macho

 1. B

  Corona: Tuweni macho na hivi vifo vya ghafla ghafla

  Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Vifo vinavyotokea ghafla ghafla katika zama hizi ambazo mamlaka kwa makusudi haina nia ya kufahamu vyanzo vya vifo, akili za kuambiwa changanya na za kwako. Hapa pana rubani wa Afrika kusini na aina ya vifo hivi: Angalau hawa wanayo nia ya kufahamu...
 2. T

  Tanzania tumeshindwa kuwa hata wanafiki, sasa macho yote kwa John

  Nimetafakari sana na nimewaza sana huu mlima tumeujenga na sasa unageuka kuwa maporomoko au kizingiti chetu na dunia ya kwanza. Tulianza kama masihara na abiria kiukweli tulimsifia dereva anajuwa kuendesha kilimani gari ila pamoja na yote sasa huu mlima unataka kitufunika na safari yetu kuingia...
 3. Gambino

  Ni hospitali gani nzuri ya macho hapa Dar?

  Naomba kufahamu hospitali nzuri ya macho hapa Dar. Pia aina ya malipo kama wanatumia Bima ama ni cash peke yake. Ahsante.
 4. Chakorii

  Msaada: Naomba kujuzwa Hospital nzuri ya macho Kigamboni

  Habari ya usiku huu wapendwa. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,nimekuwa nikisumbuliwa na kichwa mara nyingi sana. Juzi kilinizidi mpaka nikahisi ni corona wallah😂😂😂 (maisha kweli matamu) ikabidi niende kufanya vipimo nikakutwa na nilichokutwa na dawa nikapatiwa lakini bado kichwa...
 5. pandagichiza

  Kwanini hatufuniki macho kujikinga na Corona wakati virusi vinaweza kuingia kupitia hapo

  Corona inaingilia machoni, puani na mdomoni. Tunafunika mdomo na pua kujikinga na corona. KWANINI HATUFUNIKI MACHO KUJIKINGA NA CORONA? Nawasilisha.
 6. Duniahadaa

  Elections 2020 Asante DED kutufumbua macho: Alichofanya DED wa Ubungo Beatrice Rest Dominic ndicho kitakachofanyika wakati wa uchaguzi Mkuu

  Ni kwamba kutakuwa na barua zinazodaiwa za chadema zinazoonyesha uteuzi wa wagombea, na wagombea halisi kukataliwa kuchukua fomu. Mfano: Chadema inampitisha John Mnyika kugombea kibamba, anaenda kwa DED kuchukua fomu, anaambiwa kuna mwanachama alikuja na barua ya uteuzi ya chama anaitwa Asha...
 7. kakamkubwa

  Watanzania wenzangu nawapenda sana,mnapojifukiza msisahau kufumba macho

  Watanzania wenzangu nawapenda sana,mnapojifukiza msisahau kufumba macho ili mkopona muendelee kupost na kukoment humu JF. Madhara ambayo yanaweza yakapatikana kwenye kujifukiza ni pamoja na ukungu kwenye macho kama sio upofu kabisa. Binafsi nimeitumia Sana tiba hii lakini kabla hata covid-19...
 8. P

  DC Hai atengua uhamisho wa Mkuu wa Shule ya Sekondari Lyamungo, anusa harufu ya upigaji pesa ya ukarabati

  Iko hivi, Serikali ilitoa milioni 700+ kwa ajili ya ukarabati wa shule. Pesa imeingia kama leo, kesho yake headmaster anapokea barua ya uhamisho kwenda shule nyingine wilaya hiyo hiyo kama headmaster. Kisa cha kuhamishwa anadaiwa kutokuwa na mahusiano mazuri na wenzake, pia hakupewa muda wala...
 9. Tajiri Tanzanite

  Hiki ni kitu cha ajabu sana nimekiona kwa macho yangu

  Hapo vip!! Nina imani kuna wataalam mbali humu wanaweza kunisaidia hili. Leo baada ya kuamka asubuhi,katika kuangaza macho huku na kule pale ndani kwangu, niokaona imeandikwa namba 8 chini kwa rangi nyeupe kama ya chaki. Na nina imani hakuna mtu aliyeandika kwasababu week mbili nimekuwa...
 10. Sky Eclat

  Meghan Markle alivutia macho ya wengi Leo kwenye Commonwealth Day iliyofanyika Westiminister

  Malkia aliwategemea Harry na Meghan kuwa mabalozi wake katika nchi za Commonwealth ambazo siku hizi anashindwa kuzitembelea kutokana na umri kusonga mbele. Harry na Meghan wako kwenye ziara yao ya mwisho kama Waandamizi wa wafamilia ya Kifalme.
 11. Uni

