uoga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mahakama Kujikita Kwenye Kasoro za Kiufundi Katika Kutoa Maamuzi Yenye Tija kwa Taifa ni Ishara ya Udhaifu na Uoga Dhidi ya Serikali

    Pamoja na ukweli kwamba Ibara ya 107A(2)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaitaka Mahakama kutoa haki bila kujifunga na mambo ya kiufundi kiasi cha kushindwa kutoa haki,mambo kwa upande wa mahakama zetu ni tofauti kabisa hususan kwenye mashauri ambayo yanahusu kushitakiwa kwa...
  2. haszu

    Nina uoga wa radi (lighting) uliopitiliza. Kuna sababu ya kuwa na hali hii?

    Mimi ni mtu mzima na familia lakini naogopa sana radi, ikiwaka moja tu, basi natafuta pa kujificha. Ni aibu ni wapo na watoto ila ndio hivyo, je kuna sababu ya kuogopa radi nikiwa ndani?
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Fyandomo Awataka Wanawake Kuacha Uoga

    Mbunge Fyandomo Awataka Wanawake Kuacha Uoga MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Fyandomo amewataka wanawake kuwa mstari wa mbele kugombea nafasi zozote zinapojitokeza na wasisite wala kuogopa kwani wao ni jeshi kubwa na nguzo katika familia. Fyandomo amesema hayo wakati wa...
  4. Peter Dafi

    Dkt. Emmanuel Nchimbi: Mkiwaona CHADEMA wanaandamana mjue wameamua kutumia miguu kufikiri

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Nchimbi akizungumza na Wanachama na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaan Leo amesema. Mkiwaona CHADEMA wana Andamana Mjue wameamua kutumia Miguu Kufikiri Badala ya Akili/Ubongo. https://www.instagram.com/reel/C2UvdMwtYtD/?igsh=ZWNpZmN3OW8wdHJq
  5. Ritz

    Marekani, Israel wanashirikiana na ISIS kufanya ugaidi Iran. Huu ni uoga wa hali ya juu

    Wanaukumbi. BREAKING: ⚡ 🇮🇷ISIS sasa imedai Kuwajibika kwa Mlipuko wa Kujitoa mhanga jana kwenye Njia ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Qasem Soleimani nchini Iran. ISIS na Israeli tena wana adui sawa na huko Syria. Ajabu sana...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Kutoa Fomu moja ni Dalili ya uoga na kutokukubalika.

    Kwema Wakuu! Wanaoshauri timu moja itolewe wanajaribu kueleza na kumpa taarifa Rais kuwa hakubaliki. Au tuseme wanajaribu kumtisha Rais kuwa kwa hali ilivyo hakubaliki. Katika lugha za kisaikolojia mtu akisema kuwa, hakuna haja ya kuchapisha fomu nyingi za kuwania Urais au nafasi fulani. Hiyo...
  7. 4

    Msafara wa Makamu Mwenyekiti Chadema, Tundu Lissu wazuiliwa kuingia Ngorongoro

    Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro, Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka...
  8. MlekwaKik

    SoC03 Unafiki, uoga, ubinafsi, uongo na malezi yetu

    Kikwazo kikubwa cha uwajibikaji na utawala bora katika nchi yetu ni malezi anayopitia mtanzania wa kawaida, kuna namna ambavyo malezi yetu kuanzia shuleni hadi nyumbani yanatengeneza vijana waongo, wanafiki, wabinafsi na waoga. Maisha yetu kuanzia tukiwa watoto mpaka tunakuwa watu wazima ili uwe...
  9. R-K-O

    Maisha yanahitaji uwe karibu na watu na kujuana. Tabia za kuogopa kuchangamana na kujitenga tenga zinachangia sana umasikini

    Na si mara ya kwanza unaskia mtu anasema mimi sitaki mazoea na watu. Mimi sitaki marafiki. Mtoto wangu ni geti kali, sitaki hata marafiki zake waje. Niseme tu ya kwamba tabia hizi huwa zinachangia sana umasikini, Ni nani asiejua kwamba binadamu hawaaminiki ? lakini jibu ni kuwakwepa ? NO...
  10. hermanthegreat

    Uoga wa Watanzania ndio chanzo cha amani Tanzania

    Hello JF members, Kwa muda mchache nilioishi hapa Tanzania nimebaini tabia ya Watanzania tofauti na wengine. Uzoefu huu umenifanya nibaini Watanzania 99% ni waoga na wenye mioyo safi na hii ndio sababu kwanini Tanzania Ina amani 👉Tazama ishu ya bandari, mtanzania yupo tayari kusifia tu...
  11. kali linux

