bodaboda

 1. Petro E. Mselewa

  Punguzo la faini kwa bodaboda na bajaji: Serikali imejiridhisha kuwa halitaongeza vurugu na ajali barabarani?

  Mwanzo mwanzoni nikiri kuwa nimefuatilia na bado naendelea kuchambua Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Kuna jambo, lakini, nimeliona kwa haraka. Ni kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa adhabu kwa makosa ya barabarani kwa waendesha pikipiki almaarufu kama bodaboda na bajaji...
 2. W

  Sijawahi kuona trafiki akimpiga faini bodaboda, Serikali ifute kabisa hii faini

  Ndugu zangu, Nimekuwa nikipita barabarani ukweli ni kwamba ni ngumu sana trafiki kukamata bodaboda. Mara nyingi nimeona wanaokamatwa na trafiki ni waendesha magari sio waendesha bodaboda. Hata kwa hii faini ya elfu kumi sioni trafiki wakikusanya wala bodaboda wakilipa. Hesabu ya bodaboda kwa...
 3. JF Member

  BodaBoda wamepunguziwa adhabu ya Trafiki, wanakutana nayo kwenye LUKU

  Nimesikitika kidogo hapa. Naamini wabunge watatupambania. Kama LUKU zitakuwa na Kodi ya Majengo basi ghalama za Maisha zitapanda mara dufu. Kinyozi lazima apandishe bei, wauza vinywa vya baridi, Wachomelea vyuma n.k. Kubwa ni pale ambapo LUKU emebebeshwa zigo la Kodi ya Nyumba. Kuanzia mpangaji...
 4. GENTAMYCINE

  Aliyeishuhudia ajali iliyoua dereva bodaboda Goba saa 1 usiku (8-6-2021), tufahamishe ilivyokuwa

  Kwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia (natoka Baru) eneo la Tukio kwa Kiwewe na kwenda 'Kuisikilizia' Ajali kwa mbali. Najua (Huenda) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine...
 5. Roving Journalist

  Dar: Msanii Nay wa Mitego amepata ajali ya bodaboda

  Msanii Emmanuel Eribariki Munis (Nay wa Mitego), amepata ajali ya bodaboda wakati anawahi kwenye Interview. Kwa sasa msanii huyo yupo katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni akipatiwa matibabu na hali yake bado haiko vizuri. Inaelezwa alipanda bodaboda ili kuwahi kipindi baada kukwama kwenye...
 6. snochet

  Wazo: Biashara ya usimamizi wa magari ( daladala, bajaj, bodaboda )

  Kikwazo kikubwa kinachoathiri biashara ya Daladala leo ni njia na usimamizi wa haya magari. Hii inajumuisha wasimamizi yaani TRA & trafiki, Bima etc. Biashara ya Daladala imekuwa moja ya uwekezaji hatari zaidi hadi sasa kutokana na wamiliki kushindwa kushika mambo yote,tena ukizingatia wengi...
 7. D

  Yatokanayo na usafiri wa bodaboda

  Yatokanayo na bodaboda; Ukipanda boda boda unakuwa sehemu ya pikipiki kama mzigo Ukibebwa na mwendesha pikipiki mwenye mawenge nawewe unasomeka waruwaru mkipita wote mnaonekana pipa na mfuniko. Ukibebwa na mwendesha pikipiki mfupi kwenye utelezi au mchanga jiandae kuagushwa Endapo mtakutana na...
 8. Analogia Malenga

  Wizi wa bodaboda watikisa Kilimanjaro

  Wizi wa pikipiki zinazosafirishwa kwenda kuuzwa nchi jirani umeutikisa Mkoa wa Kilimanjaro. Wizi huo umekithiri zaidi katika wilaya za Moshi na Rombo pamoja na Mji wa Mirerani. Chama cha Wamiliki na Waendesha Bajaji Mkoa wa Kilimanjaro (CWBK) kinakadiria wastani wa pikipiki 100 huibwa kila...
 9. Kaluluma

  Naomba pikipiki kwa ajili ya bodaboda Dodoma

  Habari za leo wakuu,kijana wenu naomba yeyote mwenye pikipiki kwa ajili ya bodaboda anipatie nimfanyie kazi kama dereva wake kwa hesabu tutakayokubaliana kwa uaminifu mkubwa kabisa. Au kama kuna ambaye anafahamu wapi nitapata mkopo wa pikipiki unaolipiwa either kwa kila wiki au mwezi kwa...
 10. The Eye

  Mauaji ya Bodaboda Kongwa

  Kumekuwa na wimbi la wizi wa pikipiki na hata mauaji kwa vijana wanaofanya kazi ya kusafirisha abiria kwa pikipiki wilayani Kongwa-Dodoma. Wiki tatu zilizopita Kijana mmoja aliyekuwa akifanya kazi hiyo Kongwa mjini alipotea kwa kipindi cha wiki mbili na baadae kukutwa akiwa amefariki na mwili...
 11. Marilyn vos Savant

