Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Kwa hakika unafanya kazi nzuri na kubwa sana kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dodoma.
Asante kwa kazi kubwa na nzuri unazofanya katika kuuheshimisha mkoa wa Dodoma na makao makuu ya nchi. Katika mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa mwaka jana, wakati wa kuteu na kuthibitisha jina la...
Katika chumba cha exray katika Hospitali ya Lumumba Unguja, Zanzibar, mabadiliko ya kiteknolojia yanabadilisha namna madaktari wanavyochunguza magonjwa, kufanya maamuzi, na kuokoa maisha.
Katika kisiwa hicho, mifumo ya akili bandia (AI) inawasaidia madaktari kutafsiri picha za exray, huku...
nampa maua yake bila tone la wivu wala kijiba cha roho, huyu binti (mdada) kiukweli anaimba vizuri kiasi chake na ana nyimbo za kuimba kwenye events watu wakaburudika.
Na shape kaichonga imeikala bien 😝
Kikubwa kaimba vizuri kwenye miss universe grand finale
Na ndio maana kila uchwao, idadi ya watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka ukilinganisha na nchi zingine za maziwa makuu, ambazo shughuli za utalii na uwekezaji zimezorota sana kutokana na kudorora kwa usalama.
Lakini pia uhakika wa usalama...
Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
amani
amani na usalama
biashara
biashara na uwekezaji
chadema
kaskazini
kikuu
kivutio
kurejea
mikono
mkubwa
mtuhumiwa
nchini
tamaa
tanzania
uhaini
uhakika
usalama
utalii
utawala
utulivu
uwekezaji
uwekezaji tanzania
wote
Taarifa za awali kutoka eneo la Ndutu, Kata ya Endulen, Wilaya ya Ngorongoro, zinaeleza kuwa leo Septemba 19, 2026, simba wapatao 10 wameuawa katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kisasi baada ya simba hao kuwala punda wawili wa wafugaji katika eneo hilo.
Taarifa zinaonesha kwamba awali simba...
Sifa zote ziende kwa mwenyezi mungu muumba mbingu na dunia. Vyote tuvionavyo duniani ni mungu alipanga na kiliandikwa kwenye kitabu cha enzi cha Mungu.
Binadamu wewe ni nani kuanza kuhoji au mpaka kukejeli muonekano wa kiumbe cha mungu kama sio ushetani ni nini. Hii ardhi ni ya mwenyezi mungu...
Kampuni za Tanzania bado zinakabiliwa na changamoto ya kutotambulika kwa kiwango kinachostahili katika mazingira ya biashara ya kimataifa. Hali hii inaweza kupunguza fursa za kampuni kupata uwekezaji, kuingia katika ubia wa kimkakati na kushirikiana na kampuni kubwa kutoka nje ya nchi.
Kwa...
Uganda has established some safety procedures for foreign students from Congo, due to high number of Ebola cases
Other East African countries are silent
Sio mara moja sio mara mbili watu wakileta changamoto zinazowakumba Watanzania humu kumekuwa na kauli chafu kutoka kwa baadhi ya wanaJF ambao nao ni Watanzania/Waafrika pia
Mfano, ukileta tatizo linalokumba jamii za Watanzania utakuta mtu anacomment "Waafrika ni nyani waliochangamka"
Kuna siku...
Kwanza, napenda kuwapongeza Tanzania Health Summit kwa kuanzisha na kuendesha tuzo zinazowatambua na kuwapa motisha wafanyakazi wa afya nchini Tanzania. Hili ni jambo zuri na muhimu, hasa katika mazingira ambayo mchango wa wataalamu wa afya mara nyingi haupati utambuzi unaostahili.
Pia, sina...
Tanzania imeamua kuigusa sekta ya Teknolojia kwa njia ya kipekee 🔥🔥🔥
Wabunifu wa Tanzania wamekuja na miwani yenye AI inayolenga kuwasaidia watu wenye ulemavu wa kuona kutambua na kuelewa mazingira yanayowazunguka. 🧠👀
Miwani hii inaweza kutumia teknolojia kama kamera, AI na sauti kusaidia...
ai glasses
bongotech255
meta ai glasses
tanzaniatanzania innovation
tanzania institute of accountancy
tech tanzania
technews
technology
teknolojia
teknolojia ni yetu sote
UNIDO yaahidi kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano barani Afrika katika utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Ushirikiano na UNIDO (PCP)
Ahadi hiyo ilitolewa na Bi. Fatou Haidara, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa UNIDO alipofanya mazungumzo na Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo...
Ila safari channel ya sasa wao wakifanya kipindi kimoja tu kwisha?
Yanachomeka flash drive, tunaangalia marudio ya mwaka 47 huku yenyewe yamekaa tu ndani na kupalilia mavitamvi yao ya kipumbavu .
Yanaonyesha maua uchwa mwezi mzima na vile nyimbo vyao uchwara
Safari channel kama...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kupitia Rais wake Patrice Motsepe, limeeleza kuridhishwa na maendeleo ya maandalizi ya Tanzania kwa ajili ya AFCON 2027. Motsepe amesifu juhudi zinazofanywa nchini katika kuboresha miundombinu ya viwanja na maandalizi mengine, huku akisisitiza...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetoa taarifa rasmi inayoeleza mabadiliko katika mfumo wa elimu ya msingi kwa wanafunzi wa shule nchini Tanzania.
Mabadiliko haya yanatekelezwa kwa mujibu wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 pamoja na Mitaala iliyoboreshwa, kwa lengo...
Tarehe 16 Septemba 2026 Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius John Ndejembi alitembelea Ubalozi na Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Vienna. Wakati wa ziara hiyo, Mhe. Makamu wa Rais alisaini kitabu cha wageni, kupitishwa kwenye Ofisi za...
Tanzania imeanzisha mandatory travel insurance kwa wageni wanaoingia Mainland Tanzania, hatua ambayo itaongeza gharama ya safari kwa baadhi ya international visitors.
Chini ya Insurance (Inbound Travel Insurance) Regulations, 2026, foreign visitors wanaolengwa watalipa USD44, takriban KSh5,700...
Kulingana na Jeffrey Winter (2011) katika kitabu chake cha siasa za kimtandao(Oligarchy) anasema " Mfumo wa siasa za kimtandao unajengwa na mtandao wa wasomi wa kiuchumi wanaotumia ukwasi wao kulinda mali zao na kushawishi maamuzi ya Serikali.
Maelezo hayo yaliyotolewa na Jeffrey yanatupa...
Habari ndugu zangu Watanzania
Mara nyingi na kwa kipindi kirefu tumekuwa tukisikia na kuambiwa kuwa Tanzania taifa letu ni kisiwa cha amani, kwamba tofauti na mataifa mengine Tanzania ni nchi yenye utulivu na amani, lakini bila shaka jambo hilo siyo la kweli tena. Kwani
Ripoti ya tume ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.