Sasa yapata miaka mitatu tangu tuaminishwe kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza huduma yake lakini mpaka sasa hakuna kinachoendelea. Ninaomba majibu kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TRC. Atoke waziwazi kupitia luninga kuelezea umma ili tufahamu tatizo liko wapi.
Siwafichi wakuu, mimi ninapofaniliwa kupata seat kwenye mwendokasi halafu mwendokasi zikiwa ni za shida huwaga najiona kama nimeshawini kwenye maisha.
Najiona kama mimi nna gari langu kwahiyo hawa waliosimama huwaga nawaona kama maskini hivi, muda mwingine nawaonea huruma kabisa huku nimefungua...
Kwa jiji letu Dar es salaam inaonekana kawaida daladala au mwendokasi kujaza watu kupita kiasi kwa sababu ya haraka au usafiri kubwa mgumu tunaweza kuweka juhudi kupambana na magonjwa ya kuambukizwa kwa njia ya hewa kwa gharama kubwa lakini tahadhari zinapuuzwa kila siku unapata taarifa kifua...
Wadau,
Tuko kituo cha Msimbazi kwa watu wanakwenda Mbezi. Tumekaa kama masaa 2 hakuna basi linasimama hapa na kunawatu kama 300.
Sijui kwanini serikali instead watu wake hivi? Wanafurahia nini?
Tuliaminishwa kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza safari zake tangu 2021 na leo hii ni mwaka 2023 miaka miwili tayari imepita.
Kila siku kuna msemo "Mama anupiga mwingi". Kulikoni?.
Wadau,
Leo nimepata kadhia ya hali juu nikiwa Nyerere rd kwa kuwa foleni haitembei kabisa. Hii inasababishwa na kuwa ujenzi unaoendelea wa njia na mwendokasi sambamba na ujenzi wa SGR inawafanya watumiaji wa barabara kukosa njia mbadala.
Ni heri wangesuburi kukamilika kwa madaraja ya juu ya...
Baada ya kufuatilia kwa karibu ajali zinazotokea mara kwa mara hasa zinazohusisha magari makubwa nimegundua kuwa, zaidi ya nusu zimesababishwa na overtaking (kupita gari la mbele bila kuchukua tahadhari. Mara nyingi mwendokasi umeweza kusababisha ajali pale dereva anapoacha kufuata taratibu na...
1. Madhumuni (vision) na malengo (objectives) mazuri ya Rais wetu, ambayo aliyatangaza wazi hadharani, yalikuwa ni kuifanya bandari ya DSM kuwa ya kiwango cha mwendo kasi, cha kisasa na cha viwango vya kimataifa (international standards) kama zilivyo bandari hususani zile za Singapore na Taiwan...
Eti mabasi ya mwendo kasi yako ya kawaida na mengine kasi ya express. Ujinga mwingi tu. Mara ngapi nimepanda magari yao hayana matangazo ya wazi yanapokwenda wala hakuna vipaza sauti na hakuna konda.
Nakusudia niteremke Magomeni wananipeleka mpaka Manzese. Nasubiri jengine la kuelekea mjini ili...
Kama kawaida ya watawala wetu wanawaza kuuza na kukodisha kwa kigezo watu weusi watanzania wameshindwa kuendesha. Hali ya mradi huu kwa sasa ni mbaya hakuna usimamizi. Kwa hali ilivyo sasa ambapo tumekopa kujenga miundombinu na kununua magari ya mwendo kasi tulitegemea wazawa wangeachwa...
Mkuu Mkoa wa Pwani Mhe. Alhaj Aboubakar Kunenge, akizungumza na abiria kwenye Kituo Kikuu cha Mbasi Kibaha Mei 2, 2023.
WANANCHI wanaotumia usafiri wa mabasi ya Mwendo Kasi (DART) kwenye Kiituo Kikuu cha mabasi Kibaha Mkoani Pwani, (Kibaha Bus Terminal) wametoa malalamiko yao kwa Mkuu Mkoa wa...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesema majeruhi pekee wa ajali ya basi la mwendokasi iliyotokea tarehe 22/2/2023 Jijini Dar es Salaam, Osam Milanzi ameruhusiwa kutoka Hospitali baada ya afya yake kuimarika.
===
Tunapenda kuuarifu umma kwamba majeruhi pekee wa ajali ya basi la...
Mfuko wa karatasi ya kaki wenye dawa muhimu umesahauliwa leo 15 Feb saa 10 alasiri kwenye mwendo kasi toka Morocco kwenda Kimara. Kama umeuona tafadhali piga simu no 0742957797. Ahsante.
Ni ajali mbaya sana imetokea hapa Kibaigwa Silwa, bado mchakato wa kubaini athari unaendelea.
Nita-updates soon ngoja tuokee watu kwanza.
Kama una ndugu yako alipanda basi hilo kutokea njia ya bukoba kwenda Dar
USSR
===
Ajali imetokea Kijiji cha Silwa, Kata ya Pandambili,Tarafa ya Mlali...
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetoa bei mpya za nauli kwa watu wazima wanaosafiri katika njia kuu na mlishi zinatakazoanza kutumika leo ambazo zimeidhinishwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Meneja Uhusiano wa Dart, William Gatambi...
Umoja wa mabasi muda wa kuwa kitu kimoja sasa
Hivi karibuni tulitangaziwa ongezeko la nauli za mwendokasi. Sijui zinaanza lini
Kama wameruhusiwa na mamlaka husika na nyie mabasi ya kawaida mpandshe
Wote mnatumia mafuta aina moja vyema kukawa na usaws kwenye swala la nauli na matumizi ya...
Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amewataka Wananchi kutochanganya Treni hii ya Tanzania na zile za high speed zenye vichwa vilivyochongoka.
Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na watu wasio na nia njema ni zile za high speed zinazotembea zaidi ya km 200 kwa saa.
Za kwetu ni hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.