  Vijana wa Kiume badilikeni

  Habari za jumapili wana Jamii Forum Leo naomba nizungumze kidogo na hawa wenzetu upande wa Kiume mana miaka ijayo kuna hatari ya kupoteza nguvu kazi Siku izi ni kawaida kabisa kukuta mdada anauza matunda, anatembeza mtumba, anachoma mandazi ubuyu na juice na mengine mengi ya kuingiza kipato...
 12. King snr

  Ni pikipiki gani nzuri kwa bodaboda?

  Habari zenu wakuu, Naomba kujua pikipiki nzuri kwa ajili ya boda boda nahitaji kununua pikipiki used nijaribu biashara ya bodaboda
 13. Krav Maga

  Kama Wabunge wana Magari yao ya 'Kifahari' unadhani ni kwanini hupenda Kutumia 'Bodaboda' na 'Bajaji' tena Nyakati za Usiku tu wakiwa Dodoma?

  Hatimaye Spika Ndugai Uvumilivu umemshinda na kaamua Kuwaonya Wabunge wanaopenda Kupanda 'Bodaboda' na 'Bajaji' wakati wana Magari yao tena ya 'Kifahari' kabisa kuwa yakiwakuta ya kuwakuta Wasilaumu. Chanzo: Daily News Ukurasa wa Pili Na nyie Wabunge ifike muda mjitathmini hivi Magari yenu...
 14. Jon Stephano

  Nawachukia sana waendesha bodaboda

  Yeereeeeeh, Tulisifika sana enzi zetu sisi mashamba boy, Houseboy na Wabeba zege. Mara ghafla miendesha bodaboda ikaja na kuchukua heshima na hadhi yetu ya kuridhisha wasioridhishwa. Siku, miaka na maisha yanaenda kasi sana.
 15. The Boss

  Mkeo ana bodaboda wake?

  Ukisikia mama au dada anakwambia ngoja nitamtuma 'bodaboda wangu' basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake kweli kweli. Ninamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM. Kuna mmoja aliniletea bidhaa nikatakiwa nimrushie zaidi ya 300,000, nikamwambia makato upande wako...
 16. Regent

  Bodaboda ya mkataba faida inapatikanaje?

  Wadau naomba kuuliza anayechukua bodaboda ya mkataba ili kumpelekea kilasiku hesabu Boss 10,000 anaweza kuingiza Tzs ngapi kwasiku akifosi kwelikweli, sehemu ya kazi mtoni kijichi.
 17. kavulata

  Ipo siku ambayo vijana watakuja kugundua kuwa bodaboda zinawaumiza na kudai kupewa Kazi nyingine salama

  Utafiti mdogo niliofanya kuhusu ukosefu was nguvu za kiume miongoni mwa vijana unaonyesha kuwa vijana wanaofanyakazi ya bodaboda wanakabiliwa na upungufu was nguvu za kiume kwenye umri mdogo. Na tatizo ni kubwa kwa wale wanaobeba mishikaki (abiria zaidi ya mmoja) na mizigo mikubwa, kwakuwa...
 18. Elisha Sarikiel

  Kwa Askofu Kakobe - Baada ya kufunga ndoa, maharusi wapanda daladala na pikipiki kwenda makwao

  Ilikuwa siku ya Ijumaa 19.2.2021, ni siku nyingine ya kukumbukwa, katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Dar-Es-Salaam, lililoko Barabara ya Sam Nujoma; pale ambapo jumla ya wahusika 84 waliposhiriki katika kufungwa kwa Ndoa 21, zilizofungwa kwa pamoja katika Ibada ya Ndoa...
 19. Requal

  Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

  Habari za jioni wakuu Nimeona taarifa za msiba za huyu mheshimiwa naibu Waziri wa zamani na sababu ya kifo chake imeelezwa ni ajali.. Binafsi sijawahi hata kuona picha wala hababri kuhusu hii ajali yake inayotajwa kuondoa uhai wake, hii ni ajali kweli au ni futa linatumaliza huku tukificha...
 20. Mlenge

  Kiwanda cha Bodaboda

  Kiwanda cha Bodaboda Ikiwa kichwa cha habari kimekufanya uwaze mitambo ya kutengeneza pikipiki, karibu kwenye mada. Mada hii si kuhusu mitambo ya kutengeza pikipiki (factory). Mada hii inahusu watoa huduma za usafiri wa bodaboda. Mafundi wa pikipiki za bodaboda. Watumia huduma za bodaboda. Na...
Top Bottom