udhaifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

    Kwanini wanaume wengi (si wote) wana udhaifu mkubwa kwenye kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu? Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi? Tumeona visa vya kugombea hata vitu...
  2. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Je, jinsia ya kiume ni dhaifu?

    Kwanini wanaume wengi (si wote) wana uwezo mdogo sana wa kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu? Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi? Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Usichanganye huruma na udhaifu, wala nguvu na ukatili.❗❗❗

    Wakati ulikuwa msumari, ulijifunza kwamba dunia haipunguzi nguvu kwa sababu wewe unaumia. Sasa ukiwa nyundo, usisahau somo hilo. Lakini mpiganaji mwenye akili hapigi kila kitu anachokiona. Anajua wapi apige, lini apige, na ni pigo gani litakalomaliza vita badala ya kuanzisha vita vingine...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Hongera Tundu Lisu umeshinda Kwa kiwango kikubwa kufunua Kwa kiwango kikubwa udhaifu wa mifumo yetu serikali bungeni sasa mahakamani mission complete

    Hapa ni great thinker wanaweza kuelewa nachomaanisha hapa. Kazi kubwa ya Lisu amehitimisha Leo kufunua udhaifu mkubwa wa mihimili ya nchi yetu. Kazi imebaki Kwa wananchi kuchukua hatua za kufanya mabadiliko makubwa kwenye hiyo mifumo yetu . Kama alivyoelezea historia yake inaonyesha akijaribu...
  5. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mahakama Haulindwi kwa Maneno, Bali kwa Muundo: Kwanini Kauli ya kikatiba kwamba "Mahakama ni huru", bila muundo bora ni Udhaifu mkubwa..?

    Karibu kila Katiba duniani inasema "Mahakama ni huru." Ni sentensi rahisi kuandika, lakini historia imeonyesha mara nyingi kwamba sentensi hiyo peke yake haitoshi. Uhuru wa kweli wa Mahakama haupimwi kwa maneno ya utangulizi, unapimwa kwa maswali magumu zaidi: nani anateua Majaji, kwa muda gani...
  6. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Napambana na uraibu wa kutamani wanawake

    Moja ya kitu kinachonisumbua ni kuwa mimi ni mraibu wa wanawake. Ni kitu nilicho dhani nimesha kishinda, ila baada ya kupata vijisenti juzi kati nimejikuta automatically hii hali inanijia hasa kwa hatari mbaya sana... Napenda sana wanawake, nikiona mwanamke mrembo, mwenye uzuri wa umbo mpaka...
  7. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Utamaduni Wetu Unavyotufunga Kisiasa

    Katika kuangalia hali ya kisiasa inavyo kwenda sasa, kuna kitu kimoja ambacho wabongo wengi kama hatukioni ila ndo msingi mama wa haya yote na ndo maana hii nchi tumeshikwa kama mburula. Ni kuwa, watanzania(wamatumbi) culture na tabia zetu ambazo ziko ndani yetu zinatufunga. We've no common...
  8. Nestory Semeni

    JamiiForums Tanzania Uzembe vs Udhaifu

    Kuna uzembe na udhaifu na mara kwa mara ninekuwa nachanganya hivi vitu, Uzembe kuufanya uonekane udhaifu na hivyo nibebwe au ile kuonewa huruma kwamba "ni udhaifu tu" Lakini kiuhalisia ni uzembe mkubwa uzembe sasa naona ni pale ninaweza kufanya kitu ili mambo yabadilike na bado sifanyi Na...
  9. G

    JamiiForums Tanzania UPDATE kesi ya Lisu inampa umaarufu zaidi na kuonyesha udhaifu mkubwa wa mihimili yetu wakiwemo WATUMISHI wengi vilaza turudi TU kwenye maridhiano

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 241 Mhe. Lissu anaendelea kumdodosa Shahidi wa kificho wa Jamhuri. Mhe Lissu: Ulisema mlikuwa na Camera ya Sony NX, Kweli si kweli ? Shahidi wa kificho P: Kweli Mhe Lissu: Kwenye kielelezo mlikuwa na camera tatu, sasa kuna mashahidi wamekuja hapa Mahakamani...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa waziri Makonda: Fuatilia michezo ya Jumuiya ya Madola genji inatia udhaifu timu ya taifa ya riadha

