chumbani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. rikiboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Dalali Anaingia Ndani Kupiga PIcha wakati Mpangaji Nipo-Kamkuta Mke Wangu uchi chumbani na Binti yangu Anaoga!

    Kisanga:- Madalali, siyo wa Sinza tu, wala kijitonyama na Magomeni bali Mwananyamala, Mwenge, Mabibo, Goba , mbezi beach, Mburahati, Mwanantoti, Jet Lumo, Vikunai, Kijichi, Kisewe, Vingunguti, Chekechea, Vikunai, Mabibo , Tabata, Segerea, Kinyerezi, Salasala, Wazo, Madale, Mivumoni, isipokuwa...
  3. McLaren

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulificha magendo gani chumbani kwako alafu ile unarudi nyumbani ukakuta kiko sebuleni unasubiriwa utoe majibu?

    Mimi ilikuwa smartphone kipindi hicho nipo sekondari Nilipataga hela sehemu nikaenda kuinunua hiyo smartphone nikawa naificha kwenye viatu alafu hivyo viatu nikaweka juu ya kabati Siku hiyo Bi Mkubwa hakwenda kazini kwenye harakati za kufanya usafi ndani kwangu akaikuta Ile narudi shule...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Lile bao la jana! VAR" ya Chumbani

    Mshkaji alisherehekea bao la kwanza kwa mbwembwe nyingi akimbia uwanja mzima wakati demu anadai "VAR" iangaliwe kwa sababu bao lilikuwa la "offside" maana kwa lilidumu sekunde chache tu.. au mchezaji alikuwa amezidiwa kasi. VAR ikasema hilo "Bao la Mapema" ni sawa na timu kufunga ndani ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mlioko ndani mtusaidie. Kwanini viongozi wakubwa wanajificha ficha?

    Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha Rais...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mchungaji wa EAGT akutwa amefariki dunia chumbani Moshi

    Mchungani wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) Makimbilio, Manispaa ya Moshi, Jane Mwangalimi amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake alikokuwa akiishi na mjukuu wake wa miaka mitano. Tukio hilo ambalo limetokea Januari 20, 2026 limegunduliwa na mjukuu wake huyo aliyekuwa...
  7. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Pale ukifulia hivi ndivyo mke wako anavyokuona kila akiingia chumbani

  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mo29 mkiniona nimepiga picha chumbani Ikulu msishangae ni kodi zangu

    Mo29 mkiniona nimepiga picha chumbani ikulu msishangae ni kodi zangu.
  9. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa zina mambo!Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda

    Ndoa zina mambo! Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda. Ee Mungu nusuru ndoa za waja wako🙏
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Watanzania wote wanunue picha ya Mama Samia na kuitundika sebuleni na chumbani

    Natamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu lake. Wanaomchukia wanaishi kama digidigi si mnamwona gwaji boy, nasasa kuna digidigi nyingine inatua...
  11. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Chumbani kwa Mshana Jr, comments ziwe fupifupi tafaadhali.

    Haa ndipo Mshana Jr anapojipimzisha baada ya KAZI ngumu ya tunguri na manyanga
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Niliokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku tena ugenini

    Hii sio hadithi bali ni simulizi yangu iliyobeba uhalisia wa yale niliyopitia nikiwa JF.. Mimi ni introvert.. Hivyo si mwepesi sana kusimulia maisha binafsi kama walivyo extrovert Nilijifunza mambo ya kiroho pamoja na uchawi darasani na nje ya darasa na kutunukiwa madaraja niliyostahili kwa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Bonyokwa; Kijana wa familia akutwa amejinyonga chumbani kwake, aacha barua

    Ikiwa zimepita siku 8 tu tangu tukio la wanandoa, Antony Ngaboli na mkewe, Anna Amiri, kukutwa wamekufa kwa kuchinjwa kikatili chumbani kwao, Bonyokwa, kijana ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amekutwa amekufa chumbani kwake mwili ukiwa unaning'inia kwa tafsiri ya kujinyonga au...
  14. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanadada Azra Ronaldo akutwa amefariki chumbani kwake

    Mwanadada anayefahamika kama Azra (Maarufu kama Ronaldo) amekutwa amefariki dunia ndani kwake kisarawe huku mwili wake ukiwa umevimba, tukio hilo limetokea leo Jumatano Juni 11, 2025 baada ya majirani kubaini harufu katika chumba chake. Mdau wa Michezo Seleman Kaniki ambaye alikuwa akimfahamu...
  15. Mobutu JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni vitu gani muhimu vinatakiwa viwemo kwenye meza chumbani kwa wanandoa wapya?

    Wakuu Wiki hii natarajia kupata mke mwema kutoka kwa Bwana,Nina maswali mengi najiuliza ni vitu gani ni muhimu viwepo mezani kwa ajiri ya mke wangu na hata Mimi mwenyewe? Hapa nimeandaa baadhi ya vitu kama rosheni,gisaleni,mafuta, perfume,sabuni🧼🧼🧼🧼 Vitu gani niongeze ili akute meza ipo...
  16. cold water

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje madogo wasiingie chumbani ninakolala

    Aisee,nipo nyumba ya kupanga nimeweka dressing table Ina kioo, wadogo zangu wanapenda kunitembelea, wakifika tu kunitembelea lazima wazame chumbani niwepo nisiwepo,hata nisipokuepo lazima utakuta mabadiliko chumbani,nikasema isiwe kesi niweke kioo full sebureni hapa nilipoweka kochi na tv lakini...
  17. Muimba SINGELI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaofunga ndoa na watu ambao mmepishana umri kwa zaidi ya miaka kumi huwa mnaongea mnapokuwa chumbani?

    Tajiri huwa hasalimii kila wakati. Unakuta mwanaume ana miaka 45=50 anaenda kumuoa binti wa miaka 18=22. Ama mwanamke mwenye miaka 40=45 anaolewa na kijana wa miaka 24=26. Hivi huwa wanaongea nini huko chumbani. Kuna kipindi (kabla sijajiunga na KATAA NDOA, ) nilihitaji mke kwa ajili ya...
  18. mjenziwakale

    JamiiForums Tanzania Kwa Wakazi wa Dar hivi hapo chumbani kwako mbu wapo au ni hapa kwangu ni Neema imenishukia.!!!

    Aisee huwezi amini kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miaka 13 tokea niingie hapa mjini nalala bila kufunga chandarau maana mbu wametoweka kabisaa, hata sauti siisikii kabisaa. Vipi huko kwenu?? Sijui ni nn kimewasibu hawa watesi wangu (mbu) hapa nyumbani.
  19. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Mama na mwanaye wakutwa wamefariki dunia chumbani kwa kukosa hewa

    Nimeona nitoe taaluma hapa kusaidia jamii Ukilala usiku hasa hasa kama nyumba haina madirisha ya kuingiza hewa ya kutosha kisha ukaingiza jiko la mkaa kinachotokea ni kwamba hewa ya oxygen iliyopo chumbani ina react na mkaa na kutokea hewa ya carbon dioxide C + O2 = CO2 hii carbon...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ulitumia mbinu gani kumfanya Mtoto wako aache kulala chumbani kwako?

    Hebu naomba mnisaidie hapa jaman ili niweze kuwahamisha hawa Watoto chumbani kwangu (Miaka 4&2). Imekuwa vita ya muda mrefu sana hawataki kulala kwenye Chumba chao, wanalazimisha kuendelea kulala kwangu Hata nikisubiri walale halafu niwahamishe wakishtuka kwenye zoezi la kuhamishwa mtanange...
Back
Top Bottom