petroli

Anonima Petroli Italiana or simply api (in lower case) is a large oil company in Italy. It is a provider of crude oil for the petrochemical industry and a distributor of petroleum products. It is the most important subsidiary of the holding company Gruppo api (api Group), which also includes api Raffineria di Ancona SpA, api Energia SpA, Festival SpA, apioil Ltd, api GmbH and api Services Ltd. It is headquartered in Rome, Italy.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto Aahidi Haki Baada ya Kifo cha Mwimbaji wa Gospel Rachel Wandeto Katika Shambulizi la Petroli

    Serikali ya Rais William Ruto imeahidi kuhakikisha haki inapatikana baada ya kifo cha mwimbaji wa gospel Rachel Wandeto aliyefariki kufuatia shambulizi la kuteketezwa kwa petroli jijini Nairobi. Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen alilaani tukio hilo akilitaja kama la kusikitisha na...
  2. wajingawatu

    JamiiForums Tanzania Kwanini bei ya Petroli Uganda na Kenya ni ndogo kuliko Tanzania?

    Bei ya petroli uganda ambayo ni landlocked country ni $1.3 wakati kenya ni 1.4Usd ila Tanzania ni $ 1.589. Tunapigwa???? EWURA hebu mkuje mtupe sababu
  3. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Bei mpya za Mafuta mwezi Mei zatangazwa, Petroli yazidi kupanda hadi 4115, Diseli 4248

  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tanzania 10,000 ya Nyerere inanunua Lita 2 za mafuta ya dizeli na petroli?

    Babangu mzee, Leo kaamka vibaya, maana anadai 10,000 aliyonunulia eneo pale msasani makangira Leo hii inatumika kununulia mafuta ya gari Lita 2. Miaka 64 yrs ya Uhuru Taifa halina stock ya mafuta hata kwa mwezi mmoja ili kupunguza impact za mafuta ambazo ni nyingi. Namtambua Ikulu Ina stock kwa...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Msigwa, soko la dunia hawauzi dizeli wala petroli! Na hayapimwi kwa kilo!

    Eti katoa bei za dizeli na petroli soko la dunia akijaribu kunyoosha kauli za Rais. Msigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa wanajua kila kitu kuliko wengine wooote tuliobaki! Punguza kutoa macho na mapovu wakati unaongea...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Petroli kuuzwa Tsh. 3500 Zanzibar kuanzia Aprili 9, 2026

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) leo April 8 imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zitaanza kutumika rasmi kuanzia kesho Alhamisi April 9 2026 ambapo bei ya Petrol imeonekana kupanda hadi kufikia shilingi 3,500. Bei mpya zilizotangazwa leo ambazo zota kwa pamoja...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bei ya Petroli Yaweza Kufika KSh 231.68 Wakati Wauzaji Wakitoa Onyo

    Kenya inaweza kuwa karibu kushuhudia ongezeko kubwa la bei ya mafuta, huku wauzaji wakionya kuwa bei ya petroli inaweza kufika KSh 231.68 kwa lita katika mzunguko ujao wa bei. Wadau wa sekta wanasema mfumo wa sasa wa upangaji bei unaosimamiwa na Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA)...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nina kanuni za Kutengeneza Mafuta ya Petroli, Dizeli, na Kerosene

    Habari Wana jamii forum, Nina kanuni za kutengeneza mafuta ya Petroli, Dizeli, Jet A1, na Kerosene. Hii ni teknolojia ya kisasa inayoweza kubadilisha namna tunavyofikiri kuhusu nishati na uzalishaji wa mafuta. Teknolojia hii inahitaji ufahamu wa kina, lakini wakati ikitumika vizuri, inaweza...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Covid-19 iko kwenye peak, Petroli iliuzwa Tsh 1,500 kwa Lita! Tuombee ili janga lipite!

    Bei ya mafuta inaogofya. Imepanda kwa kasi sana. Unalala lita moja 2,800 Tsh unaamka 3,800 Tsh. Hatari. June 2020 Covid ipo on fire ilikua unanunua chips kavu au unanunua mafuta lita moja, muamuzi ni wewe.
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mtambo Huu Unauwezo wa Kubadili Hewa ya Kabon Dayoksaidi (CO2) kuwa Mafuta ya Petroli

    Habari za leo wakuu, Natumai mpo salama na mnaendelea vizuri. Gesi ya kaboni dayoksaidi (CO₂) imekuwa ikitolewa kwa wingi sana kutoka kwenye injini za magari pamoja na mitambo ya viwandani. Mara tu mafuta yanapochomwa ndani ya injini au mitambo hiyo, huzalisha gesi mbalimbali, ambapo moja kuu...
  11. Bana Balume

    JamiiForums Tanzania Mnaorusha cheche kwenye petroli ikiwaka tusikimbiane

    Kuna watu wengi wanaona sifa kubeza na kutoa dhihaka kwa kuwa kilichotakiwa kutokea 9 Dec haikuwa kama ilivyotarajiwa lakini hawajui kuwa wanachofanya ni kurusha cheche kwenye ghala la petroli na ikitokea imewaka this time itakuwa mbaya zaidi maana watu wametulia lakini eleweni bado wana hasira...
  12. Keynez

    JamiiForums Tanzania Mmejiandaaje kwa nyumba nyingi zilizohifadhi madumu ya petroli kutokana na hofu ya maandamani D9?

