tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni upi hasa mchango wa vyama vya vya siasa hususani vya upinzani katika ustawi wa demokrasia, utawala wa sheria na utawala bora Tanzania?

    Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania, kumekuwepo na mageuzi na mabadiliko mengi sana makubwa ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa. Kama mdau wa muhimu na wa heshima sana wa JF, unadhani ni upi mchango wa vyama vya siasa vya upinzani katika...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kilimo: Tanzania Yalenga Kuwa Ghala la Afrika Mashariki

    Tanzania inaendelea kuimarisha sekta ya kilimo kwa kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara, ikiwemo mbaazi, pamoja na kuendeleza ufugaji wa nyuki na matumizi ya Akili Mnemba (AI) katika kilimo. Hatua hizi zinalenga kuongeza tija kwa wakulima, kuboresha upatikanaji wa masoko, kuongeza...
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya semeni ukweli sasa! Tanzania inawasaidia sana; Tanzania yaipiku Saudi Arabia kwa Wakenya nchini Tanzania wakituma KSh1.5 Bilioni nyumbani

    Tanzania imeipiku Saudi Arabia kwa mara ya kwanza kama chanzo cha fedha zinazotumwa Kenya na diaspora, huku Wakenya wanaoishi na kufanya kazi Tanzania wakituma nyumbani shilingi bilioni 1.52 (pesa za Kenya) kwa mwezi Agosti 2026 tu. Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu ya Kenya(CBK), Wakenya...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗠𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝗫 𝗸𝘂𝗸𝘂𝗷𝘂𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗶𝗸𝗶𝘄𝗮 𝗦𝗲𝗿𝗶𝗸𝗮𝗹𝗶 𝘆𝗮 𝗻𝗰𝗵𝗶 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗶𝗺𝗲𝗶𝗻𝗴𝗶𝗹𝗶𝗮 𝗣𝗼𝘀𝘁𝗶 𝘇𝗮𝗸𝗼 🫡

    Ulishawahi kujiuliza kwa nini post yako X imezuiwa au reach yake imeshuka ghafla na kuwa ndogo? 🤔 Mtandao wa X sasa imeongeza Mfumo wa uwazi kupitia feature inaitwa “Under the Hood” ambapo mtumiaji anaweza kupata taarifa ikiwa serikali ya nchi yake 🇹🇿 au nchi fulani imeilazimisha X kuzuia au...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani vyama vya upinzani Tanzania vinakosa nini hasa hata kutegemea na kuvizia matukio ili kua relevant katika medani ya kisiasa?

    Je, ni kwasababu Tanzania hakuna changamoto kubwa sasa ambazo zinaweza kua agenda kuu kwa vyama vya siasa hasa vya upinzani kuzisimamia? Au ni uwezo mdogo wa viongozi wa upinzani katika kupanga, kubuni na kuibua mipango na agenda zenye mashiko ili kuwafanya kua relevant all the time kwenye...
  6. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Kutajwa kwa JWTZ kwenye Mzozo wa Mashariki mwa DRC – Je, Diplomasia yetu ya Kiulinzi inaiweka Tanzania kwenye Mtego wa Kijiografia?

    Nikiwa ninapitia mtandao wa X (zamani Twitter), nimekumbana na chapisho (tweet) la mwandishi wa habari Steve Wembi lililoniacha na maswali mengi sana kuliko majibu. Kama kuna jambo linalotakiwa kufuatiliwa kwa jicho la ziada na wadau wa usalama wa taifa na sera za kigeni hivi sasa, ni mtiririko...
  7. B

    JamiiForums Tanzania UNGA 81: Masuala muhimu ambayo ujumbe wa kiongozi wa Tanzania na wenzie wa dunia watashughulikia katika Mkutano Mkuu wa UN 2026

    21 September 2026 Makao Makuu UN New York UNGA 81: Masuala muhimu ambayo ujumbe wa kiongozi wa Tanzania na viongozi wa dunia watashughulikia katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa 2026 Umakini wa dunia utaelekezwa New York wiki hii huku marais, mawaziri wakuu, wanadiplomasia na maafisa...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tanzania Women Research Foundation (TAWREF)Kuna ujumbevwenu hapa Jf.

    https://www.facebook.com/share/v/1DTR3iiNSL/
  9. Etwege

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu Tanzania wafumuliwa.

