sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mama Edina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sehemu za kazi ni sehemu hatari sana ingawa tunapokea chochote kitu

    Waungwana, Maeneo tunayojidai ni maeneo ya kazi au shughuli zetu tunazotenda kila siku ni sehemu ambazo zina michakato kiutendaji na fani na maudhui mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku. Ni sehemu tunamoonesha utendaji kazi ili kiuweza kumshawishi boss akupe bonus kama ni kiwandani na...
  2. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Mikopo inayoendelea kuombwa kwa kasi na Serikali hivi huwa inaenda kweli kwenye sehemu husika au inaisha tu juu juu?

    Ndugu zangu watanzania hivi hili wimbi kubwa la mikopo inayokopa serikali huwa inaishiaga wapi mbona hatupewi maelezo yoyote au taarifa yoyote kuhusu utekelezaji wake? Nchi inaingia kwenye madeni makubwa sana hii lakini huku gharama za maisha zikizidi kupanda na asilimia kubwa ya wananchi...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Waafrika acheni kudandia watu, tengenezeni vya kwenu ili waone fahari kuwa sehemu ya Afrika

    Huyu dogo ameteka mioyo ya watu wengi baada ya kuonesha kiwango kizuri cha kusakata soka. Kama ilivyo kawaida ya Waafrika, Wazimbabwe tayari wameanza kelele nyingi na kumkaribisha team ya taifa na tayari wameshampa uraia 😂😂😂. Mitandaoni huko dogo anatukanwa sana baada ya kusema ukweli kuwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea ikiwa marehemu aliombwa akifa azikwe sehemu fulani lakini akazikiwa sehemu nyingine?

    Nini kitatokea ikiwa marehemu aliomba/alitaka akifa azikwe sehemu fulani lakini akazuiwa sehemu nyingine? Naomba kufahamishwa wajuzi wenye historia waliowahi shuhudia matukio haya ikiwa marehemu wakati wa Uhai wake aliomba/alitaka akifa azikwe sehemu fulani lakini baada ya kifo Ndugu/jamaa...
  5. Vangigula

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sehemu safi naweza oga Dar es Salaam

    Hope mmeamshwa salama. Ningependa kujuzwa kama kuna sehemu safi Dar wanayotoa huduma ya bafu / kuoga tu (bila kujali kama mtu amelala hapo kwao). Kama zipo za karibu na Ubungo, ingependeza zaidi. Natanguliza shukrani
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Korea ya Kusini upo sehemu gani hapa Dar es Salaam

    Habari wakuu, Nahitaji kufika ubalozi wa Korea ya Kusini mida hii. Naombeni location, nimejaribu kutafuta Google naona picha picha.
  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Waislamu nchi wakipelekwa kwenye nchi wanazoona bora watarudi mbio Tanzania wakiangalia amani walioiacha hapa

    Ukitaka kujua shida angalia wale kila kukicha wakikimbilia Ulaya kutafuta amani na utulivu na nchi nyingi ndio za kiislamu. Sasa kuna Msomali mmoja alikuwa rafiki yangu sana japo Kiswahili chake cha shida kwa sasa yupo Canada, kuna neno aliniambia; "Hawa wanaojifanya hapa Tanzania uislamu...
  8. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Covid-19 ilipunguza magonjwa ya milipuko kama kipindupindu, red-eyes na typhoid sababu ya kila sehemu kulikuwa na ndoo za kunawa mikono

    Ugonjwa wa covid19 ulipoingia tulijaribu kuweka mbinu nyingi kila mtu kujua atajisaidia vipi ili kujiokoa na gonjwa ili sitosahau mpaka malimau yakapanda bei. Serikali ikaweka mpango maalumu wa kila sehemu kuhakikisha kuna ndo ya maji safi na kila sehemu utakapo kwenda kunawa mikono kabla ya...
  9. ward41

    JamiiForums Tanzania Sehemu kubwa ya dunia hawafanyi tohara, wanatumia toilet paper, tembea uone

    Ukikaa sehemu moja, unaweza sema dunia iko hivyo. Hapana dunia haiko hivyo. Ukweli ni kwamba sehemu kubwa ya dunia wanatumia toilet paper na wanaume hawafanyi tohara. Asia, Europe, America, Pacific, Australia ni mwendo wa toilet paper na wanaume wengi hawajafanya tohara. Mambo ya tohara yapo...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Baba Mkwe simwelewi. Naona kama vile kuna sehemu hayupo sawa. Tusaidiane wajameni

    Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo. Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hamna maajabu, tunatumia pesa nyingi bure!