  Leseni kwa wenye matatizo ya macho

  Habar Wana jamii forum !! Mimi nina swali hivi inawezekana mtu mwenye kuona jicho moja kupata leseni ya udereva ?
 12. M

  Kisa cha daktari wa macho Muhimbili

  Kisa cha kufukuzwa kazi mtumishi wa serikali (anaedaiwa kuchana juzuu) kimenikumbusha kisa cha daktari fulani wa macho Muhimbili mwishoni mwa miaka ya 70 na mwanzoni mwa miaka ya 80. Huyo Daktari alipata scholarship kwenda Ujerumani Magharibi (kusomea taaluma ya macho shahada ya kwanza)...
 13. S

  Baba Askofu Mwamakula: Sakata la Zitto, Serikali na Benki ya Dunia litufungue macho kuhusu umuhimu wa maridhiano ya kisiasa nchini

  SAKATA LA MHESHIMIWA ZITTO, SERIKALI NA BENKI YA DUNIA LITUFUNGUE MACHO KUHUSU UMUHIMU WA MARIDHIANO YA KISIASA NCHINI Nimeona barua iliyoandikwa na Mheshimiwa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini kwenda Benki ya Dunia kuiomba Benki hiyo izuie au iahirishe kutoa mkopo kwa Serikali ya Tanzania...
 14. Kididimo

  Kuna hatari naanza kuiona: Kuwa na viongozi waandamizi waliotumbuliwa wengi huku mitaani. Serikali iwe macho nao!

  Tumbua, teua,tumbua ni dhana njema ya kupanga safu bora ya viongozi. Hawa wanaotumbuliwa wengi wao hawakupenda itokee na wanatoka kwa shingo upande. Kuna RC mmoja wa mkoa mmoja alimlilia mtumbuaji, tena alikuwa Dr. kuwa mimi sijui kazi nyingine ya kufanya, ungenihurumia! Kilio hakikusikika...
 15. B

  Serikali itupie macho Chuo cha Ualimu Korogwe

  Kwa heshima na taadhima ni maombi yetu/yangu mamlaka zinazohusika kuchukua hatua kwa mambo yanayoendelea hapa chuoni Korogwe kwani tangu Mkuu wa Chuo aliyekuwepo kupandishwa cheo, kumekuwa na hali ya taharuki upande wa chakula. Chakula hakieleweki kwani chakula kinachopikwa ni zaidi ya...
 16. Hero

  Hivi hizi zote ni bendera za Tanzania au macho yangu ndio hayaoni vizuri?

  Nimekuwa nikijaribu kutafakari sana lakini imefikia niyaweke haya wazi! Kitu kama bendera ni tunu muhimu sana kwa nchi! Lakini nikipita mtaani naona mauzauza sana hasa ktk aina za rangi na nakshi ktk bendera yetu murua hii ya Tanzania. Naomba mnisaidie kama haya ni shida ya macho yangu tu au...
 17. mayowela

  Stamina ft Atan-ASIWAZE "Not true story changa la macho in business wise"

  Kwenye sanaa kuna mambo mengi ikiwa na uandishi na uchezaji wa maneno, lakini kuna hili limeongezeka wanaita muziki biashara, Kwenye wimbo mpya wa Stamina amecheza karata turufu, tetesi zilizokuwa zikiendelea mtandaoni kuhusu ndoa yake kazitumia kama fursa ya kibiashara kwenye muziki Siku...
 18. V

  Baby zima taa naumia macho!!

  Wanajamii nisaidieni hii tabia ya baadhi ya mademu kuomba taa izimwe kabla ya Show wanahofia nini? W engine ukitext unakuta inakaba vizuri nyingine zinalegea na kuburuza hadi kwenye magoti zisipozuiliwa na kufuli. Msaada uzoefu wenu unasemaje??
 19. Erythrocyte

  Uchunguzi: Jinsi watu wanavyoporwa mali zao baada ya mechi kumalizika Uwanja wa Taifa, huku Vyombo vya Ulinzi na Usalama vikitumbua macho

  " Nitasema Kweli daima fitna kwangu mwiko " Zikiwa zimesalia dk 30 mpira kumalizika vijana wezi , vibaka na majambazi kutoka Keko Magurumbasi , Keko Mwanga , Keko torori , keko machungwa na baadhi kutoka Chang'ombe husogea karibu na uwanja wa Taifa , wengi hujikusanya kwenye njia panda ya...
 20. S

  Hivi ugonjwa wa macho mekundu umeingia Dar?

  Wakuu, hivi ugonjwa wa macho mekundu (red eyes) umeingia Dar. Leo nimeenda nyumba moja nimekuta watu mawili wanaumwa macho. Kwakuwa nimekaa sana hapo nina wasiwasi nami naweza kupata. Nifanyeje ili usinipate?
Top Bottom