mgomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania MGOMO WA MABASI: MHESHIMIWA RAIS, WACHUNGUZENI WAMILIKI WA MABASI WANAOHUJUMU NCHI NA KUWATUMIA MADEREVA

    Mheshimiwa Rais,mgomo wa Madereva Wenda ukarudi Tena sura mpya Hali inayoendelea kwenye sekta ya usafirishaji nchini, hususan sekta ya mabasi ya abiria, inatuma picha mbaya na kuleta kero kubwa kwa wananchi wa kawaida. Ni dhahiri kuwa kuna baadhi ya wamiliki wa mabasi (matajiri) wanaojiona wako...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DAWASA YATEGUA KITENDAWILI GHARAMA UONDOSHAJI MAJITAKA KIGAMBONI

    Wakazi wa Kigamboni wanatarajiwa kupunguza gharama za uondoshaji wa majitaka baada ya DAWASA kukamilisha ujenzi wa mitambo miwili midogo ya kuchakata majitaka katika Kata za Vijibweni na Gezaulole zenye wakazi zaidi ya 410,400 Mitambo hiyo yenye thamani ya Sh2.3 bilioni imejengwa kwa ajili ya...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba awalainisha madereva. Wasitisha mgomo ulodumu kwa siku mbili

    Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini. Viongozi hao wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri ziendelee kama kawaida. Hata hivyo, serikali imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili madereva...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba kutinga mchana huu Stand ya Magufuli. Kutatua mgomo wa madereva

    Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva. Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam. Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala...
  5. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva nchi nzima: hii si dalili njema kwa serikali!

    Madereva si wachache nchi nzima. Kwamba wameweza kuanzisha mgomo nchi nzima ya Tanzania ni suala limetugutua kidogo. Tunaona serikali iko katika panic mode- hawakujua hili linakuja. Hilo ni somo kwa serikali na vyombo vyake. Tunasikia kila siku kuna intellijensia, sasa hivi wamevuliwa msuli...
  6. masai dada

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa mabasi unaendelea kwa siku ya pili, 30 Septemba 2026

    Kulingana na habari nayoiskiliza hapa live kutokea mbezi-magufuli ni kwamba mabus hayatoki Embu tujulishane wadau uko mlipo ili watu wajue altrnative ila mbona sasa bado mnakata ticket nyie mabus?? Pia soma: Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Kama kutisha serikali ni uhaini, waliotangaza mgomo wa madaktari hawakuitisha serikali na haukuwa uhaini?

    Hii kesi ya uhaini ya Lissu, imeniacha na maswali mengi lakini pia imenishangaza kwa mengi. Mojawapo ni sheria kutoa mwanya kuwa kuitisha serikali ni uhaini. Yaani kuitisha serikali ni ingredients kwenye kosa la uhaini. Sasa najiuliza: Kutangaza mgomo kama walivyofanya madaktari sio kuitisha...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Abiria waliokosa usafiri kufuatia mgomo wa madereva, wanaweza kufungua kesi ya kudai fidia dhidi ya makampuni ya mabasi?

    The point is; Msafirishaji alipokea pesa ya nauli na alimpa biria tiketi ya safari ya kwenda mji mwingine kwa ajili ya safari iliyotajwa. Abiria aliripoti ipasavyo katika kituo maalum cha kupandia na akasalia akiwa tayari na mwenye nia ya kusafiri. Muda maalum wa kuondoka ulipita, na...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa madereva Utaondoka na Vyeo vya watu

    Mgomo huu ndo kielelezo cha kwamba watendaji na Wateule wa Samia hawajalli Shida za Wananchi. Yaani wanafanya kazi kwa Vitisho na Ubabe mwingi sababu hawajateuliwa. Serikali inayowajibika kwa Wanancgi lazima ifanye mabadiliko. Watu wanakaa Ofisini muda mrefu na kufanya kazi kwa Mazoea...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Msando afika Stendi ya Magufuli, mgomo bado unaendelea, wasema wanamtaka kiongozi wa juu

