times fm

  1. Heparin

    SI KWELI Picha ya Rais wa Senegal, Diomaye Faye akiwa shambani na mke wake

    Picha hii inadaiwa kuwa ya Rais Mteule wa Senegal, Diomaye Faye akiwa na mke wake. JamiiCheck naombeni ufafanuzi maana nimewahi kuiona sehemu fulani sikumbuki ni wapi, lakini ilikuwa inamzungumzia mtu mwingine kabisa.
  2. sanalii

    Ni aibu kwa chombo cha habari kama Times FM kutuma taarifa za uongo

    Picha inayosambazwa mtandaoni ikidaiwa kua ni raisi mteule wa senegal enzi hizo akiwa shambani na mke wake. Kwa akili ya wastani tu hata ukiwaangalia hawa ni qatu wawili tofauti. Picha ya kijana anaelima ilitumwa mwaka 2021 katika ukurasa wa facebook wa Zambia report, post hiyo yenye picha...
  3. C

    Juma Ayo: kanjanja anayejiita mchambuzi pale Times FM

    Yaani kama vile jamii ya Tz kwa sasa ilivyokumbwa na wimbi la kutisha la machawa pro max basi kuna hawa viumbe wanaojiita wachambuzi , kwa kweli ile sheria ya degree ianze tu hiyo December labda itapunguza vilaza waliojazana huko wakijipa majina ya soccer pundits Simba ilipopigwa hamsa hamsa...
  4. H

    Mbwiga Wa Mbwiguke wa Clouds FM amehamia Times FM

    Wadau naona mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo wa kituo cha Clouds FM, Mbwiga Wa Mbwiguke hivi sasa amejiunga na kituo kingine cha redio cha Times FM. Je, pengo la Mbwiga kwenye vipindi vya michezo katika kituo cha Clouds FM litaonekana? Kwasababu Mbwiga amekuwa ni mchekesheji sana...
  5. mayowela

    "Times FM" Nyumba ya Mapito

    Kituo cha redio cha Times kimeanzishwa muda mrefu sana kikiwa na gazeti lake la Business times sikuhizi sijui kama lipo, ni moja ya kituo ninachokikubali sana kina misheni zake na hakikurupuki, uendeshwaji wake naupenda sana, Muanzilishi alishatangulia mbele za haki, Mwenyezi Mungu amrehemu ila...
  6. Squidward

    Tanzia: Emmanuel Julius Magige "DJ RGUY" wa Times Fm afariki dunia

    Times FM redio, inasikitika kutangaza kifo cha Mwanafamilia wao DJ Rguy kilichotokea usiku wa kuamkia leo akiwa kwenye majukumu yake ya kawaida nje ya kazi. Hii ndio taarifa iliyotolewa na kituo cha Times FM kuhusiana na msiba huo; "Ndugu zetu.. Wanafamilia ya Radio Times tunasikitika...
Back
Top Bottom