bei ya mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta yapaa na kufikia $100 kwa pipa baada ya Mlango wa Bahari Nyekundu kufungwa

    Shirkika la habari la Marekani - CNN limeripoti kwamba, bei ya mafuta imepaa kufikia $100 kwa pipa moja Hii ni baada ya Jeshi la Yemen linaloungwa mkono na Iran, Houthis, kutangaza kufunga mlango wa bahari nyekundu , Bab-el-Mandeb, na kutoruhusu meli aina yeyote kuvuka Hivi karibuni, Jeshi la...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mamlaka husika (EWURA) wachuguze bei ya mafuta katika petrol station ya Ongujo wakibara(Mweyekiti CCM Rorya) liyopo Busurwa. Bei ya ipo juu sana

    Obwere bei ni 4,209 per litre ila Busurwa ni 4,750 wakat n ndan ya wilaya moja na amekuwa akifatiliwa anadanganya et ni kwa ajili ya wavuvi wake lakin n uongo hana wavuvi anawauzia wananchi wa Busurwa . Kuna namna anashirikiana na wenye mamlaka
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO: EWURA mmetangaza kuwa bei ya Mafuta ya petroli na dizeli imeshuka, JE LATRA nao mbona hawatutangazii bei mpya za nauli?

    Moja kwa moja kwenye kero yangu: Nimeona tangazo la EWURA kutangaza kuwa bei ya mafuta ya petroli na dizeli imeshuka kwa sh 96 and 151 kwa mafuta yanayoshushiwa katika bandari ya Dar-es-salaam . Bei mpya Petroli: Sh 3,990 kwa lita Dizeli: Sh 4,182 kwa lita mpaka sasa sijaelewa kwanini mafuta...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sigrada Mligo: Wabunge tunalipwa hela ya mafuta kulingana na bei iliyoko sokoni siku hiyo ndio maana wabunge hawajadili kupanda kwa mafuta

    Maneno anayosema Mbunge wa Viti Maalumu, Sigrada Mligo, kwenye video kwa maandishi Sigrada- "Mmeona wabunge huko wana wanakutana wanajadili mafuta? Yaani wako siriasi kuwasemea wananchi kuhusu mafuta? Bunge siriasi linatakiwa lisimamishe ratiba zote lijadili jambo la dharura la mafuta kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Al jazeera: Bei ya mafuta imeshuka katika kiwango ambacho hakijawahi kuonekana toka kuanza kwa vita vya USA-Israel dhidi ya Iran. Vipi huku kwetu?

    Shalom Shalom wakuu...!! Katika kuperuzi kwangu mtandaoni nimekutana na taarifa kutoka kwa shirika la habari la kimataifa la Al Jazeera ikisema kuwa bei ya mafuta imeshuka sana katika viwango ambavyo havijapatwa kushuhudiwa toka vita ya Marekani akishirikiana na Israel dhidi ya taifa la Iran...
  6. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta imeshuka Kwa Tsh 96/= pekee, uzalendo Kwa nchi hii utatokea wapi?

    Hivi neno uzalendo mnajua maana yake? Mbatuambia tuipende nchi yetu huku nyie wenyewe mkiishi kwenye dimbwi la anasa na watoto wenu. Bei ya mafuta Huko duniani imeshuka Kwa kiwango cha chini kabisaa lkn bado mnakuja kupunguza Tsh 96 hivi nyie ni wazima kweli? Mbona kwenye kupanda mlipandisha...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri Bei ya Mafuta ishuke kwa Mwezi July!

    EWURA Hakuna excuse sahivi. Petrol na Diesel ziwe under 3,500 Tsh kwa July, hafu August ndio isivuke 3,000 Tsh. Masaa machache yajayo tunasubiria mkeka wenu.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi: Serikali imewataka TPDC, PBPA na EWURA kushusha bei ya mafuta baada ya kushuka kwa bei duniani

    Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema kuwa Serikali imezitaka mamlaka za TPDC, PBPA na EWURA kuhakikisha kuwa punguzo la bei ya mafuta katika soko la dunia linaanza kuonekana kwa wananchi nchini kuanzia mwezi ujao. Agizo hili linakuja kufuatia kuanza kushuka kwa bei ya mafuta ghafi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya makubaliano Iran na USA kumaliza vita, bei ya mafuta imeshuka; serikali isiposhusha bei ya mafuta July ni sababu nyingine ya kuandamana 7/7

    Hi serikali huwa inachezea sana wananchi kwenye suala la bei ya mafuta. Kwa mfano, siku zote huwa tuna akiba ya mafuta yaliyonunuliwa ya miezi mitatu. Vita ya Iran na USA ilipoanza, japo tulikuwa bado na akiba ya mafuta ya miezi mitatu iliyonunuliwa kwa bei poa, serikali kwa makusudi iliamua...
  10. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta imeteremka kwenye soko la dunia kwa 20%, je tutegemee nini kesho?

