uwezo wa kufikiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lavit

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili suala la El Nino ndiyo utagundua Watanzania wengi uwezo wa kufikiri uko chini sana!

    Kuna mambo yanaendelea humu mitandaoni mpaka unakaa unajiuliza Watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo hivi? Toka TMA wameanza kutoa updates kuhusu El nino wamekuwa wakikutana na kejeli za kila aina na nyingine kutoka humu humu Jf kwa watu wanajiita Great Thinkers! Ujue katika dunia ya sasa suala...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM inapunguza watu wenye uwezo wa kufikiri

    CCM inapambana kupunguza watu wanaofikiri kwa uhuru na kupalilia watu wenye uwezo finyu wa kufikiri. CCM inapangilia kwa ustadi kuongeza watu wasio na uwezo wa kufikiri. Hii ni hasara kwa watanzania.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wabongo Jengeni Tabia Ya Kusoma Vitabu Muongeze Maarifa, Maudhui na Uwezo wa Kufikiri

    Unaweza usiamini lakini fanya utafiti wako binafsi kimya kimya utagundua kwamba Wabongo wengi, hawana maarifa ya msingi, hawana maudhui ya kutosha na hawana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa kina hata kwenye masuala ya kawaida sana. Kunaweza kuwepo na sababu mbalimbali lakini mojawapo ni kukosa tabia...
  4. Chigurh

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa kufikiri bado mdogo sana katika nchi yetu

    Kwa maoni yangu, kutokana na watu mbali mbali nliokutana nao hapa bongo, naona kama uwezo wetu wa kufikiri kama nchi upo chini sana. Hivyo basi, hata ungesema ufute kazi watu wote wa idara nyeti na muhimu ili uajiri wale wenye uwezo na ujuzi zaidi, bado ungetukana na changamoto ya kwamba hatuna...
  5. technically

    JamiiForums Tanzania Je!! Huu ndio uwezo wa kufikiri wa Wana CCM wote?

    Huyu ni kiongozi wa mbio za mwenge eti anakagua ubora wa barabara kwa kutumia sururu!! Hivi hii takataka bado ipo ofisini? CCM Nani aliwaambia ukaguzi wa barabara ufanywa Kama hivi? Very sad !!
  6. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tofati ya Tanzania na Kenya katika Elimu, Mtindo wa Maisha, Siasa na Uwezo wa Kufikiri

    Katika kujadili tofauti kati ya Kenya na Tanzania, ni muhimu kuangazia masuala ya elimu na uwezo wa kufikiri. Kenya imejijengea sifa ya kuwa na mfumo mzuri wa elimu ambao unachochea ubunifu na fikra huru. Hii inawawezesha Wakenya kufikiri kwa kina na kuchukua hatua zinazoendana na maendeleo ya...
Back
Top Bottom