oktoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Oktoba 2026: Tibeli women, mwanamke mjenzi. Nitasimama

    OKTOBA 2026: TIBELI WOMEN, MWANAMKE MJENZI. NITASIMAMA. Kwa wale Wanawake na Mabinti za Tibeli, na Wanaume wenye mabinti, Wake na wanaopenda Wanawake zao. Mimi Mtibeli, Baba yenu. Nimeutenga mwezi huu mzima. Utakuwa Mwezi wa wanawake wa Tibeli, MWANAMKE MJENZI, kauli mbiu yetu itakuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chondechonde: Watanzania ninajua mnahasira kali juu yaliyotokea Oktoba 29. Punguzeni makali ya vibuyu dhidi ya polisi

    Elekezeni mashambulizi na kwingineko👇
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tusikubali Kamwe Mauaji ya Oktoba 29 2025 ,yapite bila kutuletea Matokeo !! Itakua ni Usaliti kwa Damu za Wazalendo zilizomwagwa wakitafuta Demokrasia

    Ndugu zangu Watanganyika , Nina wasihi sana kwa Unyenyekevu Mkubwa . Yale Mauaji yà Oktoba 29, HATUPASWI kuyachukulia kama Ajali. Kwa kufanya hivo ni sawa na kusema hatukua na MALENGO YOYOTE , kwamba tuliandamana kwa kufata Mkumbo. Vijana tuliandamana kwa sababu tunataka KATIBA Mpya...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Kwa kiasi kikubwa CCM ndio iliratibu Vurugu za Oktoba 29

    Mwanasiasa mkongwe nchini, James Mbatia, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinabeba laana na uwajibikaji mkubwa kutokana na kuratibu matukio ya vurugu na maafa yaliyotokea tarehe 29 Oktoba. Akizungumza katika mahojiano cha Chief Odemba, Mbatia ametumia mfano wa maandiko ya kidini kueleza...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TCU: Oktoba 6, 2026 tutatangaza utaratibu maalumu kwa waliokwama kutuma maombi ya udahili

    TAARIFA KWA WAOMBAJI WALIOSHINDWA KUTUMA MAOMBI YA UDAHILI WA SHAHADA YA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imepokea maombi kutoka kwa baadhi ya waombaji wa udahili, hususan wenye sifa za Stashahada ambao kutokana na kuchelewa kupata Namba za Utambuzi wa Tuzo...
  6. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania OKTOBA 1, SAA SITA USIKU

    Nitatambulisha msanii wangu mpya, jina lake, sura yake, jina la record label. NITATOA TAREHE PIA YA KUACHIA KAZI YANGU YA KWANZA HIT SONG, DUNIA ITASIMAMA NA MVUA ISIYO NA MADHARA ITANYESHA KWA UWEZO WA MUNGU KUASHIRIA BARAKA TELEEEE. Pia tafanya press conference humu jamii forum kwani ni...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bei ya Gas Yapanda: Wakenya Kujiandaa Kulipa Zaidi Kuanzia Oktoba

    Bei ya kupikia kwa kutumia gesi ya LPG inatarajiwa kupanda nchini kuanzia Oktoba 2026, huku ongezeko hilo likihusishwa na kupanda kwa bei za kimataifa za propane na butane—gesi kuu zinazotumika kutengeneza LPG. Kwa mujibu wa data ya Saudi Aramco, bei ya butane ilipanda kwa 25.8%, kutoka...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Sina shaka Samia ameonja waliyopitia wale wa Oktoba 29

    Duniani kila kumbe kiishicho kitakufa. Kila auawe ima atauawa au atakufa tu. Kila afurahiaye maumivu ya wenzake ataumia Kila asababishaye au kushabikia mateso ya wenzake atateseka Namuonea huruma Samia Anatia huruma Sina shaka, kama kiongozi ameonja kile ambacho ndugu za wahanga wa Oktoba 29...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Raisi wa TLS Mwabukusi: Kwa kilichofanyika Oktoba 29, ukisema ulikuwa uchaguzi lazima uwe mwenda wazimu

    Raisi wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi amesema katika Uchaguzi uliopita tusisahau kuangalia ndani ya vyama. Vyama vya siasa vimefanya nini? Ukweli ni kwamba mambo yanaanzia kwenye vile mchakato ambapo unapokuwa vikiumba vipaji na kupata fursa badala ya kuanzia kule...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Aweso ataka Maji Geita kwa 100% Oktoba 2026

