baiskeli

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. B

  Mariam Ulega achangia milioni 3 kampeni kusaidia baiskeli mtoto mwenye ulemavu Pwani

  Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV MJUMBE wa Baraza Kuu UWT Taifa ambae pia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Uwezeshaji Kiuchumi Wanawake Mkoa wa Pwani Mariam Ulega amechangia Sh. milioni 3 kwa kikundi cha Pwani Generation Queens (Mwanamke Sahihi Fete) ili kuunga mkono kampeni ya kumsaidia baiskeli mtoto...
 2. Miss Zomboko

  Juni 3: Siku ya Baiskeli Duniani. Ni Mkoa gani ulikushangaza kwa kuwa na Baiskeli nyingi?

  Siku ya Baiskeli Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa ili kutambua na kuhamasisha matumizi ya baiskeli kama njia ya usafiri, burudani, na michezo. Lengo la Siku ya Baiskeli Duniani ni kuongeza uelewa kuhusu faida za kutumia baiskeli kwa mtu...
 3. Uzalendo wa Kitanzania

  Waziri Mwandamizi Israel Jenerali Ben Gantz kufanyiwa upasuaji wa goti kufuatia ajali ya baiskeli

  Wadau hamjamboni nyote? Waziri mwandamizi na Jenerali wa Jeshi la Israel Ben Gantz atafanyiwa upasuaji wa goti kufuatia ajali aliyoipata akiendesha baiskeli Kusini mwa Israel Waziri huyo amepata ajali hiyo wiki moja tu baada ya Waziri wa Usalama wa nchi hiyo takatifu Itamar Ben Gvirs Irael...
 4. Mad Max

  Ushauri: Nataka ninunue baiskeli kwa mazoezi na safari fupi fupi

  Wakuu kwema. Mkazi wa Dar, nataka ninunue baiskeli kwaajili ya mazoezi na siku moja moja hali ya hewa ikiwa nzuri natumia kwenda nayo kazini (3KM kutoka nyumbani). Naomba ushauri wenu, kwa budget ya mwisho Laki 1.5 naweza kupata aina gani ya baiskeli? Itatosha au niongeze?Je kuna brand ya...
 5. GENTAMYCINE

  Hivi tulishindwa tu kununua Madafu ya kutosha Nje ya Ikulu hadi kuruhusu Wauza Madafu na Baiskeli zao Mbovu na Kongwe waingie nazo Ikulu kienyeji?

  Mnaacha kutumia muda wenu mwingi kufikiria kwa Akili Kubwa jinsi ya kutatua Changamoto lukuki zinazowakabili Watanzania na Taifa la Tanzania nyie Kutwa mpo katika kutengeneza Maigizo ya Kipumbavu na Kishamba (kama mlivyo) ili tu muonekane Mnapenda na kujali kila Mtu, Wanyenyekevu na mno Huruma...
 6. Stephano Mgendanyi

  Mbunge Ester Midimu Atoa Baiskeli 400 na Majiko ya Gesi 400 kwa Viongozi UWT Mkoa wa Simiyu

  Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu Ester Midimu ametoa Baiskeli zaidi ya 400 na majiko ya Gesi zaidi ya 400 kwa viongozi wa Kata kupitia Umoja wa Wanawake (UWT) wa mkoa huo ili kuwawezesha kufanya kazi za Chama Cha Mapinduzi na kutunza mazingira. Mbunge huyo amesema wanawake hao wamekuwa...
 7. OKW BOBAN SUNZU

  Wasiolalamika kukatika umeme wazawadiwa baiskeli na CCM

  My Take Inatia hasira ila tutafanyaje, akili ndogo inaongoza akili ndogo
 8. OKW BOBAN SUNZU

  Wasiolalamika kukatika umeme wazawadiwa baiskeli na CCM

  My Take Inatia hasira ila tutafanyaje, akili ndogo inaongoza akili ndogo
 9. IamKulwa

  Hii baiskeli ilitengenezwa na Kampuni gani?

  Heri ya Chrismas wakuu. Visiting home for Christmas kula pilau kwa bimkubwa, nimekuta hii baiskeli kuna bwana mdogo—Uncle wangu yuko form one day school—ameifufua na anaitumia usafiri wa kwenda shule. Kabla ya ujio wa pikipiki hizi za kichina, Pre–2009, Baiskeli hizi zilikuwa zinatumiwa sana...
 10. Replica

  Mtu asiyesikia asafiri Tanga-Mbeya kwa baiskeli kuadhimisha wiki ya viziwi duniani

  Kuboja Lugira, mtanzania mwenye ulemavu wa kusikia ameendesha baiskeli yake kwa kilomita 961 kutoka Tanga kwenda Mbeya akitumia siku tano kwenda kushiriki maadhimisho ya wiki ya viziwi duniani akiwapa hamasa wengine wenye ulemavu kwamba inawezekana. Lugira, baba wa mtoto mmoja amesema...
 11. N

  Wanafunzi wa advance Chamwino wamnunulia mwalimu wa hesabu baiskeli kwa kutambua mchango wake!

