walipa kodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania BGR Group: Serikali ya Tanzania Inahangaika Kujisafisha Kimataifa kwa Kutumia Pesa za walipa kodi

    Hii ni taarifa ambayo imekuwepo kwa muda kupitia Asasi zisizo za kiserikali. Ukiwa na elimu unashindwa kuamini haraka kwamba kweli tunaongozwa na watu wadhaifu kichwani kiasi hiki? Yaani huu ndo mwisho wa kufikiri wa wana CCM na serikali wanayaosema ni yao? Soma hapa...
  2. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: TRA INATOA POST ZA TIPS ZA ONGEZEKO LA KODI KWA ENGLISH WHY ? WALIPA KODI WENGI NI WASWAHILI

    Cha kushangaza hizi Tips za ongezeko la Kodi mnatoa kwa Kingereza lakini habari zingine zote mnatoa kwa Kiswahili , hii sio sawa !!! Mnahudumia walipa kodi wote Waswahili na hao wa Kingereza
  3. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Je Misafara ya Viongozi inazingatia matumizi ya fedha za walipa kodi?

    Kumemekuwa na kawaida viongozi wengi wakiwemo Mawaziri kutembea na misafara mikubwa wanapokwenda kwenye ziara zao ikiwemo kuwasafirisha waandishi wa habari kila waendako. JE hizi bajeti hutoka wapo?
  4. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Watu mliopo serikalini ifikie hatua muwahurumie walipa kodi

    Kijiografia nchi yetu ni kubwa sana na ukubwa huu unapelekea kuongezeka kwa gharama za maisha hasa kwa watumishi wa Umma Ofisi ya Rais Utumishi mnachofanya sio kizuri ni kuongeza gharama zisizo kuwa na maana kabisa kwa wananchi wote tunajua mtumishi yupo kwa ajiri ya kuwahudumia watanzania wote...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mwambigija: CCM tendeni Haki sio kurundika Matume ambayo yanakula Fedha za Walipa Kodi

    Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA (BAZECHA) Mkoa wa Mbeya, David John Mwambigija, akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Maji Moto, Jimbo la Kavuu mkoani Katavi, "Njia ya kutatua haya sio kuunda tume. Kwanza wanakushauri vibaya. Ushauri mtamu na mzuri na wenye...
  6. Slobodan Mirosovich

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na yanayoendelea nchini, Viongozi wasio waaminifu wameamua kujichotea fedha za walipa Kodi watakavyo

    Katika ulimwengu wa ukaguzi wa hesabu forensic auditing na intelijensia ya jinai (criminal intelligence) miradi mikubwa inayohusisha wageni mashuhuri kama Wasanii na wanamichezo, matukio ya kimataifa au kampeni kubwa za kuitangaza nchi inaweza kutumika kama kichaka au mbinu ya kutakatisha fedha...
  7. U

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Nchini Botswana ni rahisi zaidi kumfukuza kazi mtumishi Mzembe kuliko Tanzania, Je Sheria yetu ya Utumishi ni Mzigo kwa Walipa kodi?

    === Akiongea katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana Kafulila aliwapongeza wafanyakazi kwa mafanikio makubwa ya kuifanya ajenda ya PPP kueleweka kwa kasi kwa umma na mfumo mzima wa Serikali. Akaendelea kusema, Mafanikio hayo yamepelekea...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Eric Shigongo: Tujenge Uchumi wa kujitegemea kwa kuongeza walipa kodi

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema Tanzania inapaswa kujenga uchumi imara unaojiendesha kwa kutegemea mapato yake ya ndani. Akichangia Bungeni, Shigongo ameeleza kuwa mchango wa mapato ya kodi kwenye pato la Taifa bado ni mdogo, jambo linalohitaji Serikali kuweka mazingira rafiki...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Wazo; TRA marathon,jukwaa rafiki la kuwakutanisha tra na walipa kodi!!!

