trilioni 2.4

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Serikali yaifutia TANESCO deni la Tsh. Trilioni 2.4

    Kwa kuwa bei ya umeme haiendani na uhalisia wa mauzo, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema halipati mtiririko mzuri wa mapato, hivyo kushindwa kulipa madeni yake ya muda mfupi, hali inayowakimbiza wawekezaji. Hali hii inatokana na ukweli kwamba mara nyingi, Serikali huwa inakopa kisha...
  2. Rashda Zunde

    Kwani IMF imetoa trilioni 2.4 kwa Tanzania ?

    Jibu ni wazi kabisa wkamba, kutokana na kutambua rekodi ya Tanzania katika utekelezaji wa mageuzi na pia utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu ambapo fedha hizo zitatumika katika kutekeleza miradi ya maendeleo pamoja na kuleta nafuu kwenye mfumuko wa bei kwa kushusha bei ya mafuta na uchumi...
  3. wanzagitalewa

    Watanzania watakavyonufaika na mkopo wa TZS trilioni 2.4 kutoka IMF

    Kabla sijaanza kueleza ni kwa namna gani Watanzania watanufaika na mkopo wa shilingi trilioni 2.4 kutoka Shirika la Fedha Duniani, kwanza ifahamike kwamba hakuna nchi duniani ambayo haikopi, nchi zinatofautiana kiwango na sababu za kukopa. Baada ya hilo, nielekeza kwamba mkopo ambao Tanzania...
  4. M

    Kwanini mkopo wa IMF kwa TZ wa Trilioni 2.4 umebadilishiwa sababu?

    Mwanzoni tuliambiwa ni kwa ajili ya kuondokana na athari za covid 19, na sasa tunaambiwa ni kwa ajili ya kuondokana na athari za vita ya urusi na ukraine! Tanzania has reached an agreement with International Monetary Fund (IMF) in a medium term program to secure Sh2.4 trillion, the lender has...
  5. beth

    IMF yaidhinishia Tanzania mkopo wa Trilioni 2.4

    Bodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia Mkopo wa Dola za Marekani Bilioni 1.046 (Takriban Tsh. 2,422,536,000,000) kwa Tanzania katika kipindi cha miezi 40 kusaidia kukabiliana na athari za vita ya Urusi na Ukraine. Kiasi cha Dola za Marekani Milioni 151.7 kitatolewa mara moja. Taarifa...
  6. Mpwayungu Village

    Serikali irudishe pesa za IMF trilioni 2.4, ni nyingi sana - zote hizi za nini?

    Wataalam mtanipa elimu kidogo kama nipo tofauti. Hivi hii mikataba ya kuingia mkopo na mabenki makubwa ni nani anaepitisha? Je, ni kweli bunge tulilonalo linaridhia hivi vitu? Mimi naona hapana vinginevyo hili Bunge Letu litakuwa limelogwa. Hii mikopo mikubwa mikubwa mbona inakuja kwa mlipuko...
Back
Top Bottom