india

 1. M

  Hongera sana kwa Waziri Mkuu wa India kwa kudumisha na kujivunia utamaduni wa India katika mavazi

  Kwa kweli huyu waziri mkuu wa India anafurahisha sana!! Anajivunia uvaaji wa kihindi kwa kujiamini kabisa!! Waarabu pia nawapongeza sana na wanigeria!! Anaitangaza nchi yake sawasawa!! Ana msimamo, ndio maana hawezi kuyumbishwa propaganda za nchi za magharibi!!
 2. BigTall

  Wazazi wadai fidia ya Tsh bilioni 1.5 kwa mtoto wao kama asipoleta mjukuu

  Familia moja ya wazazi Nchini India imefungua kesi kwa mtoto wao wa kiume na mkwe wao wakitaka waletewe mjukuu ndani ya mwaka mmoja au walipwe Rupia milioni 50 (Rupia milioni 25 kutoka kwa kila mmoja) sawa na Tsh bilioni 1.5. “Mwanangu amekuwa kwenye ndoa kwa miaka sita lakini bado hawajapata...
 3. JanguKamaJangu

  Watu 27 wafariki kwa ajali ya moto India

  Watu 27 wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya moto kutokea katika jengo lenye ghorofa nne Jijini Delhi Nchini India, Polisi wamesema kulikuwa na watu zaidi ya 70 katika jengo hilo Zaidi ya mashine 20 zilitumika kupambana kuuzima moto huo, ambapo watu wawili wanashikiliwa na mamlaka...
 4. Linguistic

  Mume Sasa Atatiwa Hatiani Kwa Kosa la Kumbaka Mkewe Nchini India.

  Wajubaa . Mume Sasa Atatiwa Hatiani Kwa Kosa la Kumbaka Mkewe Nchini India. . Wakuu, Baada ya Kusililizwa Kwa shauri lililolenga ktaka kwamba iwe Kosa la ubaki ni pale Mme anapomlamzimisha mkewe KUFanya tendo la Ndoa. . Hatimaye Justice Rajiv Shakdher Wa Mahakama Kuu ya Delhi amefuta kifungu...
 5. Mc FR

  INAUZWA Mzani original wa india sh. 150,000/-

  MZANI ORIGINAL WA INDIA SH. 150,000, UPO MIKWAMBE KIGAMBONI MAWASILIANO; +255658628441
 6. Lady Whistledown

  #COVID19 Afrika Kusini yahofiwa kuwa na Wimbi la 5 la maambukizi ya Covid-19

  Waziri wa Afya wa Afrika Kusini, Dr. Joe Phaahla akizungumza na vyombo vya habari vya habari Aprili 29 asubuhi, alisema Idara ya Afya imeshuhudia ongezeko la maambukizi ya Covid-19 katika wiki mbili zilizopita, haswa katika Gauteng, Western Cape na KwaZulu-Natal. - Ameeleza kuwa nchi ilirekodi...
 7. Lady Whistledown

  India yaonya ongezeko la joto kalikutokana na mabadiliko ya hali ya hewa

  Idara ya Hali ya Hewa ya India (IMD) imetabiri kupanda taratibu kwa viwango vya juu vya joto kwa Centigredi 2-4 katika maeneo mengi ya kaskazini-magharibi na katikati mwa India kwa juma hili, bila kutarajia mabadiliko makubwa hapo baadae - Inaelezwa kuwa mawimbi ya joto ni ya kawaida nchini...
 8. MINOCYCLINE

  Hongereni 'Mortuary Attendant' wa Tanzania, ila usiombe Nduguyo afie India halafu uje uipokee Maiti yake waliyoiandaa Wao huko

  Kuna Maiti nimetoka kuipokea na kwenda Kuihifadhi Hospitali fulani Jijini Dar es Salaam ila baada ya Kuifungua ili ianze kuwa treated ikitokea nchini India alikofia kiukweli nimeamini Waafrika tunadharaulika mno na hawa Wahindi siyo Watu japo hapa Tanzania tunawapenda na hata Kuwanyenyekea vile...
 9. Ami

  Wezi waiba daraja India

  Kundi la wezi likiwa na vifaa vizito nchini India wameliiba daraja la chuma lenye uzito wa tani 550.Tukio hili limefanyika kwenye mto wa Ara Sone jimbo la Bihar . Wezi hao walifanikisha wizi huo kwa muda wa siku tatu wakianza shughuli zao kuanzia saa moja na nusu kila siku huku wakiwa wamevaa...
 10. John Haramba

  Waziri Mkuu Mpya wa Pakistan, Shebaz Sharif: Pakistan inapendelea zaidi Amani na Uhusiano wa kushirikiana na India

  Waziri Mkuu mpya wa Pakistan, Shebaz Sharif amesema nchi yake inapendelea zaidi amani na uhusiano wa kushirikiana na India, mtazamo ulioonesha kuchaguliwa kwake huenda kukatoa nafasi mpya ya kuwepo maelewano ya kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili jirani zenye silaha za Nyuklia. Katika ujumbe...
 11. D