  Wanafunzi wa Kidato cha sita Shule ya Sekondari Chamwino wamempa FURAHA YA KUSHTUKIZA mwalimu wao wa HESABU/ADVANCED MATHEMATICS, MR. EMANUEL GEORGE KIPAHO kwa kumnunulia usafiri wa Baiskeli kwa kutambua mchango wake na juhudi zake anazozitoa kufundisha darasani na muda wake wa Ziada. Shule hii...
 12. Replica

  Ujerumani ina watu milioni 82 ilhali baiskeli zipo mil. 81, Tanzania baiskeli ni alama ya umaskini

  Nchi ya Ujerumani ina idadi ya watu milioni 82 huku watu hao wakimiliki jumla ya baiskeli milioni 81. Ujerumani inayo jumla ya magari milioni 48. Mtoto akifika miaka 11 anatakiwa kujifunza na kukata leseni ya baiskeli ili kuweza kuendesha baiskeli kwenye barabara za umma. Barabara husika nyingi...
 13. Meneja Wa Makampuni

  Mji wa Tanzania ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli

  Je unafahamu kuwa nchini Tanzania kuna mji mkongwe ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli? Kwa muda wa miongo mitano sasa, wakazi wake wameendelea kutegemea zaidi usafiri huo ambao unatambua baisikeli za uchukuzi wa umma kwa jina 'daladala'. Mwandishi wa BBC @lasteck2023 ametembelea mji huo wa...
 14. Meneja Wa Makampuni

  Cheo cha kuteuliwa ni kama kupandishwa kwenye Baiskeli

  Cheo cha kuteuliwa ni kama kupandishwa kwenye Baiskeli. Huwezi kuketi juu ya baiskeli daima. Kuna wakati wa kupanda, wakati wa kupiga pedeli na wakati wa kushuka. Muhimu hakikisha miguu yako haisahau kutembea siku ukishuka.
 15. GoldDhahabu

  Kanda ya Ziwa wanastahili pongezi kwa uendeshaji wa baiskeli

  Unaweza ukashindana na watu wa Kanda ya Ziwa kwa mambo fulani fulani, lakini usithubutu kwenye uendeshaji wa baiskeli kama wewe si mmoja wao. Utaumbuka! Nazungumzia baiskeli za kawaida au za kazi, siyo zile za "starehe". Sina uthibitisho wa kitakwimu, lakini kwa makisio yangu, Kanda ya Ziwa...
 16. Roving Journalist

  Simiyu: Askari wawili wadaiwa kumshushia kipigo kijana na kumsababishia kifo wakimtuhumu kuiba baiskeli

  Kijana aliyefariki anaitwa Mandela Petro inadaiwa alishambuliwa akiwa mtaani na Askari wawili wakimshutumiwa kuhusika katika wizi wa baiskeli ambapo baadaye baiskeli husika iliyodaiwa kuibiwa ilipatikana na kubainika marehemu hakuwa mwizi, Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu. Ikidaiwa mmoja wa Askari...
 17. aka2030

  Baiskeli Bodaboda, Bajaji muwe na nidhamu barabara za lami hazijajengwa kwa ajili yenu

  Hamna serikali inayoweza kutenga pesa ijenge barabara ya lami eti bajaji sijui boda ipite Barabara za lami ni kwa ajili ya magari. Nawakumbusha wajue hilo so wanapopita kweywe barabara ambazo hazijajengwa kwa ajili yao wawe na nidhamu na kufuata sheria
 18. Stephano Mgendanyi

  DC Mwegelo akabidhi Baiskeli 200 kwa Watoto wa Kike shule 10 Korogwe

  MHE. JOKATE MWEGELO AKABIDHI BAISKELI 200 KWA WATOTO WA KIKE SHULE 10 KOROGWE Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Jokate Mwegelo amekabidhi baiskeli 200 kwa Wanafunzi wa kike kwa Shule 10 za Sekondari Wilayani humo ambapo amesema zitawasaidia Vijana wa kike kufika Shuleni kwa wakati na kuondokana na...
Back
Top Bottom