Tanoil (shirika la kuuza mafuta linapataje hasara?)

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,333
8,252
Ndugu zangu mimi nimekaa Leo najitafakari.

Nimetafakari sana mpaka kichwa kikataka kupasuka.

Nilikua najiuliza maswali shirika letu la mafuta (TANOIL) limepataje hasara.

Mbona wengine wana matenki mawili tu ya mafuta na wanapata faida biashara zao zinazidi kukua.

Inauma sana.

 
Back
Top Bottom