Habar za wakati huu,
Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30.
Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi...
degree
elimu
elimu ya
kazi
kazi ya stationery
kazi yoyote
marketing
miaka
miaka 30
miaka 5
mwanza
natafuta
natafuta kazi
nayo
stationery
uzoefu
wakati
zaidi ya
Habari za muda Huu wadau, Mwenye uzoefu au anayefanya biashara ya Dry cleaner anijuze.
Changamoto za biashara iyo
Faida za biashara
Soko linapatikana vipi (wateja)
nakadhalika...
Asante..
HALA TAXPRO LAUNCHPAD Programme imeandaliwa mahsusi kwa ajili yako. Ni programu ya kukuongezea ujuzi na uzoefu wa vitendo katika taaluma ya kodi, na haitakugharimu ada yoyote ya mafunzo.
Awamu ya kwanza ya programu itahusisha wahitimu 15 pekee, kulingana na idadi ya vitendea kazi vilivyopo...
Je umewahi kumsikia mtu aliyepata ajali mbaya au moyo wake kusimama akiwa hospitalini, madaktari wakamtangaza amefariki, lakini baada ya dakika chache moyo ukaanza tena kudunda na akazinduka? Anapozinduka, anakupa kisa cha ajabu cha pale alipokuwa kwa hizo dakika chache!
Kitendo hiki huitwa...
Kuna single mother mmoja nimemuotea mahali ni lecturer wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.nimepiga mara moja lakini naona ameanza kuniganda,ila naona kama anajiheshimu flani hivi.
Kuna mwenye uzoefu wa kutoka na hao viumbe kimapenzi humu?
Ewe mhitimu wa kodi hii ni nafasi njema kwako'
(i). Unapenda kupata uzoefu ili uanze kutengeneza pesa kwa kutatua matatizo ya wafanya biashara na makampuni mbalimbali.
(ii). Unahitaji kupata uzoefu kwenye taaluma yako ili uaminiwe na waajiri pindi unapoitwa kwenye interview.
(iii). Tumia career...
Kwa sasa kumekuwa na ongezeko la mahitaji ya madereva katika kampuni za usafirishaji, hususan madereva wa malori yanayofanya safari za ndani na nje ya nchi. Hata hivyo, kampuni nyingi zinahitaji madereva wenye uzoefu wa angalau miaka 3 hadi 5.
Kero yangu ni kwamba baadhi ya kampuni hizi...
Nimeona niwashirikishe hili kwa sababu naamini wafanyabiashara wengi humu wana experience kubwa ambayo inaweza kutusaidia wengine.
Mimi nafanya biashara ya vifaa vya ujenzi. Kwa kuwa siku hizi soko kubwa limehamia online, nilitengeneza page kwa ajili ya kutangaza bidhaa zangu. Kwa kweli...
Kuna mtu mmoja nilikuwa nafuatilia mafunzo yake.
Kuna kauli alisema "ANGUKO KUU LA MWANADAMU LIPO KATIKA KUSAHAU ALIPOTOKA"
Kwa uzoefu wako juu ya binadamu,Maisha hata Dunia Kwa ujumla.niambie unavyouelewa.
Wakuu niliikuta sehemu jamaa akaijaribu niliipenda sana nawauliza ni Chaka gani hapa Tanzania naweza kuipata JBL BAR 1300MK2 chini ya sh. 4M kwa kweli Mziki wake unaotoka humo niliupenda sana
Full Specifications
JBL Bar 1300XMK2-11.1.4 Channel Soundbar System With Detachable Surround...
Nimeamua kushirikisha uzoefu wangu nilioupata Musoma Mjini ili nipate maoni ya wanajamii na pia kuona kama kuna wengine wamewahi kupitia hali kama hii.
Mnamo tarehe 19 Juni 2026 nilisimamishwa na askari wa kike wa Usalama Barabarani akiwa Musoma Mjini. Aliniomba leseni ya udereva, nikamkabidhi...
Wakubwa habarini za leo, kuna hii kampuni ya wakenya inaitwa Bunny ndio wana tengeneza haya majiko ya ECOA induction cookers, naomba ambaye ameyatumia anipe uzoefu kabla sija jilipua kuchukua.
kama unataka kuondoa kitambi tazama hii
TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
https://vt.tiktok.com/ZSQx73YMp/
Wakuu, naomba msaada wa mawazo kutoka kwa wadau wenye uzoefu wa remote work au work from home nikiwa hapa Tz.
Nina hamu ya kuanza kujifunza na kuanza kufanya kazi za online kama njia ya kuongeza kipato kiasi cha pembeni ya shughuli zangu za kawaida.
Niningepend kusikia uzoefu halisi kutoka kwa...
Kijana anatafuta kazi ya jikoni yupo na uzoefu wa kutosha.
Umri 23
Eneo aliliopo Kibaha
Mawasiliano : 0664540696
N.b , anaweza pia kufanya kazi tofauti na ya jikoni , waweza kuwasiliana nae kwa maelezo zaidi.
🙏
Habari wakuu,
Naitwa Jofrey Mshobozi Mafuru. Nina uzoefu wa miaka 4+ katika mauzo ya moja kwa moja na huduma kwa wateja.
NINI NAWEZA KUFANYIA KAMPUNI YAKO:
1. Kusimamia wateja 200+
2. Kufikia malengo ya mauzo kila mwezi - 93.3% client retention rate
3. Kupata maduka/wateja wapya kila wiki...
Kwema Wakuu.
Yamenikuta majanga wakuu mpaka kufikishana polisi then baadae mahakamani kwa Madai ya wizi(mashine za kampuni). Ilinipa changamoto sana katika hatua za mwanzo kutatua hii changamoto pesa zilikuwa zinanitoka tu lakini hakuna matumaini.
Kuanzia polisi mpaka mahakamani na...
Ukisafiri toka DAr kwenda mkoa ukapita Kituo cha Kibaha Stendi na Pale Picha ya Ndege utaletewa Chips.
Je, hizi ni chips au unga wa ngano umewekewa rangi na nyanya chungu?
Msamvu je?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.