boxer

Lim Yo-hwan (born 4 September 1980), known by the ID SlayerS_`BoxeR` (usually shortened to BoxeR), is a former professional player of the real-time strategy computer game StarCraft. He is often referred to as The Terran Emperor (Korean: 테란의 황제), or simply "The Emperor", and is widely considered to be one of the most successful players of the genre as well as an esports icon. In late 2010, he retired from StarCraft: Brood War and founded the StarCraft II team SlayerS. Since the disbanding of SlayerS, he briefly returned to SK Telecom T1 (SK T1) as a coach before retiring due to health related issues. He is currently a professional poker player.
Lim has a record of 548 wins and 416 losses (56.80%) in his professional career. He is one of the highest-paid professional gamers, with annual earnings that exceed $400,000 US Dollars and endorsement contracts that bring in an additional $90,000 per year.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwafrika mmoja

    Pikipiki Boxer mpya inauzwa njoo ibebe

    Habarini za Asubuhi wakuu. Nimewaletea mzigo huu kwenu Pikipiki TVS inauzwa, ina miezi 5 tu tangu inunuliwe. Ni yakwangu mwenyewe haijatumika sana. Model: TVS 125 Plate number: DQF Bei yake: 2,000,000 Fixed Nicheki WhatsApp: 0683535699 NB: Nimekosea kwenye headline siyo Boxer ni TVS
  2. X_INTELLIGENCE

    INAUZWA Pikipiki boxer BM 125 inauzwa

    kimfaacho mtu chake sindio wanajamiiforums enh nina uza pikipiki yangu aina ya Boxer bm 125. pikipiki hii imetengenezwa mwaka 2022 ikasajiliwa hapa Tanzania mwaka 2023 hivyo ina mwaka sasa tokea ianze kufanya kazi. nilikuwa naitumia kwendea kazini tu. na vijisafari vidogo vidogo. hivyo sijawahi...
  3. ndege JOHN

    Pampers na boxer zimeanza kutumika miaka gani hapa Bongo?

    Kichwa cha Habari kinajitosheleza. Miaka ipi tumeanza kuvalisha watoto pempas je ni 90' au 2000'. Na vipi kuhusu chupi na vipi kuhusu boxer naombeni ufafanuzi.
  4. Etugrul Bey

    Mwamba kama umeshawahi kupotelewa na boxer au soksi ujue umekwisha

    Mpaka mida ya saa nane adhuhuri binti haonekani, ikafika alsir around saa kumi na moja hakuna anayejua kapatwa na masahibu gani binti wa watu. Aliondoka home majira ya saa sita tukajua ameenda dukani, kwakuwa ni mgeni maeneo haya na siku hiyo ilikuwa siku ya mnada huwa pamechangamka sana...
  5. Hazard CFC

    INAUZWA Pikipiki aina ya boxer BM150 inauzwa

    Boxer bm150 Haina tatizo lolote unapiga starter unaondoka Nzuri sana kwa wenye maduka makubwa ya jumla kwa ajili ya usambazaji bei Tsh 680,000 0658643636 Mbezi Magufuli stand
  6. M

    Legendary boxer is no more

  7. Issuna

    INAUZWA PikiPiki Boxer 125cc inauzwa 1.8m, ina Mwaka full document

    Pikipiki imenyooka kama rula, mkoa wowote ulipo inakufikia kwa kuendeshwa sio kusafirishwa. Cc 125 powerfull boxer haijawahi fanya boda boda hata siku 1, ina mwaka katika matumizi na Km 10,000 imemwagwa oil mara 10 tu tangu inunuliwe. Bei iko fixed, mahali ilipo GOBA CONTACT : 0695697796...
  8. X_INTELLIGENCE

    Nategemea kwenda Shinyanga kwa pikipiki aina ya Boxer, CC 125

    Ndugu wanajamvi nategemea kwenda Shinyanga nikitokea Dar es salaam kwa Piki piki boxer cc125 mwenye uzoefu itakuwa vyema ukanisaidia. Nataka kujua mafuta naweza kutumia kiasi gani. Je, nijiandae kwa changamoto gani barabarani pikipiki hii ninayotaka kuitumia ni mpya. na nina tegea kwenda na...
  9. L