  Mafuta na gesi ya Russia yaendelea kwenda kwa wingi India, China na nchi za EU. Hizo za ulaya wanayanunua kwa rubles

  Sasa ni wiki sita tangu vita ya Russia vs USA inayopiganiwa Ukraine ianze. Hakuna dalili ya vita hii kumalizika siku za karibuni. Na kuna uwezekano wa kugeuka kuwa vita ya kinuklia mbaya ambayo haijawahi kutokea hapa duniani. Kabla ya vita hii, India ilikuwa inanunua asilimia 2 hadi 5% tu ya...
 12. D

  Bei ya mafuta ya petroli, dizeli toka Urusi sasa ni $30 kwa pipa. China na India wachangamkia fursa. Kwanini Tanzania isifanye hivyo pia?

  Wahenga walisema, 'Kufa kufaana'. Kwenye kila tatizo linalotokea hapa duniani huwa linafungua fursa kwa baadhi kufaidika nalo. Badala ya kukaa tunalialia linapotokea tatizo, tunapaswa kutazama upande wa pili wa shilingi kwamba tutafaidikaje na hilo tatizo. Hata lile tatizo kubwa la mlipuko wa...
 13. Nyendo

  #COVID19 Kamishna Jenerali, Gerald Kusaya: Baadhi ya Watanzania waliomba kibali kwenda kutibiwa India na wakabeba madawa ya kulevya

  Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA)imesema katika kipindi cha Ugonjwa wa Covid-19 baadhi ya Watanzania walitumia mwanya huo kujifanya Wagonjwa na kwenda kutibiwa nchini India ilhali wakiwa wamebeba dawa za kulevya. Hata hivyo licha ya kutumia mbinu ya kupata vibali vya...
 14. beth

  India yapiga marufuku Apps 54 za Kichina kwa sababu za usalama

  Kutokana na hofu ya Usalama, India imezuia upatikanaji wa 'App' 54 kutokea China. Tangu mvutano wa kisiasa kuibuka kwa mara ya kwanza na China Mwaka 2020, India imepiga marufuku jumla ya 'App' 321 India inaamini Taaarifa za Watumiaji zilikuwa zikitumwa China kupitia Apps, kisha kutumika kwa...
 15. Sky Eclat

  Mwalimu Nyerere akipokelewa na Bi. Indira Ghandi nchini India

 16. beth

  #COVID19 Delhi, India: Maambukizi ya COVID-19 yapungua, migahawa yaruhusiwa kufanya kazi

  Mji huo umeondoa marufuku iliyowekwa kudhibiti mizunguko ya mwisho wa wiki, na kuruhusu Migahawa na Masoko kufunguliwa kutokana na maambukizi kupungua. Hata hivyo, Shule bado zitaendelea kufungwa na migahawa, baa na kumbi za sinema zitaruhusiwa kufanya kazi kwa sharti la kuchukua watu 50% ya...
 17. Ben Zen Tarot

  Fahamu kwanini Marekani, Urusi na India zina shauku kubwa ya kwenda mwezini

  Hakuna chombo hata kimoja cha safari za anga za mbali kilichotua mwezini mwaka uliopita. Lakini, tunaendelea kusikia habari kuhusu mwezi. Nchi nyingi na makampuni yanajiandaa kwa kupatwa kwa mwezi mwaka huu. NASA itazindua mpango wake wa Artemis mwaka huu kama sehemu ya hili, mwanaanga wa kike...
 18. Lailah ila Issa

  Kwanini bara la Asia (hususani China & India) kuna watu wengi mno?

  Nimekua nikiamini kuwa hakuna bara linaloifikia Afrika kwa uzuri wa kusapoti uhai, yaani vitu kama rasiliamali nyingi, hali ya hewa, ardhi yenye rutuba, maji ya kutosha(sub saharan), wanyama wengi wa kuwinda/kula nk. nk. Pia nimekua nikiamini kuwa Afrika ndipo binadamu wa kwanza walipoishi...
 19. beth

  India: Takriban watu 12 wafariki dunia katika mkanyagano wa mwaka mpya

  Takriban watu 12 wamefariki dunia na wengine wapato 13 kujeruhiwa mapema leo kufuatia mkanyagano katika jumba la kidini la Mata Vaishno Devi huko Kashmir ambalo hutembelewa na maelfu kila siku kwa ajili ya maombi. Ripoti za awali zinaeleza kuwa mkanyagano huo ulitokana na idadi kubwa ya watu...
 20. Underthesea

  Story time: Amfuata mwanamke Sweden kutoka India kwa baiskeli

  Pradyumna Kumar "PK" Mahanandias alizaliwa mwaka 1949 katika kijiji kimoja huko India kwenye moja ya matabaka ya kihindi ya chini kabisa (untouchables) kwahiyo hakuwa na tumaini la kutoka kwenye maisha ya ubaguzi na umaskini. Ni kawaida Kwa wahindi kuita wanajimu watoto wanapozaliwa. Mnajimu...
Top Bottom