Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,607
- 93,385
Leo nimepeleka mtoto kwenye dispensary Jirani ambayo NHIF insurance accepted, cha kushangaza kufika reception naambiwa vitabu vya Bima vimejaa wanatibu Kwa cash tu.
Sasa nauliza hii ni by coincidence au ndio wameamuwa kuwanyoosha NHIF kimyakimya Kwa style hii?
Vipi wewe mtaani kwako, dispensary zenye mkataba na NHIF huduma za Bima zinapatika kuanzia 1 January 2024?