Wauza maua sasa ni wakati wenu huu ku-export Maua huko Uingereza kufuatia msiba wa Dunia.
NB: Air Tanzania badala ya kupakia waombolezaji wasiolipa nauli, pakia maua tukauze London.
Mwanangu hakuna kingine ambacho unaweza jivunia au kukupa heshima kwa mumeo zaidi ya kumtumzia usichana wako (ubikira) maana kama ni elimu huna ya kutosha na hali duni ya maisha ya sisi wazazi wako faraja pekee ya sisi wazazi wako ni wewe kutupa heshima maana tumekuzaa na kukulea katika maadili...
Mahakama ya Afrika Mashariki imeamuru mfanyabiashara Tribert Rujugiro anayeishi uhamishoni, kulipwa fedha hizo baada ya kubaini kuwa serikali ya Rwanda ilikiuka Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kujipa mamlaka na kuuza jumba lake la maduka "Shopping Mall".
Uamuzi huo unajumuisha riba...
Habari wana jf, asalaam aleykum Muslimina.
Nianze moja kwa moja suala langu, nimekuwa na utaratibu wa kuomba overdraft miaka 4 iliyopita kiasi cha shilingi million 15.
Nimekuwa nikichukuwa kutumia fedha hizo kwa shughuli zangu za biashara ya mpunga na mahindi pamoja na korosho, kama kawaida...
Kwa mujibu wa “Wikipedia ya Wamachinga”, Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi; lugha yao ni Kimachinga.
Kwa mujibu wa “Wikipedia” hii, kwa kipindi cha karne ya 20 na 21, Wamachinga wamekuwa maarufu katika miji mbalimbali kwa kuuza...
Kampuni hiyo ya Afrika Kusini imetangaza kuacha kuuza poda yake ya watoto yenye kemikali ya #talc duniani kote ifikapo Mwaka 2023, kutokana na hofu ya usalama wa watumiaji
Mnamo 2020, J&J ilitangaza kuwa itaacha kuuza talc Baby Poda katika nchi za Marekani na Canada kutokana na kile ilichokiita...
JINSI YA KUPATA WAZO LA BIDHAA YA KUUZA MTANDAONI NDANI YA MASAA 24 TU
Najua uwa unasikia story za watu kupiga pesa mtandaoni yaani wanatumia smartphone au PC na internet kupiga mpunga na haujawahi kuwa mmoja kati yao na unatamani nawe upate bidhaa itakayokuwezesha kupiga pesa mtandaoni na...
Struggle is real my friend, hali ikienda hivi inabidi wafanye kale ka mchezo cha last year kuingiza watu bure siku husika yaani kesho kwa sababu hakuna namna
Ndugu Zangu Nimeanza Kufanya Biashara Ya Kuuza Suruali za Mtumba Kutoka Dar Naenda Kuuza Moro - Dodoma.
Naombeni Mawazo ya Kukuza Biashara Yangu Kwa Wazoefu Wa Hii Kazi.🙏🙏🙏
Niwe Nafanya Nini Au Niongeze Nguo Za Aina Gani Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Naombeni Maoni Yenu Wadau.🙏🙏🙏
Mimi ni mtumiaji wa Oil za Castrol kwenye magari ya Ulaya na Japan.
Juzi nilikuwa natafuta oil ya Castrol 5W30 Edge Full Synthetic kwenye filling stations za PUMA sikuweza kupata, sana sana walikuwa na oil za Castrol chache ikiwemo 5W40 Edge, nilizozikuta ni PUMA Oil ndizo wamezijaza nadhani ni...
Jameni aliyemshauri Putin kuchokonoa nyuki sidhani kama atasamehewa......
To move away from relying on Russian energy, the European Union are increasingly turning to Africa for natural gas imports — and Algeria, Niger and Nigeria are looking to cash in.
Algeria, Niger and Nigeria signed a...
Mkulima Wu Liuhong kutoka mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China, alipanda miplamu kwenye eneo la zaidi ya hekta 13.3 mwaka 2017, na mwaka huu amepata zaidi ya kilo laki moja za matunda. Lakini uuzaji wa matunda yake unasuasua kutokana na watu wote kupata mavuno mazuri mwaka huu.
Kwa...
Nimekusikia ukisema kuwa hutafunga mipaka kuzuia chakula kuuzwa nje. Nakupongeza sana kwa hili. Kwa miaka mingi hilo suala limekuwa likimnyonya sana mkulima. Limedhoofisha na kilimo chetu.
Uamuzi wako unaweza pandisha bei ya chakula. Unaweza leta lawama, lakini ni uamuzi sahihi. Kilichobaki...
My fellow jf bado nipo naendelea na mchakato wangu wa kuuza au kupunguza baadhi ya assets zangu ili nipate kuongezea mtaji wangu ulioyumba tangu mwaka huu uanze uchumi kwangu ume collapse kabisa.
Hapa nauzq toyo namba c yaani pikipiki ya miguu mitano kwa tsh 1,800,000 angalizo njoo na fundi...
Nnaona kuna upotoshwaji wa hali ya juu wa hali ya chakula nchini. Si kawaida yangu kuanzisha thread, ila hili imebidi nianzishie thread.
Kwanza kabisa ni declare interest, mimi ni mdau wa kilimo kwa miaka mingi, hivyo nnachoandika hapa ni kutokana na uzoefu wangu kwenye kilimo.
HOJA KUU
Watu...
Google na kampuni nyingine za teknolojia zimeshutumiwa kukiuka kanuni za ulinzi wa taarifa za Ulaya(GDPR) ambapo wanatoa taarifa za watumiaji kwa mamia ya watangazaji.
Wadai wamefungua madai hayo kwa mamlaka za Uingereza na Ireland kwa niaba ya Brave na Open Rights Group.
Brave inadai...
Nakumbuka miaka ya nyuma wakati serikali ikinunua mahindi, ilikuwa ukipita njia ya kati, kuanzia pwani mpaka singida yalikuwa mashamba ya mahindi.
Baada ya Serikali kusua sua katika kununua mahindi, mashamba hayo yamepotea.
Mbali na serikali kutoa ruzuku kwenye mbolea bado mashamba haya...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema hatua muhimu ya kwanza imefikiwa katika juhudi za kuwezesha nafaka kusafirishwa kutoka Ukraine.
Guterres ameeleza kwamba hatua hiyo imefikiwa kwenye mazungumzo ya mjini Istanbul kati ya wajumbe wa Urusi na Ukraine. Wajumbe wa Umoja wa...
Clip inasambaa semaji la yanga likizozana na Rais wa TFF kwenye mchezo wa fainali baina ya yanga vs coastal Union, kwa kweli sasa jamaa amefika mwisho, Manara ameingia choo cha kike, adhabu za Karia zinaanzia kifungo cha maisha na kuendelea.
Lakini, hivi huyu jamaa ana matatizo gani, kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.