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Hello bosses and roses.... "Security by obscurity" is for cowards, kwa sababu inaprove kwamba kuna loopholes nyingi na rahisi kupatikana kwenye hio system endapo nitajua au kuweza kufikia ulichokificha. Nikiwa nafanya security audit yoyote ile nikagundua developer ametumia sana 'secrecy' kwenye...
  12. Kibosho1

    Kwa sasa Nchi imechangamka, watu wanafunguka bila uoga. Hongera Rais Samia

    Kwa kweli tusipompongeza mama kwa utawala wake tutakuwa hatuna shukrani, tumeishi na utawala uliopita tukaona wafanyabiashara na matajiri walikua maadui, wakabinywa wakashindwa kufanya miradi ya maendeleo. Wakashindwa hata kujenga nyumba zao. Kwa Samia kuna uhuru na njia kibao za kupiga, akili...
  13. kocha Nabi

    Yanga kutocheza fainali usiku ni uoga wa wasimamizi wa uwanja ama ni tamko kutoka CAF?

    Naona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. Maana huu muda sijawahi kuupenda katika maisha yangu. Wangeweka hata saa 12:00 jioni.
  14. GANA BANKS

    Ni uoga au tatizo nini?

    Habari za wakati huu wana JF, Samahani nitaenda haraka kidogo na kwa ufupi. Niko Mubashara muda huu hapa kupitia TBC1 kuna mkutano wa hadhara unafanyaka jijini dar es saalam,kati ya Wafanyabishara na Mhe.Waziri mkuu Kassimu Majaliwa. Niende kwenye hoja,hoja yangu ni mpka saaa nimemsikilia...
  15. Wadiz

    Tuwe wakweli, tatizo sugu la Watanzania ni Uoga, siyo Unafiki. Hayati Membe hakuwa muoga

    Hello JF crew! 👇👇👇 Kipekee naomba niweke bayana tatizo mojawapo kuu na sugu la watanzania ni UOGA sio Unafiki-, ifahamike ya kwamba kichuguu cha UOGA ndicho hubeba unafiki, uongo, kutojiamini na matakataka yote. Ndugu Hayati Membe alikuwa jasiri, mzalendo, na mfia nchi na mpigania taifa, kuna...
  16. Intelligent businessman

    Usiogope kupambania malengo yako, kisa uoga wa kutofanikiwa

    Sasa nisikilize! Leo nitawaambia mambo kadhaa ambayo naamini yanaweza kukufanya ufahamu ni kwa namna gani kuna watu wanatake risk kwenye mabiashara yao makubwa, wewe si unaogopa! Basi poa. Kwenye hii dunia mpaka sasa hivi hakuna mtu anayejua kutengeneza kiki kama Kanye West! Hapa kuna watu hata...
  17. Chawa wa lumumbashi

    Kusoma sana ni uoga wa maisha na umburula pia

    Nashangazwa na hii mijitu kutwa kuzurura kwenye korido za vyuo vikuu yaani nawaona mburula balaa but mbaya zaidi wakimaliza kutwa kuzunguka na baada bahasha la kaki kutafuta employment au wengine wanajiendeleza na kusoma eti kisa kuongeza laki 200000 tu kwenye mshahara wake! Huo ni ulofa na...
  18. Intelligent businessman

    Usiogope kupambania malengo yako, kisa uoga wa kutofanikiwa

    Sasa nisikilize! Leo nitawaambia mambo kadhaa ambayo naamini yanaweza kukufanya ufahamu ni kwa namna gani kuna watu wanatake risk kwenye mabiashara yao makubwa, wewe si unaogopa! Basi poa. Kwenye hii dunia mpaka sasa hivi hakuna mtu anayejua kutengeneza kiki kama Kanye West! Hapa kuna watu hata...
  19. D

    Ni vitu gani ambavyo huvipi kipaumbele zaidi unapozidi kuzeeka?

    Top 2 zangu ni: (1) SEX - Hii bado ina matter ila kidogo sana sio kama zamani nadhani ni kwasababu ya ubusy na kufocus zaidi kwenye majukumu ya kutafuta kipato. Kama unavoelewa too much sex huwa ina madhara hasa kwetu wanaume coz ina-drain nguvu ya mwili na akili hivyo najaribu pia kuepuka sana...
  20. Phobia

    Nina hofu na uoga! Kwa hii age yangu si ninaweza kuzeeka hivi hivi bila mke au kids? Niko overwhelmed

    Ama hakika hii dunia ili upate peace of mind unapaswa uwe na mke angalau mambo au akili yako inaweza kutulia ila ajabu kwa mimi huu umri mpaka sasa sina mke wala watoto nipo nipo tu, kazi kuwakula madada poa tu mpaka nimechoka naona wanaongeza nuksi tu maishani. Niko na age 27 ila mpaka sasa...
Back
Top Bottom