nembo

184ª Divisione paracadutisti "Nembo", literally the 184th Parachutists' Division "Nembo", but also known in English as the 184th Paratroopers' Division "Nembo" was an airborne division of the Italian Army during World War II. The division was often known simply as la "Nembo" (The "Nembo").
The "Nembo" Division was formed in December 1942 from the 185th Parachutists' Regiment (which has been detached from the 185ª Divisione Paracadutisti Folgore. To the 185th were added the 183rd and 184th Parachutists' Regiments.
While fighting Allied forces in North Africa, the 183rd Regiment was destroyed. The 185th Regiment was sent to fight Yugoslav partisans, and afterwards fought against the Allied landings in Sicily. It also fought on the mainland after being evacuated from Sicily. The rest of the division was sent to Sardinia in June 1943.After Italy came to terms with the Allies and formation of the Allied-aligned Italian Co-belligerent Army, the main part of the "Nembo" continued to fight on the Axis side as part of the National Republican Army. Following the collapse of the rump fascist state, former members of the "Nembo" became the basis of the 4th Fallschirmjäger Division.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Taasisi za Umma zinatangaza mashindano/kazi ya ubunifu wa nembo zao mpya kwa wabunifu halafu wanapotelea mitini na hawabadili

    Mfano mwaka 2017 Jumuiya ya Afrika Mashariki ilitangaza shindano la Ubunifu wa Nembo yake mpya kwa wabunifu mbalimbali, wa vyuoni na wa mtaani, walitangaza mshindi atapatikana mwaka unaofuata, lakini mpaka leo 2024 hawajabadilisha. Taasisi nyingine ni TPDC na TARURA
  2. Trainee

    Makosa makubwa; Nembo ya Taifa imebadilishwa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shule ya Msingi

    Nikisema imekosewa siyo kweli ujue kukosea ni kwa bahati mbaya lakini hiki kilichofanywa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shuleni inaonekana kimekusudiwa kabisa na ndiyo maana nimesema wamebadilisha siyo wamekosea! Hiyo nembo nimeangalia nimeona ina makosa matatu pale kwenye bendera ya taifa...
  3. K

    Wizara ya Afya angalieni namna ya kuboresha kondomu zenye nembo ya (ZANA)

    Nisiwe muongeaji sana. Wizara ya afya angalieni namna ya kuboresha kondomu mlizoingia nazo ubia na makampuni ya uzalishaji wa kifaa tiba hiki muhimu hasa kwa sisi vijana. Kuna kondomu aina ya ZANA zinazosambazwa na serikali kupitia wizara ya afya kiukweli zile ndomu hazina ubora wowote kiufupi...
  4. B

    Ghorofa refu Tanzania litakuwa hili la TRA DSM, nembo ya jiji

    Msanifu wa majengo Arch. Yassin Mringo kutoka kampuni ya Y&P Architect aeleza kwa undani kuhusu jengo tarajiwa. https://m.youtube.com/watch?v=szHwN2oBSbo Kampuni ya Y&P Architects (T) Ltd ni ya kitanzania na inaongozwa wa wakurugenzi wawili watanzania. Muonekano wa jiji la Dar es Salaam...
  5. SAYVILLE

    Kwanini Simba ilisitisha kuvaa nembo ya "Visit Rwanda" kwenye African Football League?

    Watanzania tuna hulka ya kupuuzia mambo ya msingi na kuna katabia kalijengwa na kameota mizizi ambapo ukihoji ukagusa maslahi ya watu fulani wanajaribu kukunyamazisha unaambiwa "acha ujuaji". Matokeo yake watu wanaogopa kuuliza maswali ya msingi na makosa yanajirudia kama siyo matatizo kuwa...
  6. Suley2019

    SI KWELI Bibi na Bwana wameondolewa katika nembo ya taifa inayotumika kwenye Podium ya Rais Samia

    Salaaam Wakuu, Nimeona katika sehemu mbalimbali picha zikisambaa zikionesha nembo inayotumika kwenye Podium ya Rais Samia haina bibi na bwana kama ambayo alikuwa anaitumia Rais Magufuli. Hili limekaaje Wakuu tunaomba ufafanuzi. Nembo anayotumia Rais Samia ikiwa haina Bibi na Bwana Nembo...
  7. Dalton elijah

    Je serikali imebadili nembo ya taifa kimyakimya bila kufuata utaratibu wa Kikatiba na kisheria?

    Na Yericko Nyerere Rais wetu Samia anatumia hii nembo ya taifa gani katika nchi ya TANZANIA? Je watu wanaelewa kweli hatari ya jambo hili? Nani katwaa Urais wa Rais Samia? Tunamtaka aliye twaa Urais wa Samia aurejeshe haraka sana! Kwamjibu wa Sheria ya Nembo ya Taifa ya Mwaka 1971 na Katiba...
  8. benzemah

    Usahihi Kuhusu Nembo Anayotumia Rais Samia Suluhu

    Je ngao/nembo ya Taifa imebadilishwa? Ni moja kati ya maswali ambayo yanaulizwa sana na wadau wengi wakitaka kufahamu kuhusu nembo inayoonekana kwenye mimbari (podium) ya Rais wa Jamhuri ya Muungano katika siku za karibuni Kimsingi ile si ngao ya taifa bali ni alama ya bendera ya Rais au kwa...
  9. Yericko Nyerere

    UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?

