Salamu kwa maveteran wote back in 20 years mlitumia teknolojia gani kuandika mabandiko marefu?
1.Nyuzi zenu hazichoshi kuzisoma
2.Nyuzi zenu zimejaa logical consistency
3.Nyuzi zenu zina marumbano ya hoja
4.Nyuzi zenu hazina udaku wala utoto
5.Nyuzi zenu ni urithi wa dhahabu kwa kizazi...
Habari
Limekuwepo wimbi la akina Tibaijuka,akina Polepole,akina Ndugai, akina Warioba nk
ambao walichangia pakubwa kuifanya Tanzania iwe jinsi ilivyo Leo....
Mfano;wote munaofahamu utawala wa Magufuri munamfahamu Polepole ni nani na alifanya mangapi lakini utashangaa munamuona mkombozi.
Ata...
Kwa sasa kama wakongwe wamepindua meza kwani kila tukio sasa wakongwe wanapanda kupaform muziki wa bongo fleva wa zaman, kwetu sisi age go ni burudani kabisaaa.
Tumeona kwenye Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva namna ambavyo lilionekana watu wamelipokea vyema na kuonesha kufurahi kwani wengine...
Baada ya Lionel Messi kupiga show lingine la hatari World Cup, legends mbalimbali wamejikuta wakimmiminia sifa La Pulga mfululizo kama mafuriko.
Ronaldo Nazário “De Lima”, "The Real Ronaldo" mwenyewe amesema muda umefika dunia ikubali kuwa Messi ndiye GOAT wa kweli🔥
Bingwa huyo wa zamani wa...
Habari za leo.
Katika maisha ya biashara Kuna Muda lazima ufanye mabadiliko .
Sasa nimekuwa na mawazo hasa mabadiliko nayotaka kuyafanya kwenye biashara yangu.
Ok Mimi ni muuzaji wa vifaa vya umeme vya majumbani ,taa za Urembo na sasa naingia umeme wa viwandani.
Hapo awali nilikuwa nauza...
Sikumbuki yule member alikua anaitwa nani? Iko hivi HUYU member ni WA shinyanga alienda zenji KUTAFUTA MAISHA, miaka hiyo ZAMANI SANA, alikua anafanya KAZI KWA wahindi.
SIKU MOJA alifuatwa na MMOJA WA wahindi akamwambia ANATAKA afanye NAYE KAZI, AMPE MAISHA Yani HUYO member awe anafuata SAA...
Baada ya Lewis Hamilton kuhama Mercedes Benz na kwenda Ferrari wengi tulitegemea maajabu mengi ila hamna kitu. Ata podiums tu huu msimu za kuhesabika.
Move ya MB kumtoa Kimi Antonelli kutoka Mercedes Benz Junior Racing kuja F1 kumreplace Hamilton wengi walijua wamebugi. Ila dogo ni wa moto...
Zile shule kongwe kidogo zilikuwa na magari aina ya malori ambayo yalisaidia katika shughuli za shule kama kusomba vyakula, kuni na kusafirisha wanafunzi kwenye matukio. Magari haya yalijizolea umaarufu lakini pia kila shule ilibatiza jina la utani lori.
Hadi sasa nimewaona wakongwe muhimu ndani ya chama wakimuunga mkono Rais Samia na Dr Nchimbi.
-Philip Mangula
-Adam Kimbisa
-Bashiru Ally
-Joseph Butiku
Tanzania Samia Connect inayotarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 21- 23, 2025 inatarajiwa kuwakutanisha katika jukwaa moja wasanii zaidi ya 50 kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Arusha, ikiwemo wakongwe wa muziki kutoka Jijini Arusha Fido Vato anayetamba na wimbo wa 'Chuga hiyo' pamoja na JCB aliyevuma...
Katika dunia ya sasa, Artificial Intelligence (AI) imeleta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya teknolojia, hasa kwenye coding na software engineering. Kwa kutumia AI, tunaweza sasa kuandika, kurekebisha, na hata kupima code kwa haraka zaidi, kwa usahihi zaidi, na kwa gharama ndogo. Hii imefungua...
Wana JF na JF moderators forum hii iwe maalum kwa kiwatambua wakongwe wa jf kwa kuwataja Ili kujifunza kutokana na michango Yao kama wananafasi wajitaje humu au watajwe Ili wale watoto wa 2020 walipopata kujua mitandao 2020-2025 wajue na wajifunze
Naombeni msifute uzi huu na ikiwezekana uwe...
Rais wa Burkina Faso 🇧🇫Ibrahim Traoré ni mtu wa boli kweli kweli, hapa akiwa anacheza na wakongwe wa boli kwenye mchezo wa kirafiki akiwemo fundi wa Mpira kutoka Nigeria Jay-Jay Okocha, Emmanuel Adebayor na wengine.
Tuliyaishi haya maisha.. Leo yamebaki kuwa simulizi za vitabuni.. Hakuna uhalisia tena
Hakuna urafiki wa kweli tena.. Marafiki wa siku hizi ni mazombi ya mitandaoni.. Ni urafiki gani huo hamjuani wala hamjawahi kuonana?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.