    MABADILIKO MAPYA YA MITAALA YA ELIMU SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI NA VYUO 2025 MABORESHO YA MITAALA AMBAYO YANAENDA KUBADILISHA MFUMO WETU WA ELIMU: 1. Mtihani wa darasa la Saba utafutwa ifikapo 2027. 2. Mwanafunzi akianza darasa la kwanza lazima amalize Kidato cha nne. Hii itaitwa Elimu ya...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CMAG Yamfariji Rais Samia, Yapigia Debe Ushirikiano Tanzania

    Jumuiya ya Madola kupitia Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) imetuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Amir Hassan. Katika kikao chake cha 74 kilichofanyika New York, CMAG ilifanya dakika moja ya...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania A significant diplomatic development for Tanzania. 🇹🇿

    The latest Commonwealth CMAG statement recognises Tanzania’s productive engagement, cooperation with the Secretary General’s Special Envoy, progress in key areas, political-party engagement and reconciliation efforts in Zanzibar. CMAG has opted for continued dialogue and engagement an important...
  12. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Madola yaendelea kuibana Tanzania yataka hatua zaidi

    Kundi la Mawaziri wa Jumuiya ya Madola la Kuchukua Hatua (CMAG) limeamua kuendelea kuiweka Tanzania kwenye Ajenda Rasmi (Formal Agenda) ya kundi hilo, huku likitaka Serikali kuchukua hatua zaidi katika kuimarisha maridhiano, uhuru wa kiraia na kisiasa pamoja na uwajibikaji. Uamuzi huo umetolewa...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche. Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Afrika hakuna nchi vyama vya upinzani vimeleta nafuu kwa wananchi vikifika Ikulu

    Huwa nafuatilia sana siasa za dunia na Afrika. Afrika yote ni kama vile inaongozwa na Rais mmoja, bunge moja, mahakama moja na baraza la mawaziri moja. Hali yetu inafananafanana kwa kila kitu. kiuchumi, siasa, na huduma za jamii. Huduma na maendeleo yetu yako chini relatively kulinganisha na...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hongera Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, ndugu Alhaj Adam Omari Kimbisa kwa kuzifanya wilaya zote za mkoa wa Dodoma kua ngome kuu za CCM Tanzania

    Kwa hakika unafanya kazi nzuri na kubwa sana kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dodoma. Asante kwa kazi kubwa na nzuri unazofanya katika kuuheshimisha mkoa wa Dodoma na makao makuu ya nchi. Katika mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa mwaka jana, wakati wa kuteu na kuthibitisha jina la...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa huduma za afya kati ya China na Tanzania wawaletea wagonjwa uchunguzi unaotumia akili bandia

    Katika chumba cha exray katika Hospitali ya Lumumba Unguja, Zanzibar, mabadiliko ya kiteknolojia yanabadilisha namna madaktari wanavyochunguza magonjwa, kufanya maamuzi, na kuokoa maisha. Katika kisiwa hicho, mifumo ya akili bandia (AI) inawasaidia madaktari kutafsiri picha za exray, huku...
  17. Sweet16

    JamiiForums Tanzania Nandy the African princess mwanamuziki wa kike Tanzania anayeweza kuimba live akaeleweka

    nampa maua yake bila tone la wivu wala kijiba cha roho, huyu binti (mdada) kiukweli anaimba vizuri kiasi chake na ana nyimbo za kuimba kwenye events watu wakaburudika. Na shape kaichonga imeikala bien 😝 Kikubwa kaimba vizuri kwenye miss universe grand finale
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hali ya ulinzi na usalama Tanzania ni nzuri na ya uhakika zaidi kuliko nchini nyingine yoyote katika eneo la maziwa makuu.

    Na ndio maana kila uchwao, idadi ya watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka ukilinganisha na nchi zingine za maziwa makuu, ambazo shughuli za utalii na uwekezaji zimezorota sana kutokana na kudorora kwa usalama. Lakini pia uhakika wa usalama...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Amani, utulivu na usalama wa uhakika Tanzania ndio kichocheo na kivutio kikuu cha utalii, biashara na uwekezaji wote mkubwa unaoendelea nchini.

    Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Simba 10 wauawa Ngorongoro, yadaiwa ni kisasi baada ya Simba kuwala punda wawili wa wafugaji

    Taarifa za awali kutoka eneo la Ndutu, Kata ya Endulen, Wilaya ya Ngorongoro, zinaeleza kuwa leo Septemba 19, 2026, simba wapatao 10 wameuawa katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kisasi baada ya simba hao kuwala punda wawili wa wafugaji katika eneo hilo. Taarifa zinaonesha kwamba awali simba...
Back
Top Bottom