mwarobaini

  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Watafiti wa Bodi ya Maji ya Wami Ruvu (WRWB) wapanga kuja na mwarobaini wa kero ya Maji Dar na Pwani

    UTAFITI uliofanywa na Bodi ya Maji ya Wami Ruvu (WRWB) umeonesha kuwepo wa maji lita bilioni 21 za maji chini ya ardhi zitakazotumika kama mbadala wakati wa kipindi cha ukosefu wa maji katika mikoa ya Dar es salaam na Pwani. Hatua hii muhimu ya WRWB ni sehemu ya utekelezaji wa awamu ya kwanza...
  2. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Hii jambo linaumiza sana na upi ni Mwarobaini wake..?

    Yaan kuna Taasisi umeipenda sana na mzuka wa kufanya kazi upo huko, unaomba uhamisho halafu unakutana na hii kitu. Nini mwarobaini wa hii kitu...? Hapa nilikuwa naomba Vacancy Transfer kuhama Taasisi Moja kwenda nyingine zilizopo ndani ya Wizara Moja
  3. Karaoke

    JamiiForums Tanzania Natafuta miche ya mwarobaini wa kisasa

    Natafuta miche ya mwarobaini ya kisasa Nimeiona hiyo miti kwa jirani yangu lakini huko alikonunulia miche wamehama, Shamba lipo Chalinze, natafuta miche kwa kwa maeneo ya Dar na Pwani
  4. mshale21

    JamiiForums Tanzania Tusiyasingizie mataifa ya nje, ukweli na uwajibikaji ndiyo mwarobaini wa kutuvusha hapa tulipofikia na tukavuka salama

    Matatizo ya nchi yetu ni sawa na jipu lililolelewa na muda wake wa kupasuka umefika na sasa halikwepeki kutumbuliwa. Inasikitisha sana, kuona viongozi wetu wakiendekeza propaganda na wakati ukweli unaujua na wanajua wazi Dunia inajua na wananchi sote tunajua, Kweli kwa dhama hizi, na katika...
  5. Paspii0

    JamiiForums Tanzania CCM ni mwarobaini wa Taifa

    Kwa mvumo wa upepo wa historia, CCM inasimama, mwanga na kivuli, Katika shingo za wanyonge, majuto na matumaini, Pamoja na machungu, bado ni kimbilio. Mwarobaini wa taifa, au nadharia ya kimapokeo? Jua linapozama, giza linapofika, Hapa, ambapo matumaini yanakufa kwa kasi, Wengi...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mwarobaini wa kukomesha tabia ya uzinzi kabla ya ndoa huu hapa

    Habari! Mimi naona uwepo utamaduni kwenye jamii zetu za sasa wa kuwasaidia mabinti. Wanazalishwa kisha wanaachiwa jukumu zito la kulea watoto peke yao. Wanazalishwa kisha waliowazalisha wanakwenda kuoa msichana mwingine na yule aliyezalishwa kuonekana hajatulia na jamii kumtazama kwa mtazamo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania TANAPA: Mwarobaini wa miundombinu korofi Serengeti wapatikana

    Kamishna Kuji atoa maelekezo mahususi Serengeti Na Edmund Salaho/Serengeti. Kamishna wa Uhifadhi - TANAPA Juma Kuji leo amefanya ziara ya kukagua miundombinu katika Hifadhi ya Taifa Serengeti na kuiagiza Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Serengeti kushughulikia mara moja maeneo korofi ya...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Dola nchini: Badala ya kutupiana lawama tutafute mwarobaini. Tuishauri serikali

    Umofia kwenu. Mengi yamesemwa kuhusiana na hili sakata la upungufu wa dola nchini. Kimsingi Dola ya Marekani ndiyo inatumika kama fedha ya kununua bidhaa za kimataifa. Mojawapo ya bidhaa hizo ni pamoja na mafuta ghafi ambayo yanashikilia sehemu muhimu ya mfumuko wa bei nchini. Nasema yapo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwekezaji sahihi kwenye sekta ya uzalishaji ndio mwarobaini wa tatizo la ajira nchini

    Huku mitaani idadi ya vijana wasio na ajira ni kubwa na inazidi kuongezeka Kila uchao. Tatizo ni kubwa na linazidi kuongezeka kwa Kasi,ajira ndio msingi wa kipato na kipato ndio msingi wa maisha. Yapo mawazo yanayowataka vijana wajiajiri,kinadharia ni dhana nyepesi kuizungumza lakini ngumu...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tulipobinafisisha Gas, tuliambiwa ni mwarobaini wa umasikini Tanzania na tutauza umeme nje ya nchi, sasa yako wapi

    CCM ni kama kibinti Malaya kiilichokimbilia kanisani kikidhani ni mwisho wa umalaya kisijue ile ni roho kamili! Kila hisia za kiumalaya zinapochemka, kinajiambia, wacha niende tu leo mara ya mwisho na starudia tena, kinafanya, na kesho kinafanya, na bado ile roho ya umalaya haikomi na mwisho...
  11. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Kikao cha baraza la taifa la chama cha Walimu Tanzania tarehe 18/6/2023 jijini Dodoma ni mwarobaini wa mtikisiko ndani ya chama

