Vita ya Urusi na Ukraine imeathiri karibu nchi zote duniani, na hasa upande wa mafuta. Vita hii imeleta hali ambayo haikubaliki duniani kote na ndani ya Urusi pia. Kimsingi, Putin ndio anaonwa kua chanzo cha haya yote.
Na ni wazi Putin hakutarajia kwamba hali ya vita na Ukraine ingekua kama...
Tanza ikadiriwa kuwa na mita trilioni 230 za ujazo za gesi asilia, ingawa zilizothibitishwa mpaka sasa ni futi trilioni 57.5, hivyo kuiweka kwenye ramani ya dunia ikishika nafasi ya 82.
Gesi hiyo tayari imeanza kuzalishwa katika visiwa vya Songosongo wilayani Kilwa, mkoani Lindi na eneo la...
Dar es Salaam. Wakati bei za mafuta zikizidi kushuka nchini kwa miezi miwili mfululizo, hali ya bidhaa na nauli bado zimesalia kuwa juu, huku wahusika wakisema bado kuna haja ya kushusha zaidi bei za mafuta ili kupoza makali hayo.
Mjadala huo umeibuka ikiwa ni siku mbili tangu Mamlaka ya...
Vicheko vitaendelea kutawala Oktoba kwa watumiaji wa mafuta kufuatia kushuka kwa bidhaa za mafuta kama mwenendo wa bei ulivyotolewa leo Oktoba 4.
Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha kuwa bei za mafuta kuanzia Oktoba 5 zimeshuka hivyo...
Gthinkers wasalaam,
Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa Twitter.
Ukweli ni kwamba bei ya mafuta imeshuka sana Tanzania japo hatujaona waliokuwa wakilalamikia kupanda kwa bei wakipongeza kushuka kwa bei.
Pia Soma hii,
👇👇👇
BEI...
Habari zinaeleza kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia inaendelea kuporomoka katika soko la dunia kutokana na wasiwasi wa mdororo wa uchumi. Habari zaidi ipo chini.
---
An oil pumpjack operating as another stands idle in Los Angeles, California. Oil prices fell on Wednesday as Covid-19 curbs...
Habari nzuri ni kwamba bei ya mafuta Tanzania itaendelea kushukuka kwa miezi inayokuja kutokana na bei ya Dunia kushuka. Tanzania inanunua mafuta kwa miezi mitatu hivyo bei inakuwa ya miezi mitatu nyuma.
Bei za US ni kutokana na bei ya wakati huo na kwa mwezi mmoja hapa nilipo Texas bei...
Kwa maelezo ya waziri mkuu mstaafu mhe. Msuya akiwa kwenye kipindi cha dk 45 cha ITV, ni kama amemaanisha kwamba uwepo wa magari mengi mjini au barabarani ni kutokana na hali za maisha kutofanana.
Ni kama vile wanaotumia vyombo hivyo hawaoni tofauti ya kupanda kwa bei. Na kwamba wana hali nzuri...
Usafiri wa baiskeli kwa wengi ni kwa kuimarisha afya kwani unapotumia baiskeli unafanya mazoezi. Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta wengi wameamua kutumia usafiri huu kuwafikisha kutoka hatua A kwenda B.
Barabara zetu ni salama kwa atumiaji wa baiskeli? Bila tahadhari hii kutakua na vifo...
Aziz Akhannouch, anayetajwa kuwa Bilionea kutokana na Biashara yaa Petroli anakabiliwa na Kampeni inayomshinikiza ajiuzulu kupinga kupanda bei ya mafuta huku makampuni ya mafuta yakizidi kufaidika
Licha ya Serikali kusisitiza kuwa inafanya kila iwezalo kupunguza athari za kiuchumi zitokanazo na...
Kupanda kwa bei ya mafuta nchini…
WASANII, MADAKTARI ‘WAIANGUKIA’ SERIKALI, WAISHAURI
JUZI, Serikali kupitia Ewura, imetangaza bei mpya ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa ambapo mbali na mikoa mingine, Mkoa wa Dar es Salaam, Lita 1 ya Petroli imekuwa Shilingi 3,400 (ongezeko la...
Hali ya mafuta ni mbaya ambapo leo watanzania wenzetu wa Kyerwa Ruberwa Mkoa wa Kagera wanauziwa mafuta ya Petroli kwa Tsh 3,647 kwa lita huku wale wa Ukerewe Mkoa Mwanza wakiuziwa lita moja kwa Tsh 3,619 kwa mujibu wa Tangazo la EWURA.
Mjadala huu umeitikisa nchi tangu bei hiyo mpya itangazwe...
Ukiangalia bei za Petroli na Dizeli kwa kipindi cha mwaka mmoja. Yaani ukifananisha Agosti 2021 na Agosti 2022 utaona kuna percentage change ya takribani 50%.
Dizeli ndio imepanda kwa kiasi kikubwa kwa kuwa ni zaidi ya 50% huku petroli imeongezeka kwa zaidi 45% kutegemea na bandari...
Imekuwa ni kawaida kila inapokaribia wiki ambayo bei mpya ya mafuta hutangazwa, vituo pendwa vinavyomilikiwa na wanasiasa maarufu, hudai hawana mafuta kungojea bei mpya. Hii huwa ni dalili ya kupanda kwa bei ya mafuta.
Swali la kujiuliza wanajuaje mapema kuwa mafuta yatapanda bei? Huu mtandao...
Chonde Rais Samia, utuonee huruma wananchi wako. Tunaonba sana, kwa aina ya uongozi wa Juu kabisa uliouweka kwenye nishati, na kama ukiendelea kuwepo tutaumia na kuishia kukulaumu wewe kila uchao.
Pamoja nar udhuku unayo toa, italiwa na mafuta yatazidi kupaa na bei za Vitu vingine vitapanda...
Habari JF,
Bei mpya zimetangazwa kuanza kutumika Tar 6/7/2022, hivi hizi pesa tulikopo IFM na Benki ya Dunia bilioni 100 za ruzuku zimepunguza ukali wa bei ya Mafuta kwa kiasi Gani? Ukiringanisha na kabla ya bilioni 100.
Je, kuna Haja ya kuendelea kukopa?
Rais Joe Biden wa Marekani, leo ameondoa kodi katika mafuta ili kuwapa nafuu wananchi wake.
Amewataka Magavana wa States za nchi hiyo vile vile wapunguze kodi na tozo katika States zao.
KWETU TZ VIPI?
Hapa Tz kodi na tozo katika mfuta bado zipo kati ya Tshs 800 hadi 900.
Faida ya kushusha bei ya mafuta ilikuwa na bei ya vitu vingine vishuke kuleta unafuu wa maisha.
Lakini sasa kama tunaambiwa kushusha bidhaa zingine inahitaji mchakato mrefu, kwa kweli inasikitisha sana.
Soma: EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni Mosi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.