kibamba

Kibamba is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 17,998.

View More On Wikipedia.org
  1. Sonship

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kibamba shule (Hondogo), Dar es Salaam

    NYUMBA INAUZWA – KIBAMBA SHULE (HONDOGO), DAR ES SALAAM 💰 Bei: TZS Milioni 27 tu Sifa za nyumba: ✅ Kiwanja ukubwa wa mita 23×25 ✅ Umbali wa km 3 kutoka barabara ya lami ✅ Vyumba 2 vya kulala: Master Bedroom 1 Single Bedroom 1 ✅ Sebule ✅ Jiko ✅ Public Toilet ✅ Plasta ya ndani...
  2. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Vimeokotwa vitambulisho vya Bernadetha Mohamedi Kalembo, Hospitali ya Kibamba

    Anayemjua mhusika aje inbox nimwelekeze.
  3. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kibamba: Ukiona wanadhibiti kila kitu, wanaficha udhaifu wao wa ndani

    Mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Deus Kibamba, ameonya kuhusu kuongezeka kwa udhibiti wa vyombo vya habari na asasi za kiraia nchini, akisema hatua za kubana uhuru wa kujieleza na kuwazuia watu ni dalili ya mfumo unaotumia hofu kuficha mapungufu yake badala ya kuyatatua. Akizungumza Juni 25...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uhalifu unaofanywa na baadhi ya waendesha pikipiki mtaa wa Kibamba Luguruni

    Naomba mamlaka husika zichukue hatua dhidi ya baadhi ya waendesha BODABODA wanaoweka vijiwe visivotambulika katika mtaa wa KIBAMBA LUGURUNI ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu na kuwatishia usalama wakazi. Kumekuwa na matukio ya uporaji,wizi na unyang’anyi yanayohusishwa na...
  5. Sonship

    JamiiForums Tanzania VIWANJA KIBAMBA TORINO

    🏡 VIWANJA VINAUZWA – KIBAMBA TORINO 🏡 📍 Kibamba Torino, Ubungo – Dar es Salaam 📐 Ukubwa: Mita 20×20 💰 Bei: Kuanzia Milioni 15 ✅ Vimeigusa barabara ya lami ya Kibamba Shule–Kibwegere ✅ Umeme na maji ya DAWASCO vinapatikana ✅ Viwanja vingi, unachagua mwenyewe 🚖 Kutoka Kibamba Shule: Bajaji TSh...
  6. Sonship

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja kibamba shule-Kibwegere

    🏡 VIWANJA VINAUZWA – KIBAMBA KIBWEGERE 🏡 📍 Njoo Kibamba Shule – Kibwegere ujikatie kiwanja chako sasa! ✅ Ukubwa wa kiwanja: Mita 20x20 ✅ Vipo mita chache kutoka barabara kuu ya Kibwegere ✅ Sehemu tambarare nzuri kwa makazi au uwekezaji ✅ Barabara inafika mpaka site 💰 Bei: Milioni 15.5 tu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania KERO Kibamba - Dar es Salaam wengi bado tunalazimika kununua maji ya chumvi

    Kibamba wengi bado tunalazimika kununua maji ya chumvi Licha ya Serikali kukiri kuwa Tanzania si masikini wa vyanzo vya maji, bado kero ya maji imeendelea kukithiri hasa kwa miji mikubwa kama Dar es Salaam. Kero hiyo imedhihirika tena mwisho mwa mwaka 2025, kwa jiji la Dar es Salaam kukumbwa...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Deus Kibamba: Maridhiano yawe kati ya Serikali na Watanzania, sio CCM na CHADEMA

    “Maridhiano yawe baina ya serikali na watanzania, Sio CCM na CHADEMA, Kwa sababu mamlaka yapo mikononi mwa watanzania sio vyama vya siasa” Deus Kibamba, Mchambuzi wa Siasa
  9. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kibamba: Serikali ikamilishe mchakato wa katiba mpya mapema kwasababu katiba ya sasa ndio chanzo cha haya machafuko

    Deus Kibamba ambaye ni Mchambuzi wa masuala ya Diplomasia na Siasa nchini Tanzania ameshauri tume zitakazoundwa za uchunguzi juu ya matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi mkuu wa 2025 zijikite kwenye uchunguzi wa kisayansi na siyo kisiasa. Aidha, Kibamba amebainisha kiini cha tatizo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hajui Idadi ya Wabunge wa Serikali yake

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 18, 2025 akiwa katika hafla ya uapisho wa baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma ameshindwa kujua idadi ya wabunge ambao wapo katika Serikali yake
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Deus Kibamba: Tusimlaghai Rais. Huwezi kujichunguza mwenyewe. Hapa tulipofika tusijichunguze, tuchunguzwe