    Je Serikali imebadili nembo ya taifa kimyakimya bila kufuata utaratibu wa Kikatiba na kisheria? Rais wetu Samia anatumia hii nembo ya taifa gani katika nchi ya TANZANIA? Je, watu wanaelewa kweli hatari ya jambo hili? Nani katwaa Urais wa Rais Samia? Tunamtaka aliyetwaa Urais wa Samia aurejeshe...
  10. K

    Hili la Nembo ya Tanzania kubadilishwa limenishtua sana

    Ghafla tumeona Rais Samia akiwa amesimama kwenye Podium yenye nembo ya Tanzania iliyobadilishwa kwa kuondolewa watu wawili wanaoishikilia kimyakimya bila kufuata taratibu za Kikatiba na kisheria? Hiyo anayoitumia Rais wetu Samia hivi ni nembo ya taifa gani? Tumefikia huku kweli? Iko siku...
  11. Mtu Asiyejulikana

    Kuna mabadiliko gani katika Nembo ya Taifa? Yana athari au maana gani Kitaifa? Samia anataka kutuambia nini hapa

    Ukiangalia utaona bibi na bwana wameondolewa kwenye podium ambayo amesimama Samia tofauti na ile ambayo amesimama Magufuli. Je kuna mabadiliko yamefanyika? Au kuna ujumbe gani hapa unatolewa?
  12. Stuxnet

    Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

    Wadau naomba msaada kwenye hii picha hapa. Mbona simuoni Bibi & Bwana? Pia soma > UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?
  13. winnerian

    Ni wakati sahihi sasa wa kubadili nembo ya Taifa. Ina vitu haramu katika nchi yetu

    Kwenye nembo ya Taifa kuna pembe za ndovu (pembe za tembo). Kwa wakati huo inatengenezwa nahisi au nadhani biashara ya pembe za ndovu ilikuwa halali ila kwa zama hizi ni haramu ikiwa inamaana haifai tena kuendelea kukaa kwenye nembo ya taifa letu.
  14. William Mshumbusi

    Kumbe vunja Bei kapigwa kitu kizito mno. Nimeona igenda amevaa jezi mpya ya Simba ikiwa na nembo ya VB akijitambulisha lkn inazibwazibwa

    Nimemuona huyo jamaa mkenya uko Simba app akiongea kavaa Uzi mpya juu ya nembo ya mo xtrer Kuna nembo ya VB inapaushwa kwenye video editing ili isisomeke. Kweli VB alifanya kosa kubwa kutoweka nembo za mo kwenye Uzi wa Simba wa kimataifa hata msahau Muhamedi Kamwe.
  15. Akilindogosana

    Rekebisheni nembo ya Taifa

    Wakuu siku za karibuni nimeona kuna kukosewa kwa nembo ya "bibi na bwana" ile niliyoisoma kwenye maarifa ya jamii. Au labda siku hizi imebadilishwa? Hii ndio inayotambulika Hapa ikitumika Je hizi ni zipi? Au imebadilishwa? Angalia zaidi "bibi na bwana" 👆🏾👆🏾 hiyo kwenye jukwaa ni ipi...
  16. USSR

    Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku matumizi ya nembo ya upinde wa mvua (Rainbow) mashuleni

    Taratibu tutaelewana? Hapa ITV wana report kuwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku rangi za upinde wa mvua visiwani humo kwenye shule zote za msingi, secondary na vyuo, maeneo ya uwazi, ili kulinda kizazi dhidi ya mashoga na wasagaji. Pia wamezuia kuagiza vitabu vyovyote kutoka...
  17. 2019

    Al- Nahdhwa English Medium | Pre&Primary school: nembo yenu ya LGBTQ inadhalilisha shule hii

    Waislamu siwapangii lakini kutokana na maana mbaya ya rangi hizi ni bora tu mbadilishe hii nembo, mnatafsiriwa vibaya sana. Kibaya zaidi ni shule ya kidini bora ingekuwa ya kidunia. Soma pia 👉👉Mamlaka za Saudi Arabia zapiga marufuki bidhaa zote zenye upinde wa mvua ikiwemo nguo na Midoli
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini Tanzania tuliamua kumtumia twiga mnyama legelege kwenye nembo ya taifa?

    Twiga ni mnyama legelege, mzuri anayevutia lakini hafaidiki na uzuri wake. Mrefu, anaona mbali na anaishia kuona tu. Kwa kweli utambulisho wowote unaoamua ukutambulishe utabeba taswira na tabia yako. Tanzania ni taifa ambalo ni legelege, haliko aggressive kwa lolote. Watu wake ni masikini...
  19. maroon7

    Nembo ya Tanzanite iliyowekwa darajani ni ya mabati?

    Nimepita mara kadhaa kwa mbali na kwa karibu ila hii nembo mpya ya madini ya Tanzanite iliyowekwa mbona sivyo nilivyotegemea kabisa. Nilijua itatengenezwa hata kwa yale madini ya kioo flani ili jua likipiga hata inareflect au kushine kidogo ila badala yake iko so dull hadi nikajiuliza huenda...
Back
Top Bottom