Kate Victoria Teiba Abbam, born Ewura Ekua Badoe (1934-2016) was a Ghanaian journalist, editor and consultant on women and development. Abbam founded Ghana's first women's magazine, Obaa Sima (The Ideal Woman), in 1971.
Watoa huduma karibu wote(kama sio wote) wa internet wanasema siku 30 (sio mwezi) za huduma. Kwanini sio mwezi mmoja? Profit maximization??. Kwa mtazamo wangu wanaiba siku 6 (kwa mwaka) for every subscriber (wako hundreds of thousands if not millions). Basi na Tanesco, Dawasco e.t.c wafanye...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza rasmi bei mpya kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini, zikionyesha nafuu kubwa kwa wananchi kuanzia LEO Jumatano, Tarehe 05 Agosti 2026 saa 6:01 usiku.
Katika mabadiliko hayo ya mwezi Agosti, bei za mafuta zimeshuka...
Obwere bei ni 4,209 per litre ila Busurwa ni 4,750 wakat n ndan ya wilaya moja na amekuwa akifatiliwa anadanganya et ni kwa ajili ya wavuvi wake lakin n uongo hana wavuvi anawauzia wananchi wa Busurwa .
Kuna namna anashirikiana na wenye mamlaka
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu na Wenyeviti wa Bodi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, walioteuliwa ni:-
(i) Bw. Salum Nassor Mnuna ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa...
Moja kwa moja kwenye kero yangu:
Nimeona tangazo la EWURA kutangaza kuwa bei ya mafuta ya petroli na dizeli imeshuka kwa sh 96 and 151 kwa mafuta yanayoshushiwa katika bandari ya Dar-es-salaam .
Bei mpya
Petroli: Sh 3,990 kwa lita
Dizeli: Sh 4,182 kwa lita
mpaka sasa sijaelewa kwanini mafuta...
Yamepita majuma kadhaa toka vita kati ya Marekani-Israel dhidi ya Iran kusitishwa huko mashariki ya kati. Vita hii ilipelekea bei ya mafuta ya petrol na dizeli kuwa juu kuliko kipindi chochote huko nyuma. Nchini tanzania bei ya mafuta ya petroli na dizeli tunauziwa kati ya sh 4110-4400...
NB: Table hii haihusiani na bei mpya iliyotangazwa leo. Imetumika tu kujenga hoja.
Jumla ya tozo ambazo zipo kwenye bidhaa ya mafuta ya Petrol na Dizeli kwa kila lita moja ni kama 30% ya bei. Serikali iiangalie namna ya kupunguza tozo hizi hata kwa 50%. Nchi kadhaa za Afrika kama Namibia...
The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) has announced a significant hike in fuel prices, effective today, May 6, 2026. The move comes as global energy markets grapple with the fallout from an escalating conflict in the Middle East.
Price Adjustments in Dar es Salaam...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wasafirishaji Mwanza, Yusuph Lupilya akizungumza katika mkutano wa wadau wa usafirishaji uliondaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra), amesema kuwa serikali ilipandisha bei ya mafuta ikiwa imetoka kutuambia kuwa kuna mafuta ya kutosha kwa miezi mitatu.
Unaponunua umeme unakatwa Kodi ya Ongezeko la Thamani ambayo ni Asilimia 18 ya pesa uliyotoa, kisha TANESCO wanakukata 1% wanasema ni hela ya EWURA, baada ya hapo . TENA unakatwa 3% eti pesa ya REA.
Je, kwa nini mlaji anaigharimikia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na...
Tulia Ackson aliyekuwa anaona sifa kutunga sheria mbaya, na kutumika kulinda uovu wa serekali bungeni, alipigwa chini.
Na kabla hajapoa vizuri mumewe naye kapigwa chini Sasa wakae wapitie uovu waliofanikisha kwenye nchi hii, kisha watuletee mrejesho wa wao kugeuka kuwa madekio.
Wakuu,
Aweee hii ni kali!
Yaani mtu ana skendo kama mia kidogo anateuliwa kuwa Mbunge badala ya kwenda kuchunguzwa kwa tuhuma zote zilizoibuliwa dhidi yake.
Samia anazidi kutuona manyani aisee!
Halafu mkurugenzi wa EWURA anatenguliwa kwa nini ikiwa yeye anafuata maelezo tu? Samia alikuwa...
Huu ndio mtazamo wangu na kama kuna watanzania wanaamini hivyo, basi hao ni watanzania mzigo kwa Taifa hili.
Na hata viongozi wa Bunge sitaki kuamini nao walikuwa hawana taarifa kiasi kwamba wanapanga kuitisha kikao cha Bunge kujadili swala hilo labda wabunge wengine ndio nao walikuwa hawajui.
Bei za mafuta zimetangazwa, wakisema imechangiwa na vita mashariki ya kati. Ile stock walisema ipo ya kutosha hadi July imeishia wapi?
Wazee wa kupiga dili washaingia mzigoni, yaani wanasahau kitu wamesema hata mwezi haujaisha - ghafla akiba imeyeyuka!
=====
Watumiaji wa bidhaa za mafuta Tanzania wataendelea kuugulia maumivu ya ongezeko la bei baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) kutangaza bei kikomo zitakazotumika Machi mwaka huu.
Katika bei hizo, watumiaji wa mafuta ya dizeli wameshuhudia ongezeko la bei zaidi ikilinganishwa na...
Kesho baba EWURA tunakuomba utuvushe sisi wauza mafuta kuanzia vituo vya mafuta mpaka wauza vidumu
Tunakuomba upige kwenye mshono kwa pigo takatifu hii itasaidia kupanda kwa bei za usafiri na bidhaa ili tuweze kujipatia faida juu ya faida.
Kwa wale washangiliaji, mtakatifu Trump amewasikia...
Najua ndani ya week hii EWURA hamtaniangusha
Irani Kuna vita, Iran imeshbuliwa na Israel na USA, uchumi wa Dunia unayumba
EWURA mna sababu za msingi za kupandisha bei ya petroleum na diesel fuel ⛽
Nitafurahi mno
Ewura CCC walitangaza nafasi za wajumbe wa bodi mwishoni mwa mwaka jana.. Watu wenye uzoefu wa tasnia ya nishati waliomba na hatimae waliitwa kwenye usaili. Sharia ya EWURA imeweka wazi kuwa baada ya usaili waziri wa nishati anatakiwa kuchagua watu 7 akiwemo mwenyekiti wa bodi.
Tunaomba...
Jana May 20 ulitokea mshtuko baada ya akaunti nyingi za mitandao ya kijamii kudukuliwa kwa pamoja idadi kubwa ikiwa taasisi za Serikali. Watu hawa wametumia kurasa za mtandao wa X na youtube.
1. Mitandao hii miwili ya X na youtube inarusu third party app kustream. Mfano nataka kuweka tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.