    Mchambuzi wa masuala ya Siasa Deus Kibamba amesema kwa mazingira ya sasa, ni ngumu kupata mchunguzi wa ndani atakayeaminika na pande zote, isipokuwa ni busara pande zote zikaridhia kupata mchunguzi huru kutoka nje ya nchi huku akirejelea hotuba ya Rais Samia siku chache zilizopita akieleza...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Edward Kinabo wa CHAUMMA ataka mdahalo wa wazi na Anjellah Kairuki Jimbo la Kibamba

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, Septemba 8, 2025, ameendelea na kampeni zake za mtaa kwa mtaa katika Kata ya Goba, mtaa wa Matosa, akihamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura. Kinabo amemuita mgombea Ubunge wa CCM...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge Kibamba aahidi kuboresha maslahi ya Bodaboda

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibamba, mkoani Dar es Salaam, kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, Septemba 2, 2025, akiwa katika Kata ya Saranga, ameahidi kuboresha maslahi ya waendesha bodaboda endapo atapewa nafasi ya kuwakilisha wananchi wa jimbo hilo bungeni...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Deus Kibamba: Mbunge akimaliza miaka mitano Bungeni anapewa kiinua mgongo Sh Milioni 380+

    Msikilize Deus Kibamba ambaye ni Mchambuzi wa Mambo ya Siasa na Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia na Mkurugenzi Mtendaji Kituo Cha Taarifa Kwa Umma akifafanua kuhusu faida za Mbunge anazopata ndani ya Miaka mitano. Ndio maana Watu wanapambana kwa nguvu zote kuupata Ubunge kama mambo yenyewe ni...
  15. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Miliki nyumba hii kibamba shule Kwa 75 millions

    MILIKI NYUMBA NZURI KIBAMBA SHULE – MILIONI 75 TU!* Nyumba ya kuvutia inauzwa, ipo Kibamba Shule (1KM kutoka barabara ya lami). Sifa za Nyumba: Vyumba 3 (1 Master) Jiko + Dining Mabanda ya kufugia kuku (tayari kwa biashara ndogo) Fremu 3 za biashara (hazijamaliziwa) Eneo kubwa SQM 1300 –...
  16. Sonship

    JamiiForums Tanzania VIWANJA VINAUZWA KIBAHA,KILUVYA NA KIBAMBA

    VIWANJA VINAUZWA Kibaha Kwa Mathiasi Nyumbu Jeshini 20x20 Milion 7 Kibaha Maili Moja Mwanalugali 20x20 Ml 7 Kiluvya Kwa Komba 20x20 MLN 16 Kibamba Kibwegere Kwa Kinega 20x20 Milion 7 Kiluvya Madukani Vya Km 3-5 Milion 8 Karibuni Wadau wa Ujenzi 0775 179905
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mama tulipe Madeni yetu tunayokudai Wakazi wa Kibamba

    Wakazi wa wilaya ya Ubungo(Dar es salaam) hasa Jimbo la uchaguzi la kibamba mama tunakudai Tena madeni makubwa sana. Tunakudai maji, barabara, hospitali n.k. Miaka 64 ya uhuru hatuna maji ya dawasa, hivi hii ni haki kweli? Kila siku danadana tu tumechoka. Dawa ya deni ni kulipa
  18. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kisemvule njia panda ya Kibamba Msikitini

    Nauza kiwanja changu kilichopimwa kipo Kisemvule Njia PANDA ya KIBAMBA MSIKITINI Eneo ni sqm 1700 Price; Million 6. Hakina udalali. Huduma zote za kijamii zinapatikana. Kwa mawasiliano; Njoo PM
  19. Baflo

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa barabara na kukosa daraja Mto Mpiji kati ya Kibamba kibwegere na Lumumba kwa mazengo

    Barabara ya Maili moja(Loliondo) mpaka Lumumba kwa mazengo haipitiki na kizungumkuti. Kwa miaka mingi sasa barabara hii haipitiki licha ya kuongezeka sana kwa wananchi wanaotumia njia hii kwenda kufanya shuguli zao za kiuchumi..Ni bara bara yenye asili ya tope tupu la mfinyazi iwapo mvua...
  20. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Kibamba: Nyumba 3 Bdrm; Kiwanja 1,400sqm; Bei Mil 78. Beba - Dar

    • Direction: • Condition: • Structures: • Facilities: • Plot Terrain: • Plot Survey: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
Back
Top Bottom