Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,280
Usafiri wa baiskeli kwa wengi ni kwa kuimarisha afya kwani unapotumia baiskeli unafanya mazoezi. Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta wengi wameamua kutumia usafiri huu kuwafikisha kutoka hatua A kwenda B.
Barabara zetu ni salama kwa atumiaji wa baiskeli? Bila tahadhari hii kutakua na vifo vingi. Misiba licha ya kuacha majonzi katika familia pia hupunguza nguvu kazi kwa Taifa.
Barabara zetu ni salama kwa atumiaji wa baiskeli? Bila tahadhari hii kutakua na vifo vingi. Misiba licha ya kuacha majonzi katika familia pia hupunguza nguvu kazi kwa Taifa.