Wakenya wamepata good news kidogo baada ya Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA) kutangaza kushuka kwa bei ya mafuta kuanzia April 16 hadi May 14, 2026.
Kulingana na taarifa, bei ya Super Petrol imeshuka kwa KSh 9.37 per litre na Diesel kwa KSh 10.21 per litre ndani ya Nairobi. Hii...
Wakuu,
Naona sasa ni mwendo wa kumuonea mnyonge, yaani viongozi wa Afrika sasa wameona hii ndo njia ya kujitetea kwa wananchi wao kwa kushindwa kuwajibika kwenye hili janga la mafuta
Juzi tu Kizimkazi alitoka kulinganisha Tanzania na bei ya mafuta Marekani na Ulaya hadi akapenyezewa
--------...
Mtakuja kuniambia. Time will tell! Nchi hii ya kijambazi, majizi , wala Rushwa hata Hormuz ikifunguliwa to 100 % functional to let tankers sail through, na bei ya dunia ikashukakuwa kama mwanzo, HAPA BEI YA MAFUTA HAITASHUKA.
Akina Msoga and Co. Ltd, ndipo sasa wanakuwa trillionaires!
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limetangaza kuanza kwa tathmini ya athari za ongezeko la bei ya mafuta katika sekta ya usafiri wa majini, hatua inayolenga kubaini kama kuna haja ya kurekebisha nauli za abiria. Tathmini hii imechochewa na mabadiliko ya bei elekezi za mafuta yaliyoanza...
Tunakuwa na viongozi fake ambao hata bei ya mafuta hawawezi kupiga mahesabu madogo na kujua. Leo ndiyo watuwakilishe kwenye mikataba ya bandari na mafuta. Wamejaza machawa vilaza nchi nzima🤦🏾♂️🤦🏾♂️🤦🏾♂️🤦🏾♂️ mapinduzi ni lazima hapa
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafirishaji Ardhini (LATRA), Habibu Suluo, amesema kuwa kupanda kwa bei ya Mafuta ya sasa haiathiri nauli hivyo nauli zitaendelea kubaki vile vile.
Suluo ameongeza kuwa nauli zinaweza kupandishwa ikiwa bei ya Mafuta itapanda kwa kiwango kikubwa...
Akizungumza Aprili 8, 2026 katika hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, Rais Samia ametoa mchanganuo wa bei za mafuta kwa mataifa ya Ulaya na Marekani, akieleza kwa Tanzania ni nafuu na bado kuna uhakika wa Mafuta kwa miezi mitatu.
Soma pia Rais Samia: Naanza...
Rais Samia amedai kuwa bei ya Mafuta nchini ni ndogo ukilinganisha na nchi nyingine licha ya kupunguza ushuru, wananchi muwe watulivu hili jambo halijasababishwa na Serikali yetu.
Bei ya mafuta duniani imepungua kwa kiasi kikubwa kufuatia tangazo la Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda wa wiki mbili.
Mapema Jumanne, pipa moja la mafuta katika soko la kimataifa lilikuwa likiuzwa kwa dola 103.42, huku mafuta ya Marekani...
Akizungumza na Vyombo vy habari leo Aprili 6, 2026 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokraisa na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amesema kuna ma- caretel (Kundi la wafanyabiashara) ambao wanajimilikisha uchumi wa Tanzania, akidai kuna taarifa wanazofuatilia kuwepo kwa kampuni moja yenye ukaribu...
Habari wandugu,
Hawa jamaa sijui upeo wao upoje,badala ya kukaa na kutafuta solution wanasema serikali imeongeza bei kidogo kuliko wengine ,nilitegemea watajadili inflation inayokuja au endapo mafuta yamekosekana kabisa watafanya nini,ni muda mchache tu utafika wimbo wa ukosefu wa mafuta utaanza...
Kwa takribani siku ya tatu leo Daladala kwa route ya Tegeta - Posta/ Kariakoo, Bunju - Morocco daladala zimezidi kua chache kulinganisha na siku za huko nyuma
Abiria wamekua ni wengi kwenye vitu vya abiria njia ya Bunju - Posta/ Kariakoo.
Mbali na hivo usafiri wa Bajaj pia umekua na ongezeko la...
Naomba kujua sio kwa ubaya pia kwanini Tanzania bara na Zanzibar bei ya mafuta zinapishana sana?
Bei ya Tanzania 4000 lakini Zanzibar ni 2900.
Sisi ni nchi moja ila kwann tunatofaut kubwa sana hapa.
Kwanini mamlaka zetu wajifunze kwa wenzetu?
Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Gidel Kiswaga akizungumza leo Aprili 2, 2026 kwenye Bunge la 13 Mkutano wa 3 kikao cha 3 Dodoma, ameeleza kuwa kulingana na hali ya kukosekana kwa mafuta duniana kufuatia mgoggoro unaondelea mashariki ya kati inabidi watanzania wakubali bei ya mafuta...
Mafuta yakipanda automatically gharama za maisha zitapanda kila kitu kitapanda bei.
Serikali zenye akili zina futa kodi na ushuru kwenye mafuta ili kuzuia bei ya mafuta kupanda na kudhibiti mfumuko wa bei kuzuia kupanda kwa gharama zote za maisha ,na hiyo ndiyo maana ya serikali kwa ajili ya...
Moja kwa moja.
Watu wengi wanadhani vita ikiisha basi maisha yatarudi kawaida na bei za mafuta katika soko la Dunia zitashuka na kurudi katika hali ya kawaida.
Msichokijua kwamba atahari ya hii vita zinaweza kuchukua muda mrefu kwani baadhi ya mashambulizi yameharib kabisa miundombinu ya...
Waati Serikali ya Tanzania ikitaja vita vinavyoendelea kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran kuwa ndiyo chanzo cha ongezeko la bei za mafuta kuanzia Aprili 1, 2026, utata umegubika suala hilo kutokana na kauli za viongozi wa Serikali waliowahakikishia Watanzania kuwa kuna mafuta ya kutosha...
Habari wanabodi.... Kauli ya Rais ni Sheria....
Watanzania wote tuna imani na tunaamini kwamba Rais akitoa kauli juu ya jambo fulani bhasi hakuna mtu wa kupinga, kinachofuata hua ni utekelezaji na utendaji juu ya kauli hiyo.
Sasa bhasi kwa pamoja tumuombe Rais Samia aseme neno Juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.