    Someni wazo mtoe maoni yenu!! Maendeleo ya taifa lolote hujengwa juu ya mshikamano na ushirikiano kati ya Serikali na wananchi wake. Ushirikiano huu hujidhihirisha kupitia ushiriki wa wananchi katika kulinda amani, kushiriki katika shughuli za maendeleo, pamoja na kutekeleza wajibu wao wa...
  10. Adharusi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi Mkuu ni uhalali wa kutakatisha Fedha za Walipa Kodi

    Kwenye kalenda ya uchaguzi, tunaambiwa kutakuwa na kupiga kura, niwaambie watanzania wenzangu Chadema wanahoja, mfumo uliopo sasa, naomba sana muelewe ile kauli mbiu ya October tuna tiki, maana yake hata usipoenda kupiga kura, watakutikia .. Tume ifunge camera vituo vyote ,kama wanataka haki
  11. E

    JamiiForums Tanzania Idadi ya walipa Kodi kenya waliosajiliwa ni milion 7 TZ NI MILION 1.5

    Ewe Kenya utatuburuza mpaka lini?
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wapiga Kura 37m vs Walipa kodi 2m?

    Inashangaza Sana kumbe tuna Taifa tegemezi kwa nakisi ya 35m watu hawalipi kodi
  13. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya msajili ni moja ya taasisi mizigo kwa taifa na walipa kodi

    Malengo ya kuanzishwa ofisi ya msajili vyama vya siasa hayajawahi fikiwa na hayatofikiwa . taswira ya sasa ni kwamba msajili wa vyama vya siasa yupo kwa ajili ya kuhujumu chama chenye nguvu ya ushindani dhidi ya ccm. *Kwasasa msajili yuko bize kuihujumu CHADEMA huku akifumbia macho madaifu...
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Hizi Hapa Halmashauri za Wilaya 10 Zenye Mapato Chini ya Bilioni 2 Kwa Mwaka. Napendekeza zifutwe zinaongeza mzigo kwa Serikali na Walipakodi

    Hizi Halmashauri bila shaka ziliundwa Kisiasa,napendekeza Zifutwe haraka . Kati ya halmashauri 184 nchini, hizi hapa halmashauri 10 zenye makusanyo ya ndani kidogo 2023/24: 1. Bumbuli DC - Milioni 985 2. Madaba DC - Bilioni 1.23 3. Kakonko DC - Bilioni 1.33 4. Kigoma DC - Bilioni 1.34 5...
  15. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Video: Walipa kodi wanavyoteseka na huduma za jamii

  16. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM acheni kujihujumu wenyewe, acheni kukamata walipa kodi

    Hao mnaowakamata kwasababu za kisiasa ni walipa Kodi halali na TRA inawatambua!mkosoaji wa mitandaoni yeyote yule hawezi kukosoa bila kununua bando na hawezi kununua bando bila kufanya kazi,mnapomkamata maana yake mmepoteza mlipa Kodi na serikali itakosa mapato ya kumalizia miradi ya maendeleo...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Urekebu wa Sheria wagharimu Tsh 10 bilioni za walipa kodi. Kwa maneno ya Rais naona hakuna tatizo somewhere

    Nanukuu maneno ya rais: “Nazungumza hili nikiwa na fahari kubwa kwamba shughuli ya urekebu wa sheria, toleo la 2023 tunalozindua leo limegharamiwa na sisi wenyewe. Naambiwa shilingi bilioni 10 ziketumika kwenye hili”. “Mimi ninajua serikali ilikuwa inatoa fedha za urekebu wa sheria, lakini...
  18. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Idadi ya walipa kodi yapungua

    Idadi ya walipa kodi nchini imeshuka kutoka watu 3,336,777 kwa mwaka 2021/2022 hadi watu 2,282,048. Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kongamano la kodi na uwekezaji. Je, unadhani nini kimechangia hali hii? Je, wewe binafsi...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Orodha ya maeneo yote ya kuondoa machinga wote waliopanga bidhaa chini na kuzuia biashara za wenye fremu

    Hili ni jambo la kushangaza unakuta unaenda kununua bidhaa dukani unakutana na machinga mbele ya duka la muuza duka. Machinga huyo amepanga bidhaa zake chini ya duka la muuza duka. Kuna baadhi ya mambo inabidi serikali itumie nguvu kuwapanga watu vizuri ili watu waende maeneo rasmi ya...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kuna Matumizi Mabaya sana ya Fedha za Walipa Kodi nchini Tanzania

    Msingi Mkuu wa CCM kukataa KATIBA MPYA unatokana na KATIBA ILIYOPO KUWAPA NGUVU Wanasiasa kuliko Watendaji hivyo Wanasiasa kutapanya pesa za wananchi kwa namna wanavyojisikia wao bila hofu ya kufanywa chochote kile. Na fedha hizo wanasiasa wanazitumia kwa maslahi yao binafsi na CCM. Kusema...
Back
Top Bottom