bei ya mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SNAP J

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia imejipangaje kukabiliana na mathara ya mfumuko wa bei ya mafuta ili yasije kujirudia yaliyotokea kipindi cha Awamu ya kwanza?

    Kwa wale wahenga nafikiri wote tutakuwa tunakumbuka kilichotokea Mashariki ya Kati tarehe 7 Oktoba mwaka 1973 katika vita iliyojulikana kana Yom Kippur war auvita ya Oktoba ambapo Egypt, Syria, na mataifa mengine ya kiarabu walipoamua kuivamia Israeli kwa kushtukiza. Mgogoro huo ulikuwa na...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini bei ya mafuta isiwe moja nchi nzima?

    Zamani bei za bidhaa zote zilizopangwa na Serikali zilikuwa zinafanana nchi nzima. Mtu aliyepo Kilombero alinunua sukari kwa bei ile ile na mtu aliyepo Tandahimba, bei ya petroli Dar ilikuwa sawa na Kigoma. Sasa wasomi wetu wamepatwa na nini kutofautisha bei ndani ya nchi moja? Kwamba sisi watu...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kukabiliana na ongezeko la bei ya mafuta? Ikiwa mimi natumia gari?

    Leo tena Tanzania imeshuhudia kupanda kwa bei za mafuta ya petroli, dizeli na kerozini. Haya ni maumizi kwa wananchi na serikali haina namna ya kufanya kuleta aueni kwa wananchi. Bei ya mafuta kote duniani haijatulia kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine. Swali la kujiuliza ikiwa mishe zako...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Petroli Bei Juu Tanzania

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), iimetangaza bei kikomo za bidhaa za Mafuta zilizoanza kutumika leo Oktoba 4, 2023 ambapo kwa Dar es Salaam Petroli ni Tsh. 3,281, Dizeli 3,448 na Mafuta ya Taa Tsh. 2,943 ikiwa na ongezeko la Tsh. 68 kwa kila Lita. Tanga, Petroli ni Tsh...
  5. tamsana

    JamiiForums Tanzania Wakati Umeme unasumbua (Mgawo), tujiandae na kupanda kwa bei ya mafuta

    Mazalishaji mkubwa wa nishati ya mafuta (Russia) kupitia Rais Putin ameelekeza kuongeza kuzuia uuzaji wa nishati ya mafuta ya petrol na diesel baada ya bei kuongezeka na kufikia Dola za Marekani 100 kwa barrel. Kama serikali isipojipanga vizuri tutegemee maumivu makubwa siku za mbeleni. Jisomee...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta leo Septemba 6, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano September 06, 2023 saa 6:01 usiku ambapo kwa mwezi September 2023, bei za rejareja za mafuta katika Mkoa wa Dar es Salaam petrol...
  7. President of China

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ghafi duniani na gharama za kusafisha (Crude oil Price)

    Ndugu zangu wana JF baada ya kutoka bei za mafuta kupitia EWURA nimeona niingie kufanya utafiti niweze kujua bei za mafuta ghafi na gharama zake za kuyasafisha na kusafirisha mpaka kufika kwetu hapa Tanzania. Hapa nitaleta taarifa za kina kuona namna gani tunaweza kufanya au kujua dunia jinsi...
  8. kitonsa

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa bei ya naomba kujua bei za mafuta huko duniani

    Mimi sio mtaalamu wa masoko yoyote ya dunia, nimekuja hapa kuuliza bei za mafuta katika soko la dunia ni bei gani? Dhumuni la kuuliza bei ni kutaka kulinganisha bei ya hapa tanzania ni sawa kwa uwiano na bei za dunia? Kuna komenti moja nimesoma humu jamaa kasema bei ya pipa moja iran na urusi...
  9. Mparee2

    JamiiForums Tanzania EWURA waangalie upya kutangaza bei ya mafuta

    nafikiri EWURA waangalie upya huu utaratibu wa kutangaza bei ya mafuta Kila mwezi
  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la bei ya mafuta: Je, Bunge lina meno ya kuiwajibisha EWURA?