    Tangu kuasisiwa kwake Tarehe 1 novemba 1993 chama cha walimu Tanzania kimekua kikiongozwa kwa kutumia katiba na kanuni zake. Katiba imekua ikibadilika ili kuendana na mabadiliko ya kiuchumi, kijamii na mengineyo. Hadi kufikia 2014, CWT ilipata katiba ya toleo la 6 ambayo ndio inatumika hadi...
  12. digba sowey

    JamiiForums Tanzania SoC03 Huu ndio mwarobaini (Suluhu) dhidi ya mimba kwa watoto wa kike mashuleni na majumbani

    Karibuni katika kuchangia mawazo ili kuweza kupata mbinu zitakazo wezesha kumnusuru mtoto wa kike dhidi ya mimba za utotoni na ukatili wa kingono,mara nyingi naweza sema kuwa serikali imekuwa nyuma sana katika kuhakikisha kuwa inazuia na inaweka mazingira ambayo mtoto wa kike anakuwa katika...
  13. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mwarobaini Mmomonyoko wa Maadili

    UTANGULIZI Mmomonyoko wa maadili ni kutozingatiwa kwa utaratibu wa maisha unaokubalika katika taifa ambalo limejiwekea na madhara yake ni makubwa kwa jamii na hivyo kuathiri kuongezeka kwa vitendo vya ushoga, uasherati na uzinzi, wizi, ulevi, uvutaji bangi na matumizi ya dawa za kulevya ambavyo...
  14. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Maono yangu kuhusu ushoga na jinsi ya kukomesha

    Duniani SIRI hakuna tena, kila kitu kipo wazi hata na uliyemtumia meseji kapiga screen shot siku ukijisahau akuumbue. Usiri ulikuwa unaepusha vitu vingi sana,(Walikuwa wanaumia wacache kuliko sasa hivi ukiweka SIRI wazi ndo inaumiza zaidi kuliko ungetoa habari kwa SIRI au ukaacha). sasa hivi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Putin aziponda Patriot missile air defense, asema ni mfumo wa kizamani na mwarobaini wake upo

    Rais Putin wa Urusi ameuponda mfumo wa ulinzi wa anga wa marekani ambao utapelekwa ukraine. Amesema ni mfumo wa kizamani na mwarobaini wake upo. Asema hauwezi hata kuufikia mfumo wa S300 wa Urusi, achilia mbali baba lao S400. Na ujue Urusi ana pia S500 ambayo hiyo haiuzi ni kwa ajili ya matumizi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Marekani kuipa Ukraine Patriot air defense system ambayo Zelensyky amekuwa akiililia kila Siku: Ila siyo mwarobaini dhidi ya kipigo cha Urusi!

    Hatimaye Marekani imeamua kuipa Ukraine ulinzi wa anga "Patriot Missile Defense System". Kwa wasiojua wanaweza kudhani kuwa hizi ni silaha za ajabu sana na ulinzi wake dhidi ya mashambulizi ya anga ni wa uhakika! Niwakumbushe tu kuwa ulinzi huu wa anga kwa kutumia Patriot Missile defense system...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) Ndiyo Mwarobaini wa Bei ya Mafuta Tanzania

    Tanza ikadiriwa kuwa na mita trilioni 230 za ujazo za gesi asilia, ingawa zilizothibitishwa mpaka sasa ni futi trilioni 57.5, hivyo kuiweka kwenye ramani ya dunia ikishika nafasi ya 82. Gesi hiyo tayari imeanza kuzalishwa katika visiwa vya Songosongo wilayani Kilwa, mkoani Lindi na eneo la...
  18. Mwanaisha Mndeme

    JamiiForums Tanzania ACT WAZALENDO: Hifadhi ya jamii ndio mwarobaini wa Bima ya afya

    HIFADHI YA JAMII NDIYO MWARUBAINI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE; MUSWADA WA BIMA YA AFYA NI WA KUTUPILIWA MBALI! Ndugu Waandishi wa Habari, A. Utangulizi: Muswada wa sheria ya ‘Bima ya Afya Kwa Wote’ uliwasilishwa Bungeni rasmi tarehe 23 Septemba 2022 na unatarajiwa kuanza kujadiliwa katika ngazi...
  19. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Tozo imekuwa mwarobaini wa matatizo sugu

    Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa amesema kuwa baadhi ya sekta muhimu nchini mfano ile ya afya isingeweza kupitia mabadiliko makubwa kama yaliyopo sasa kama tozo sizingekuwepo. Ametolea mfano wa ujenzi wa vituo vipya vya afya 234 ambayo vimekamilishwa kupitia tozo ya miamala ya simu...
  20. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni upi ni mwarobaini wetu kama Taifa?

    Deleted
Back
Top Bottom