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amesema hatokuwa kikwazo kwa wananchi kupata huduma ya maji safi na salama nchini. Akikagua Mradi wa maji wa miji 28 katika eneo la tekeo la maji (Intake) mtaa wa Senga Geita amesema atahakikisha kazi inafanyika kwa saa 24 ili kufikisha huduma ya maji kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Oktoba 29, 2025 Vurugu zilianza mida ya mchana saa 7, wakati huo kura zimeshapigwa, Vurugu hazikuanza saa 4 popote Tanzania

    Odemba: ...chama chenyu cha Chama Cha Mapinduzi kimepata ushindi wa kishindo kwa asilimia zaidi ya 97, mliwezaje kupata asilimia zote zile katika hali kama hii ambayo watu na umma unajua ya kwamba watu hawakujitokeza kwa wingi katika kupiga kura? Kihongosi: Jambo ambalo naweza kukuhakikishia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Damu ya Watanzania haipo mikononi mwetu CCM, chama hakikuchukua silaha kumdhuru yeyote, Oktoba 29, 2025

    Odemba: Tarehe 29 Oktoba mwaka 2025 Tanzania ilifanya uchaguzi, uchaguzi ambao uligubikwa na fujo, uharibifu wa mali na mauaji ya raia ambayo haijawahi kutokea katika historia ya taifa hili tangu tuanze mifumo ya vyama vingi lakini tangu tuanze uchaguzi. Inaaminika ya kwamba yale yote...
  13. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Meya wa Dar Awaita Wananchi Kutoa Ushahidi Wa Ghasia Za Oktoba 29

    Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal Juma, maarufu Shetta amewataka Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwenye tume ya Uchunguzi wa Jinai kufuatia ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Soma pia: Tume ya Jaji Lila...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama ishu ni vurungu za Oktoba 29, tume ya Jaji Chande ilisha msafisha Lissu. Wahusika wakuu ni CCM waliokatwa na waliopinga Samia kugombea.

    Kwamba kauli ya no reform no election ndio ilisababisha vurugu sio kweli. Au kauli ya Lissu kuwa tutakinukisha? Wananchi waliingia barabarani wakipinga ufisadi, utekaji na kukataa uovu waa CCM mtandao. Hakuna mahala walitamka kuwa Lissu ndio amaewachochea kwa kauli zake.
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Lila Awaita Wananchi Wa Ilala Kutoa Ushahidi Kwa Tume Ya Uchunguzi Wa Ghasia Za Uchaguzi Mkuu Oktoba 29

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Jaji Shaban Lila amewataka Wananchi wa Wilaya ya Ilala kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wa matukio ya ghasia hizo, kuanzia Jumatatu August 31 hadi Septemba 4, 2026 katika viwanja vya Karimjee Posta. Soma pia: Tume...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Hatuwezi kuliponya Taifa bila kuwawajibisha waliotekeleza mauaji Oktoba 29, 2025

    Gwiji la sheria, Profesa Issa Shivji amesema Taifa haliwezi kuponywa wala kujenga demokrasia ya kweli ikiwa hakuna uwajibikaji wa kisheria dhidi ya mauaji ya raia yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Ameyasemanhayo leo Agosti 28, 2026 katika kongamano la Tanzania Democracy...
  17. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Waliouwa Oktoba 2025 walikwenda kuzima nyumba ya udongo kutumia gari ya maji ya zimamoto

    Unazima moto kuzuia moto usiharibu nyumba inayo waka na kuokoa mali zilizomo ndani. Tatizo walisahau nyumba ya udongo ukimwagia maji mengi inaporomoka na kuta zake zinaharibika, zinaporomoka kabisa. Baadhi ya Mali zinaharibika pia. Kuna wakati inaonekana afadhali uache nyumba iungue kisha moto...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Wakili Katuga: Kuna siku mtuhumiwa anaweza kutaka Mungu aletwe kuwa shahidi wake

    Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia. Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU au SHETANI anaweza kuwa shahidi katika kesi?
  19. E

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Peter Madeleka: Yaliyotokea Oktoba 29 ni jinai, maridhiano sio suluhisho, hatua zichukuliwe kijinai kwa waliohusika

    Mwanasheria maarufu nchini, Peter Madeleka amesema matukio yaliyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 yana masuala ya jinai yanayopaswa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, akisema maridhiano hayawezi kuwa suluhisho la makosa ya jinai. Kauli hiyo ya Madeleka imekuja wakati Serikali...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi: Rais Samia yupo sahihi kuunda Tume 2 za Oktoba 29

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema uamuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Tume ndio utaratibu wa Sheria za Kikanda na Kimataifa ambapo ametoa mifano ya nchi mbalimbali zilivyounda tume za kuchunguza masuala yaliyotokea katika nchi zao.‎ Ameyasema hayo alipokuwa...
Back
Top Bottom