    Mimi kama kawaida, niko upande wa wanaume na katu siachi kuwasanua wanaume wenzangu juu ya utapeli wa kingono. Hakuna maajabu. Nimefanya tendo la ndoa na wanawake wengi nimegundua kuwa hakuna jipya, wanawake ni overrated. Ukimwaga ndio utajua hili ninalolisema. Tunatumia pesa nyingi kuwinda...
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwahi kutana na mpenzi wako ambae mlipotezana bila mawasiliano huku penzi likiwa moto? Mliendelea mlipoishia?

    Inatokea kuna umepata mwenzako penzi ni moto ila ghafla mkapotezana bila mawasiliano hata kwa miaka kumi Ghafla mnakutana upya hasa ukiwa kwenye ndoa ama mwenzako akiwa kwenye ndoa Je uliwahi kutana na aina hii kitu ?
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel yacharuka, yasema imejiandaa kupiga sehemu yoyote nchi za mashariki ya kati

    Msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagar amedhihirisha nia ya Israel iliyojificha kwa kusema wamejiandaa kujibu mfano wa mapigo ya HezboLlaah si Lebanon tu bali sehemu yoyote ile ya mashariki ya kati. "We do not choose war as our first priority, but we are certainly prepared," Hagari said."We...
  14. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Exposure unaipata sehemu yoyote ile as long un smartphone na bando

    Bado kuna watu wanaamini ili uwe na exposure lazima uende abroad kwa dunia ya science na technologia unahitaji tu simu yako ya smartphone na bando utajifunza jambo ambalo unalitaka Sikatazi watu kwenda abroad kama umepata nafasi ni vizuri ila kama hujapata wekeza mda wako kwenye kuperuzi mambo...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Sehemu ya kusubiria boti Zanzibar inatia aibu

    Mamlaka ya bandari Zanzibar sidhani kama haioni hali ya sehemu ya kusubiria boti kwenye bandari yao. Wateja wengi wa boti hupanda economy class ambayo watu wengi husubiria huku kwenye viti vya plastic. Safari inamtaka mtu afike pale walau lisaa limoja kabla. Hivyo hutumia viti akisubiria...
  16. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Je, jeshini na vyuoni ndio sehemu kubwa za kuleta teknolojia mpya kwa nchi?

    Jeshi na vyuo vikuu vinaweza kuchangia katika kuleta na kukuza teknolojia mpya kwa nchi, lakini ni muhimu kutambua kwamba sehemu zingine za jamii na sekta zinaweza pia kuchangia kwa njia kubwa. Hapa kuna jinsi ambavyo jeshi na vyuo vikuu vinaweza kuwa sehemu muhimu ya kuleta teknolojia mpya...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania KERO Sehemu za kuvuka Morocco, Ubungo na Mbezi Louis ni mateso kwa Wananchi

    Salaam Wadau, Kama umewahi kufika Ubungo, Morocco na Mbezi Louis utakutana na kivuko cha watembea kwa miguu kinachopita juu ya barabara. Japokuwa sehemu hizo zilikuwa na nia ya kurahisisha uvukaji kwa Watembea kwa miguu, lakini namna vilivyotengenezwa vimekuwa kama adhabu kwa wavukaji wake...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu zinazofanya uendelee kung'ang'ania sehemu unayofukuzwa

    Yawezekana ukawa muhanga kwa sasa au ukawa tayari umepitia hali hiyo na ukikumbuka unajishangaa ni vipi uliweza kuvumilia ilihali ulikuwa unafukuzwa? Au ulipewa dawa? Muda mwingine sio dawa bali kuna sababu ambazo ndio kiini cha somo hili. Kuendelea kubakia unapofukuzwa kuna hasara nyingi sana...
  19. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kwani ni lazima Serikali kufanya miradi mikubwa wakati kuna kampuni zinaweza kukaribishwa kufanya miradi hiyo ili pesa ikatumike sehemu nyingine

    Dp world ni sawa kuja kuwekeza bandarini ila kinacho fanya watu kupigia kelele ni ili la mikata mibovu ambayo kila kukicha serikali ikidondokea pua na kuishia patupu. Kweli hipo miradi ambayo zinafanya bila serikali kama ya uchimbaji madini lakini hakuna manaufaa kwa wananchi wake wala faida...
  20. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwanaume na hakuna sehemu unaweza ukaaminika ukapewa milioni 1 hadi 3, jitafakari

    Kuna kipindi huwa tunapata matatizo ya ghafla, eidha msiba, maradhi etc. Kipindi kibaya siku zote huja ukiwa hauna kitu yaani mweupe kabisa mfukoni na unakuta kuna uhitaji wa pesa. Sasa kama wewe ni mwanaume haswa na hakuna sehemu unaweza ukaaminika ukaazimwa chochote iwe kazini, marafiki...
Back
Top Bottom