    Licha ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando kufika Stendi ya Magufuli na kuzungumza na baadhi ya madereva wa mabasi, bado mgomo huo unaendelea, ambapo wahusika wamedai kuwa wanahitaji kukutana na viongozi wa ngazi za juu Serikalini. Mamia ya abiria wamelazimika kusubiri muafaka wa suala...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa madereva wa mabasi ni haramu hawatakiwi kuchekewa

    Ninasikitishwa na kadhia ya mgomo wa madereva wa mabasi wanaoshinikiza eti wasikatwe pointi kwenye leseni zao wanapofanya makosa. Pamoja na hayo kuna mmoja nimemsikia akisema eti wanatozwa faini hata mara tatu ya kosa la kuzidisha mwendo na kwa hiyo anaona alistahili kuipa mara moja hata kama...
  12. feyzal

    JamiiForums Tanzania Kutokana na mgomo wa mabus na Malori leo ndo ingependeza wenye gari binafsi kufanya road trip kabambe

    Salaam wakuu. Kama heading inavyojieleza, kwa siku ya leo barabara haina msongamano kabisa hivyo kama una road trip yako na gari yako binafsi leo ilikua siku safi sana ya kutembea na kuipima mapafu chuma yako bila ya usumbufu wa manjagu. Nawasilisha
  13. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kuna update yoyote kuhusu huu mgomo wa madereva maana abiria wajarudishiwa nauli zao na wamebakii kuchoma mahindi

    Kuna update yoyote kuhusu huu mgomo wa madereva maana abiria wajarudishiwa nauli zao na wamebakii kuchoma mahindi Karibuni
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi. Epuka usumbufu

    Mwanasheria na Wakili nguli Mheshimiwa Tundu Lissu aliwahikusema, siku madereva wakipaki magari yao yote watapati haki. Leo imetimia
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar

    Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma kuanza safari hii leo. Hali ya mgomo wa madereva na wafanyakazi wa mabasi imeendelea kushuhudiwa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar

    Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma kuanza safari hii leo. Hapa ni stendi ya Nane Nane, Dodoma, hali ilivyo asubuhi ya leo baada ya mgomo...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi. Epuka usumbufu

    Kama ilivyo tangazwa hapo awali, Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori, Mabasi na IT Nchi Nzima Tanzania. Hivyo kama ni msafiri, tumia njia nyingine kama ndege, Treni au Meli hata Mtumbwi. Asante. Kuna watu wanahoji kwanini wanagoma? Wanagoma kutoka na Utawala Mbovu usiotenda haki wa CCM na...
  18. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa madereva leo tarehe 29/09/2026.

    Mbona kama hii issue ipo serious sana aise. Nipo stand ya nyegezi mwanza Hakuna dereva aliyetoa gari hadi muda huu. Sometimes inabidi tu tajiri mwenyewe mwenye gari aje ashike usukani aendeshe mwenyewe. Vipi kwenu huko?
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mgomo hatusitishi… tutalisha ugali familia? Watoa huduma za daladala mnadani Dodoma

    Watoa huduma za usafiri wa daladala katika eneo la Mnadani jijini Dodoma leo Septemba 16, 2026, wamegoma kutoa huduma, wakilalamikia umbali wa stendi iliyotengwa kwa ajili yao kutoka barabarani. Watoa huduma hao wamesema umbali huo unawalazimu abiria kutembea hadi stendi, huku wao wakiwa stendi...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wauguzi Wasitisha Mgomo wa Siku 41 Baada ya Makubaliano na Magavana

    Wauguzi Wasitisha Muungano wa Kitaifa wa Wauguzi na Wakunga nchini (KNUNM) umesitisha mgomo wa kitaifa uliochukua siku 41, baada ya kufikia makubaliano na Baraza la Magavana (CoG). Katibu Mkuu wa KNUNM, Seth Panyako, alitangaza Jumatano, Septemba 9, 2026, kwamba mgomo ulioanza Julai 29 umefutwa...
Back
Top Bottom