelezwi. Mimi nilikuwa mshabiki sana wa ziara za Majaliwa, kwa kweli kuna mambo alikutana...
Macho yanaongea .. Sura inasema.. The guilty are afraid...! Yaliyomo moyoni mwa mtu akishindwa kuyadhibiti hujitambulisha kwa uwazi kwenye macho na taswira kupitia sura yake!
Furaha
Huzuni
Fadhaa
Sintofahamu
Maumivu
Uoga
Uongo
Ukweli
Bashasha
Kimuhemuhenk
Hali zote hizi huweza kutambuliwa kwa...
Wale ambao tunaona mambo hayaendi sawa.
Tunatamani kuandamana ila bado hatuko tayari kutoka barabarani, tunaogopa kupingwa na polisi, tunaogopa familia zetu tutaziachaje.
Tunaogopa kuumizw au kufa.
Uwanja ni wetu, tujuane keyboards warriors, tusione haya kukiri kuwa sisi ni waandamanaji wa...
Kuna picha inamwonesha mwanasiasa Nape Nauye aliyemwita mwendazake mshamba, akamla kichwa, Leo anachonga vinyagooo.
Leo hii NASIKIA Makamba amefungua Madrassa je nikweli?
WALIOKUWA makampeni mastamind Leo hii wako benchi.
Ni wazi polepole alikua na nafasi nzuri mno ya kushauri anachosema sasa ambacho kwa wengi kinaonekana kama ni unafiki mtupu. Ni afadhalli angeshauri wakati akiwa na nafasi halafu ushauri wake ukataliwe kwa vielelezo angalau leo hii angelionekana mtu wa maana kiasi.
Hivi sasa,
historia ina...
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa...
https://www.facebook.com/share/r/1ATsucVFUU/VIDEO:
Msanii mkongwe wa muziki wa 'HipHop' nchini Selemani Msindi @afandesele1976 amesema hivi karibuni amekutana na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi ambapo miongoni mwa mambo aliyomweleza ni mashaka yake ya uwepo wa namba ndogo...
Kiongozi mkuu wa kiinjilisti: Iran imecheza na viongozi wa Marekani kama kitendawili
"Ama Jamhuri ya Kiislamu itasambaratisha mpango wake wa nyuklia kwa hiari, au ulimwengu huru utawasaidia kufanya hivyo," alisema Mchungaji John Hagee.
Aprili 28, 2025 akiwa ziarani huko Israel.
Serikali ya...
Yupo wapi huyo?
Hivi ni wapi Africa Mashariki kwa mfano, Mwenyekiti wa Tume huru ya taifa ya uchaguzi hateuliwi na Rais?
Ni nchi gani Africa michakato ya teuzi za umma kitaifa hazipitii kwa rais na mkuu wa nchi?
Hivi kwa madai ya chadema mtu huyo ateuliwe na nani sasa kwa mfano? Au ateuliwe na...
Kwa Watanzania na Wanamageuzi wenye mapenzi mema na CHADEMA na Taifa letu. Kwa vijana wanaotamani kufanya siasa za Upinzani kwa miongo kadhaa ijayo. Lissu is the way! Hawezi kuwa mkamilifu kama Binadamu, lakini ana sifa muhimu kwa maslahi ya CHADEMA na Taifa. Kwa kizazi hiki watu wa aina yake ni...
Mamlaka ya Serikali ya Baraza la Ushauri Watumiaji Usafiri Ardhini - LATRA CCC (LATRA Consumer Consultative Council) imeanza kufanya utafiti na kuchukua maoni ya Wananchi na Wadau wengine kuhusu matumizi ya Kadi za Elekroniki zinazotumika katika usafiri wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka, Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.