    Ni vyema kwanza niwapongeze watakaoelewa mantiki ya huu uzi. Katika mawanda ya sheria, kuna kitu kinaitwa mgongano wa maslahi. Ni kwamba Hakimu au Jaji au mtu yeyote anayesimama kwenye altare ya kutoa haki anapaswa kujiepusha na hiki kipengele. Huwezi ukasimama kusikiliza na kuhukumu kesi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Serikali irejee upya ongezeko la bei ya mafuta

    Bei ya mafuta imepanda kwa asilimia kubwa ambapo wananchi bado wanahoji ongezeko hilo. Inakuwaje mfano dizeli inaongezeka kwa Tshs.700 kwa lita eti ni upungufu wa dola. Haiingii akilini. Jana niliwaona wenye bodaboda wakilia kwa uchungu juu ya ongezeko hili na wanailaumu sana Serikali...
  12. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Makamba na genge lake wamekurupuka kwenye bei ya mafuta, na benki kuu nao wapo kwenye usingizi wa pono

    Nimeshtushwa na hatua za waziri Makamba na Ewura kukurupuka kwa kuongeza bei ya mafuta kwa kisingizio cha eti, ‘kuna uhaba wa dola nchini’. Nauita ni uamuzi wa kukurupuka kwasababu yeye Makamba na Ewura hawana mamlaka ya kisheria kuzungumzia uhaba wa dola kwenye uchumi, hiyo ni kazi ya benki kuu...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana bei ya mafuta ya taa ikiwa chini sana kuliko bei ya petroli na dizeli

    Nilikuwa nafuatilia kwa karibu bei za mafuta ya petroli, dizeli, na mafuta ya taa zilizotangazwa na EWURA mwezi huu. Baada ya kuchunguza kwa kina, nimegundua bei ya mafuta ya taa imekuwa chini sana ikilinganishwa na ile ya mafuta ya petroli na dizeli. Hali hii inanitia wasiwasi sana, kwani...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wenye Magari si huwa mnatutambia kuwa mna hela, sasa kwanini mnalalamika kupanda kwa bei ya mafuta?

    Na nyie ndiyo mnaongoza kuja na gari zenu Mitaani kutuibia Wake na Mademu zetu huku mkitamba na Kutucheka tusio na Magari. Yaani EWURA wamepandisha Tsh 400/ tu kwa kila Lita ya Mafuta mnaanza Kulia lia. Hovyo kabisa hivi mwenye Hela huwa analia lia? Akina GENTAMYCINE tunaopanda Dala Dala Kutwa...
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Petroli na Diesel bei Juu. Dola yaelezwa kuwa sababu ya bei kupaa

    Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana ====== MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kwanini bei ya Mafuta Isiwe Moja kama Bei ya Umeme Nchini?

    MHE. KILUMBE NG'ENDA - AHOJI KWANINI BEI YA MAFUTA ISIWE MOJA KAMA UMEME NCHINI Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Ng’enda amehoji bungeni kwa nini serikali isiwezeshe bei ya mafuta aina ya petrol, dizeli na mafuta ya taa iwe moja nchi nzima kama ilivyo kwa bei ya umeme kwa unit. Ng’enda ametoa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Heche ampinga Jerry Silaa hoja ya kuongeza bei ya mafuta

    hechejohn Hivi ccm huwa inatoa wapi wabunge wajinga wa kiwango hiki!!!!! Imagine huyu ni kijana, kwasababu ya mshahara mkubwa na Posho hajui jinsi maisha yalivyo magumu kwa watu.. Bado anataka kuongeza mzigo!!! Pesa zipo za kutosha lakini zinaibiwa kwasababu ya wajinga kama huyu Kushindwa...
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Serikali iweke Tozo ya Tsh. 100 kwenye mafuta yanayonunuliwa Dar ili Kupata Pesa za Kujenga Barabara za Jiji

    Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam. Jerry Silaa amesema amesema...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Bei ya mafuta yapanda ghafla kataka soko la dunia baada ya uzalishaji kupungua

    Bei ya mafuta imepanda baada ya wauzaji kadhaa wakubwa wa mafuta duniani kutangaza kupunguza uzalishaji kwa ghafla. Bei ya mafuta yasiyosafishwa ya Brent ilipanda kwa zaidi ya $5 kwa pipa, au 7%, hadi zaidi ya $85 biashara ilipoanza. Ongezeko hilo limekuja baada ya Saudi Arabia, Iraq na...
  20. Stroke

    JamiiForums Tanzania Pamoja na gharama za maisha kuwa juu Bei ya mafuta yaongezeka kwa sh.149 kwa lita. Ruzuku ina faida gani?

    Hawa Ewura naona wanamkakati wananchi tutembee kwa miguu katika shughuli zetu za kila siku. Pamoja na gharama za maisha kuwa juu bado bei ya mafuta imepanda kwa Tshs. 149 kwa lita. Mafuta ni bidhaa muhimu sana katika uchumi wa nchi hivyo kama yakipanda bei basi ni mara moja tu madhara yake...
Back
Top Bottom