    INAUZWA Boxer 125 Used

    Boxer BM 125cc DLQ 1,930,000/ IPO Temeke Yombo Call 0652659775
  10. Chief Wingia

    Kampuni ya Bajaj imetoa toleo jipya la pikipiki aina ya Boxer 125 HD

    Habari zenu wadau na wapenda bike, aisee niende moja kwa moja kwenye mada. Kampuni ya Bajaj wamekuja na toleo jipya la pikipiki aina ya Boxer 125hd isiyokuwa na paper oil filter. Tuone kama muendelezo wa uboreshaji huu utaweza kuboresha engine za boxer maana toleo hili jipya jamaa wameondoa...
  11. Tachu hano

    Pikipiki ya Boxer au TvS inahitajika

    Pikipiki Boxer or TVS inahitajika iwe katika condition nzuri Location: Mwanza NB: Isiwe mbovu, na pia kama una brand nyingine kama Honda na bei reasonable nicheki.
  12. X

    INAUZWA Pikipiki Boxer Inauzwa BM 125

    MODEL: Boxer MODEL NUMBER: BM 125 LOCATION: Tegeta, DSM IKO KATIKA HALI NZURI, ENGINE HAIJAWAHI KUGUSWA BEI: 1,100,000/= maelewano yapo Nicheki PM
  13. X

    INAUZWA Pikipiki Boxer BM 125 Inauzwa

    MODEL: Boxer MODEL NUMBER: BM 125 LOCATION: Tegeta, DSM Iko vizuri kabisa na ENGINE haijawahi kuguswa Ina registration card BEI: 1,100,000/= maongezi yapo NICHEKI PM KWA MAWASILIANO ZAIDI
  14. Chief Wingia

    Boxer BM 100cc na madereva bodaboda wa kanda ya ziwa hasa Bukoba na Mwanza mjini

    Habari zenu wadau. Last week nilikuwa pande za Kagera (Bukoba) na viunga vyake pia nilipita na jijini Mwanza (Mwanza town). Nikiri kuna mengi nilijionea ila la kushangaza ni madereva wengi wa bodaboda kutumia pikipiki za Boxer BM 100cc katika harakati zao za kuingiza kipato. Tofauti kabisa na...
  15. V

    INAUZWA Pikipiki Boxer

    Haina shida yyte Location: Kibamba Bei:700,000/=
  16. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Hii ndio sababu iliyonifanya niache kuvaa nguo za ndani (vest na boxer)

    Maisha ni fumbo kubwa lililojaa somo kubwa iwapo tu utasimama thabiti na ukiwa na msimamo chanya na kuwa mtu unayependa kujifunza kupitia na magumu unayoyapitia. Nilipoingia kwenye biashara na kuanza kushika vijihela ambavyo nilikuwa sijawahi kuvishika kabla, basi na tabia mpya zikaanza...
  17. S

    Pikipiki Used Tvs /boxer / Toyo / Sanya inahitajika

    Naitaji pikipiki Used mbili tvs / boxer na Toyo / Sanya Bajeti: laki saba Saba Kila Moja Yeyote mwenye nayo naomba tuwasiliane. Tuwasiliane kwanza pm Kisha nitakupatia namba zangu Gharama za usafiri mpaka hapa nilipo ni za kwangu Karibu
  18. The bump

    INAUZWA BOXER CC 125 (ina mwezi unaenda mwezi wa Pili) BM X

    Hii pikipiki nilininunua TAR 5 mwezi wa 9 nita attach risiti ya Manunuzi. Pikipiki sina namna naweza ielezea, "ni mpya" Naiuza sio kwa shida hivyo mteja apatikane asipatikane yote kheri. Sababu ya Kuiuza ni kutokana na ngekewa ambayo imenitokea bila kutarajia, sikua nimetarajia kabisa kupata...
  19. Movies Store

    BOXER decoration Kuanzia Lights mpaka Tires

    Habari zenu ndugu zangu,naomba kwa watumiaji wapikipiki hasa BOXER msaada wenu wa fundi au mahali ninapoweza peleka pikipiki yangu ikafanyiwa mbwembwe ikawa na muonekano mpya kabisa. Nakutana na pikipiki nyingi barabarani ni boxer ila kuna vitu imeongezwa imekua nzuri sana pikipiki hiyo hiyo...
Back
Top Bottom