    Kufikia leo tarehe 2 Juni 2026, bei ya mafuta ghafi kwenye soko la dunia imeonyesha mabadiliko makubwa katika mwezi uliopita (Mei), ambapo bei imeshuka kwa takriban asilimia 15% hadi 20% kutegemeana na aina ya mafuta ghafi. Mchanganuo wa mabadiliko hayo kwa soko la leo uko hivi: '-Mafuta ya...
  11. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta na Gharama za Uongozi: Nani anamlinda Mwananchi?

    Kupanda kwa bei ya mafuta kuna athari kubwa kwa uchumi wa wananchi na taifa kwa ujumla. Mafuta yanapopanda, gharama za usafiri, chakula, uzalishaji na huduma mbalimbali huongezeka. Hata kama kuna sababu za kimataifa zinazoathiri soko la mafuta, jukumu la serikali ni kuweka sera madhubuti za...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Kenya ya kushusha bei ya mafuta baada ya Maandamano

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza marekebisho mapya ya bei za mafuta, Katika mapitio hayo, bei ya dizeli imepunguzwa kwa Sh10.06 kwa lita, huku mafuta ya taa yakiongezeka kwa Sh38.60 kwa lita, wakati bei ya Super Petrol ikibaki bila mabadiliko. Mabadiliko...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgomo waendelea kwa siku ya pili licha Dezeli kushushwa kwa Ksh 38.60 (Tsh. 202.51). Madereva wasitisha mgomo kwa siku Saba wazungumze na Serikali

    Watu 4 wafariki dunia kufutia maandamano ya kupinga bei ya mafuta yaliyofanyika jana May 18, 2026, huku mgomo wa magari(matatu) ukiendelea kwa siku ya pili licha ya Diseli kushushwa kwa Tsh. 202.51 (KSH 10.06) na kuwa Tsh. 4687.47 (KSH 323.86) huku Petrol ikiendelea kuwa Tsh. 4312.85 (KSH...
  14. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapunguza bei ya mafuta baada ya kutokea maandamano

    Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza kupunguza bei ya dizeli kwa Shilingi za Kenya 10.06 kwa lita baada ya shinikizo kutoka kwa waendeshaji wa sekta ya usafiri waliopinga ongezeko kubwa la bei ya mafuta. Katika mapitio mapya yaliyotangazwa Jumatatu jioni, bei...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Kenya kufuatia maandamano

    Lei, Mei 18 kwenye baadhi ya maeneo kumeonekana migomo na maandamano ya watu wakidai bei ya mafuta imekuwa kubwa sana hivyo wanahitaji uwajibikaji bdi ishuke
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei ya mafuta Kenya kwasababisha baadhi ya mitaa Wananchi kuingia mtaani leo Mei 18, 2026

    Hii ni Barabara ya Thika kuelekea mjini... wenye magari wanalazimika kurudi....Vijana wanawataka warudi nyumbani wasiingie town....hofu ya wezi ni kubwa pia Maeneo ya Kitengela ============= Gavana wa Nairobi, Johnson Sakaja, ametangaza kusitishwa kwa mgomo wa wasafarishaji kwa muda wa wiki...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Leo Imepanda, Kesho Imeshuka, Kesho Kutwa Imepanda Tena” — Serikali Inachezea Akili ya Mwanaichi Kwa Bei ya Mafuta?

    Mwanaichi wa kawaida Kenya amebaki confused na hii mchezo ya fuel prices. Last month tu serikali ilitangaza bei ya mafuta imepanda vibaya, wananchi wakalalamika, pressure ikaongezeka online na kwa ground, then ghafla prices zikashushwa kidogo kama “relief.” Sasa barely a month later, boom...
  18. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania EWURA hawazalishi chochote ila kazi yao kupanga bei ya mafuta. Ifutwe kama tulivyofuta SSRA

    NB: Table hii haihusiani na bei mpya iliyotangazwa leo. Imetumika tu kujenga hoja. Jumla ya tozo ambazo zipo kwenye bidhaa ya mafuta ya Petrol na Dizeli kwa kila lita moja ni kama 30% ya bei. Serikali iiangalie namna ya kupunguza tozo hizi hata kwa 50%. Nchi kadhaa za Afrika kama Namibia...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya Kupunguza bei ya mafuta

    Njia rahisi sana ya kupunguza bei ya mafuta kwa wenye akili watanielewa Mfano Kodi zote ni 31% ya bei ya mafuta Ths 3500 kwa lita kodi zote ni Tsh 1,085 Mfano sasa bei ni Tsh 4500 kodi ni Tsh 1,395 Serikali ikisema tu kwamba badala ya kukusanya kodi kwa 31% tukusanye kwa kiasi kabla ya vita...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta kupanda kuanzia 05. Mei 26 (5,000@litre-Petrol)

    Wenye vituo vya mafuta wanachekea chooni. Kila mtu ashinde mechi zake.
Back
Top Bottom