Wizi unaanzia kwa maajanti wa mabasi ambao hupandisha nauli hovyo.
Hawana nauli ambazo ni standardized. Utakuta basi moja kila mtu amelipa nauli tofauti japokuwa wanaenda sehemu moja.
Wakati wa kula chakula. Madereva na makomdakta wanawapeleka abilia kwenye sehemu ambazo ndio kuna wizi na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kumshambulia na kumjeruhi mtu pamoja na kuzua taharuki katika jamii kufuatia matukio mawili tofauti yaliyotokea katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo.
Akizungumzia matukio hayo, Jeshi la Polisi lilieleza kuwa tukio la kwanza...
Amani kwenu watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kwaresma imeisha salama sasa tuko tunaendelea kusherekea pasaka na leo ni jumatatu ya pasaka
Kila siku mimi kama Beira boy katekista wa parokia ya st Joseph huwa nawasisitizia vijana wenzangu kuwa uchawi haulipi na imani za kishirikina siyo...
Eti wazee wa logic na akili nyingi safari hii imekuaje?😂🤣🤣 Akili zote na logic zimehamia kwenye mikuyenge?
Kutwa kucha kuwakamia wanawake kooni, safari hii mwalimu wetu kipofu kahamia huko kwenu? Kabisa unaambiwa mtu kashikwa bega mali zikaondoka na wewe mzima mzima huyooooo unaamini, kwa kitu...
Jeshi la Polisi limelazimika kuwahi eneo la tukio na kuingilia kati taharuki iliyojibuka Kimara Mwisho, Wilayani Ubungo Mkoani Dar es salaam jioni hii baada ya Wananchi wa eneo hilo kumpiga Mwanaume mmoja anayedaiwa kupoteza sehemu za siri za Mkazi mmoja wa Kimara baada ya kumshika begani...
Akiuliza swali kwa Msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa, mwandishi wa ITV Godfrey Monyo amehoji mpango wa serikali kuwafidia waliopotelewa Mali zao.
Kitendo cha kutogusia waliopoteza maisha kutokana na Uzembe wa vyombo vya Dola kunatujengea picha kwamba walio upande wa serikali hawathamini...
SIM Swapping Wizi wa Namba ya Simu Bila Kuibiwa Simu Na Jinsi ya Kujilinda
Katika dunia ya sasa ya kidigitali, namba yako ya simu imekuwa “kitambulisho” chako mtandaoni. Inatumika kuthibitisha miamala ya benki, kufungua WhatsApp, kusahihisha nenosiri kwenye akaunti zako, na hata kupata huduma...
Yo ma men, sikiliza hii game real quick...
CAG ni OG wetu kwenye system, yaani Controller and Auditor General, the man supposed to check these sneaky-ass politicians when they misuse our tax money.
But guess what?
Every time jamaa anatoa report, it's like he droppin' a bomb on dirty secrets –...
Wakuu habari.
Mimi kwa sasa , ninafanya kazi Kama Diaspora Messenger.
Kazi ninazofanya ni Kama kuwawakilisha watanzania wote waliopo nje ya nchi kwa kufanya Kazi zao mbali mbali.
Ikiwa wewe ni Diaspora unahitaji MTU mwaminifu utakayekuwa unamtuma kufatilia Kazi zako , naomba tuwasiliane...
Je ushawahi kutapeliwa, Kuibiwa au kudhurumiwa tuambie ulifanikiwa kulejesha, Hatua zipi ulizochokuwa au Ukasamehe.
Binafsi nilishawahi kuibiwa Piki Piki kipindi nipo Chuo kikuu, Nilimpa kijana mwezangu kwa Siku Lejesho elfu 7 akaleta kama miezi miwili badae akasema ameibiwa ,hakuwa na jelaha...
Huenda jamaa kamuua mke wake.
Na hii story ametengeneza kama Alibi.
Ushauri: Ahojiwe vizuri, anaweza akawa anajua mke wake yupo wapi.
Thank me later 🙏🙏🙏🙏
Zamani kwenye hizi drama za mpira wa Simba na Yanga nilikuwa nasikia kuna wachezaji wa kigeni walikuwa wanafanya makubaliano na timu moja wakiwa nje ya nchi halafu wakifika Tanzania timu nyingine inawaiba au inawarubuni wakiwa Airport au Hotelini na kuwasajili kucheza timu yao.
Hawa wachezaji...
Nilijitahidi sana na kufanikiwa kununua iPhone 7 Plus nikiwa mwaka wa kwanza chuoni mwaka 2019, kipindi hicho simu hiyo bado ilikuwa maarufu sana. Nilikuwa naipenda sana kwa sababu ilikuwa inapiga picha nzuri na pia niliweza kuhifadhi mambo yangu mengi.
Siku moja nikiwa njiani kuelekea Mwenge...
Kuna kipindi kulitokea janga la uchunaji wa ngozi za binadamu.
Likaja janga la kutolewa viungo vya mwili kwa ndungu zetu wenye albinism.
Sasa ni kuna taharuki kuhusu uibaji wa watoto. Ingawa jeshi la polisi lime downplay taharuki hii kusema ni za kizushi ila bado pia inatakiwa tuwe makini kwa...
Nimewiwaaa kuuliza hili
Hivi majuzi nilinunua gb 1.4, Ghafla nikashangaaa siku mbili siwezi fungua website wala chat na WHATSUP
Nikasema isiwe taabu nikavuta niwezeshe, nikachungulia asubuhi nikawa na MB kadhaa. Asubuhi nikasema nikimonite naona na mb 765 mpaka tar 11 jun na mbs 650 mpaka...
1. Mfanyabiashara kalipa kodi halali shilingi milioni ishirini na nne, lakini kaandikiwa kalipa milioni tatu. Inawezekana kiasi kilichobaki kimeliwa na wajanja. Hilo limetokea jijini Arusha.
2. Watumishi wa Serikali wajiwekea utaratibu wa kutoa risiti feki na kujipatia mamilioni ya fedha. Tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.