buku

Buku Sudoku (titled Buku Números in Mexico and Buku数字パズル in Japan) is a downloadable puzzle game developed by Ukrainian studio Absolutist Ltd and published by Merscom based on Sudoku for the Windows PC's. The game was also released for the Xbox 360 via Xbox Live Arcade, on May 28, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Hivi Mfalme Solomon (Suleiman ) aliwezaje kuwamudu wanawake buku ( elfu Moja)

    Kwenye biblia tunaambiwa king Solomon alikuwa ameoa wanawake miasaba (700) huku akiwa na michepuko 300 Najaribu kuwaza je huyu jamaa aliweza kweli kuwapa haki ya ndoa wanawake wote hao? Kama tunavyojua ngijangija za wanawake visasi, chuki, kusemena na ugomvi wa hapa na pale je huyu jamaa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha SGR – Dar kitengewe sehemu ya madereva kuchukua abiria wao, kulipia buku hata kama unapita tu si sawa

    Madereva tunapata changamoto kubwa pale kwenye Kituo cha SGR kilichopo Stesheni, Dar es Salaam, wanatukamata tukienda kubeba abiria, wanataka tuingie ndani ili tulipie shilingi 1,000, wakati sisi ni madereva wa mtandaoni na pale tunapita tu siyo kwamba tunaenda kuegesha vyombo vyetu. Namaanisha...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO IRUWASA wanakata maji hata kama unadaiwa buku 1 ili ulipie Sh 15,000 ya faini

    Mamlaka ya Maji Iringa IRUWASA inakatia wateja maji hadi wanaodaiwa bili ya shilingi elfu moja kwa mwezi mmoja na kuwalazimu kulipa garama za kurudisha maji elfu 15. Wanafanya hivyo ili mamlaka ya maji iweze kuongeza makusanyo, hatujawasiliana na yeyote hakuna ushirikiliano na wananchi hatuna...
  4. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Wakuu Nina shida ya buku

  5. Loading failed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna namna yale maeneo ya dada zetu yamekua sugu sana hasa hawa wa buku mbili

    Kwa masikitiko makuu Mwanaume ukipewa kula na ukishiba ondoka zako Ndugu zangu, dada zetu wa siku hizi wamekua sugu sana yale maeneo hata usugue papuchi kiasi gani hakika unakua kama hakuna ulichokifanya huku wewe ukiwa hoi taabani, 1: kuna kila sababu ya kuwaza na kukubaliana kwamba asilimia...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Machawa wa jeshi, wanasiasa acheni unafki mnampigania samia kweli au mnapigania vyeo na buku saba ?

    Machawa wa jeshi, wanasiasa acheni unafki mnampigania samia kweli au mnapigania vyeo na buku saba ? ukiwaona wanajitoa akili wewe waulize tu hivi unapigania samia au buku saba ? nyuma ya pazia hawa jamaa hawana time kabisa na samia bali ni njaa na tamaa. hawafikirii watanzania wenzao ni...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ?

    Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ? Maana mnaenda kinyume na wale wanaopinga vitendo hivyo vya kuuliwa na kutekwa je mnapiginia haki za kutekwa? au mna magonjwa ya akili ? katika utafiti wangu mimi sielewi hawa watu...
  8. Sales man

    JamiiForums Tanzania hawa madogo wa buku bee mlikuwa mnawadharau ila ndo wameipa nchi heshima mpaka sasa .

    ukikutana na dogo wa buku bee mvulie kofia na umwambie shikamoo.
  9. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Gerson Msigwa wakati wake unakuja. Polepole alikuwa na vyeo vikubwa kumshinda lakini leo ni kama panya buku sembuse yeye mshika maiki?

    Mwacheni aropoke si ndio kazi yake. Lakini abakize akiba ya maneno. Cheo chake ni kidogo sana. Hana mizizi na hana ushawishi wowote kwa watawala na wananchi. Asijisahau tofauti yake na Polepole ni wakati tuu. Tena yeye atapotea na hakuna wakumuulizia zaidi ya familia yake. Na bado.
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya buku

    Bila shaka umeshasikia mtu kaua mtu kwa kuwa anamdai mtu buku au hela chini ya buku. Wengine hata kufikia hatua ya kuua watoto wao kwa makosa yanayohusika na kupoteza kiwango hicho kidogo cha fedha. Hata hivyo, hii ilitosha kutuambia nguvu ya buku tunayoijua ni tofauti na nguvu ya buku mtaani...
  11. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Vijana wa buku 2000 hawawezi jua hizi mambo😂

    Nasikia bado zipo usukumani😂
  12. W

    JamiiForums Tanzania iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  13. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Thamani ya TSH imeshuka huu ndio msosi wa buku nne

    Wakuu mjini pagumu
  14. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa buku wa behewa upoje?

    Anayejua kutengeneza mkeka wa buku ambao unaweza kunipatia million 10-30 Tshs. Naomba nisaidie namna ya kuupanga huo mkeka. mfano naweka timu ngapi? Ni wa kufungana au GG? Mimi sifahamu kabisa betting lakini nataka kuwa najaribu bahati yangu japo mkeka mmoja au miwili kwa wiki. Unaweza...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wanauchumi nipeni bajeti nikiwa na buku 3 natoboa vipi siku

    Wanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe kwa mtaa Naomba ushauri wa kina, me ni Mtanganyika mwenzenu
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wanauchumi nipeni bajeti nikiwa na buku 3 natoboa vipi siku

    Wanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe Kwa mtaa Naomba ushauri wa kina, me ni Mtanganyika mwenzenu
  17. Roseyree

    JamiiForums Tanzania Kwa BuKu 1000 njoo nikupe siri machimbo unayoweza pata mitumba safi na quality za watoto,za wadada bei nafuu nguo kuanzia 300 pga 0625056158

    Hello wapendwa una mtaji mdogo au mkubwa na unataka uanze biashara ya Nguo za mtumba Then karibu nikuhudumie kwa buku tu kukuelekeza na kukushauri kuhusu biashara ya nguo za mtumba Za watoto Za kike Na kiume Bei nafuu Mfano nguo za watoto unapata kwanzia sh 300 , 500 , 1000 wewe tu Nguo...
  18. Under-cover

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa wenzetu sijui hawanaga mishipa ya aibu, mtu anakuomba laki kama anaomba buku.

    Wakuu mnawafanye hawa (KE)
  19. Roseyree

    JamiiForums Tanzania Sale sale: Jamani karibuni nauza Mtumba gauni 3500 tu na vishati 1500 tu sketi imebaki moja 2000 tu karibuni sale ya moto Mbezi Magufuli

    Kabla ya kufungua mzigo mpya nimeamua nifanye sale Jaman nauza gauni mtumba quality 3500 af tatu tu Sket imebak moja 2000 tu Vitop vishat 1500 tu Karibuni sana wasap or call 0625056158
  20. Marashi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimeagiza Valeur ndogo nimeletewa Viceroy na nina buku 5 cash. Mhudumu ni pisi kali niliyokuja kuilia misele niombe namba

    Natokaje hapa, ndo ushauri ninaohitaji. Hapa jirani kuna pub mpya imefunguliwa mwezi sasa, kuna pisi za hatari …. kuna hii moja juzi nilikuja ikanichekeachekea leo nilikuja mahsusu kwa ajili ya kuomba namba nikasema nizuge na Valeur ndogo nina buku tano tu. Sa kaleta Viceroy ndogo na...
Back
Top Bottom