    Kuelekea D9, siyo tu watu wameamua kuhifadhi vyakula majumbani mwao, ila pia wengi wamehifadhi pia madumu ya petrol kwa ajili ya bodaboda, bajaji na magari yao. Natumai mmejiandaa yale yaliyotokea London mwaka 1666 yasijekutokea Dar es Salaam.
  13. Clean Energies Group

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kubadilisha Hewa ya Kabonidayoksaidi Kuwa Petroli Yagunduliwa

    Teknolojia mpya imeibuka duniani ambayo inabadilisha hewa ya kabonidayoksaidi (CO₂) kuwa mafuta kama petroli na dizeli. Hili ni jambo la kihistoria kwa sababu linageuza gesi chafu inayoongeza ongezeko la joto duniani kuwa bidhaa yenye thamani inayotumika katika sekta ya usafirishaji na viwanda...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Watu 1,000 wanusurika kifo baada ya stoo ya kuhifadhia mafuta ya petroli kulipuka

    Watu 1,000 wamenusurika kifo baada ya stoo ya kuhifadhia mafuta ya petroli kulipuka na kuteketea kwa moto katika Kisiwa cha Benzi, Kata ya Kayenze, wilayani Ilemela mkoani Mwanza. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mwanza, ACF Elisa Mugisha, amesema tukio hilo limetokea...
  15. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Bei ya Petroli yashuka bei

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za petroli zitakazotumika hapa nchini kuanzia Jumatano Agosti 6, 2025, zikionesha kupungua kwa bei ya petroli kwa shilingi 34 kwa mafuta yaliyopokelewa bandari ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara mtawalia...
  16. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Aliebuni mashine ya kuchakata plastiki kuwa petroli atoweka

    Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Julian Brown aka Nature jab mzaliwa wa Atlanta adai kugundua mashine inayoweza kubadilisha taka za plastiki kuwa petroli na diesel safi hajaonekana mtandaoni zaidi ya wiki tatu. Chapisho lake la mwisho katika mtandao alisema yupo kwenye hatari. Chanzo...
  17. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Njiti ya kiberiti imetupwa kwenye petroli. Sasa ni Bishop Gwajima for president! Nenda baba, nenda

    Huenda ni mpango wa Mungu mtawala anapoanza kuwagawa watu mapema na kutoa vitisho, huenda ni Mungu kamtumia Gwajima kuyasema Yale ili maji na mafuta yajitenge!! Sasa gwajima asiingie ubaridi kabisa kabisa !! Kwa chama chochote ni gwajima pekee anaeweza kuleta balaa la mpambano wa kweli kabisa...
  18. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko alitaka shirika la maendeleo ya petroli kuongeza kasi ya uendelezaji vitalu vya mafuta na gesi asilia

    📌 Asema lengo ni kuendelea kuwa na uhakika wa usalama wa nishati nchini 📌 Azindua Mkakati wa Kwanza wa Muda mrefu wa Shirika (2025-2050) 📌 Asisitiza Jamii zinazozunguka miradi ya Mafuta na Gesi Asilia kutopuuzwa 📌 Apongeza Bodi na Menejimenti ya TPDC kwa kuipambanua Tanzania kama kitovu cha...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya kuadimika kwa Petroli mkoani Kilimnjaro?

    Lao jioni nimepita kwenye vituo vinne vya mafuta Ili kuongeza petroli kwenye gari langu bila mafanikio! Kila kituo nilichopita wamedai hakuna mafuta. Je inawezekana kuna uhaba wa mafuta ya magari nchini au ni ujanja ujanja wa wenye vituo kuficha mafuta wakisubiri bei kupanda?
  20. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Ewura yatangaza bei za mafuta mwezi Aprili, Dar Petroli yapanda hadi 3,037

    Bei ya mafuta imeendelea kuongezeka kwa miezi miwili mfululizo huku kwa watumiaji wa petroli wakilazimika kuzama zaidi mfukoni. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumatano Aprili 2, 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura). Bei ya mafuta ya petroIi Aprili hii...
Back
Top Bottom