    Ni ukweli usiopingika kwamba kwasasa Riadha imekua. Ukuaji huu kwa umetokana na mazingira rafiki yaliowekwa na serikali hususani kupitia taasisi mbalimbali zikiwemo majeshi kwa kuajiri wana riadha ambao hawana kazi ingine yoyote zaiid ya kukimbia, na uboreshaji wa miundombinu mbalimbali na...
  11. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ni udhaifu unaotokana na uroho

    CCM kwa uroho wao wa madaraka wanadhani maridhiano ni ushujaa! Penye haki hakuna maridhiano, hili ndilo CCM wasilolijua! Kilichofanyika Zanzibar ni kurudisha nyama kwenye sinia la pilau ili waote mfaidi, pongezi kwa mroho kujitambua na kujirudi. KWENYE HAKI HAKUNA MARIDHIANO.
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa intelijensia ya "CIA" katika usomaji wa vitisho vinavyoibuka

    👉 1. Bay of Pigs (1961) - CIA ilipanga kuuangusha utawala wa Fidel Castro kwa kutumia majeshi ya wahamiaji wa Cuba waliokuwa uhamishoni. Operesheni ilifeli vibaya baada ya Cuba kujua mapema na Marekani kukosa msaada wa anga wa kutosha, hivyo washambuliaji wengi walikamatwa au kuuawa. 👉...
  13. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Angalia huu udhaifu mkubwa kwenye akili ya binadamu ambao wanaojipa title ya mamlaka wanautumia kwa maslahi yao

    ‎Mwaka 1961, mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Yale, Stanley Milgram, alifanya jaribio ambalo lilionyesha jinsi ubongo wa binadamu unavyofanya maamuzi unapokua chini ya mamlaka fulani na kuibua swali zito kuhusu utii wa binadamu kwa mamlaka. ‎ ‎Katika jaribio hilo linalojulikana kama Milgram...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tabia yako mbaya kwa mumeo ndio italeta mwanamke mwingine.. wanawake wa nje huondoa udhaifu wa wanawake wa ndani

    SHALOM WANA WA MUNGU ALIE HAI TABIA MBAYA KWA MUMEO NDIO INALETA MWANAMKE MWINGINE KWENYE NYUMBA YAKO MPENDWA ULIEOLEWA MUMEO AKITOKA NJE SHETANI ATAITUMIA KUPATA MWANAMKE AMBAE HANA HIO TABIA UNAYOMFANYIA MUMEO NDANI eg Mwanamke anaemtukana mumewe shetani anamfanya kumkutanisha na mwanamke...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rushwa inanuka na udhaifu wa wakuu wa Wilaya

    Migogoro ya wakulima na wafugaji ipo kwa miaka mingi sana, ilishamiri mno kipindi cha awamu ya nne, pale nchi ilipopata changamoto ya uakame miaka ya 2006 mpaka 2007 wafugaji walihama hama sana kutoka mwanza geita kahama simiyu arusha manyara kuelekea kusini , bonde la usangu, wami , kilombero...
  16. Trayvess Daniel

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hakuna watu wa nje wa kuja kutusaidia kuondoa udhaifu wa kimamlaka tulionao bali ni NGUVU YA UMMA/WANANCHI/WENYE NCHI

    Mtu wa nje/jirani hawezi kujua ugumu unaopitia bali wewe mwenye nyumba ndio muhusika Najua watu wengi wanatamani sunctions na international organizations kufanya jambo. Ni jambo zuri na la kheri katika kusaidia kupush mapinduzi tunayoyapigania. Lakini vinara wa kwanza wa haya mapinduzi ni sisi...
  17. covid 19

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maamuzi ya kuisimamisha nchi kwa hofu ya maandamano ni ishara ya udhaifu, si uongozi

    Kwa siku kadhaa kumekuwa na gumzo kuhusu maandamano ya Dec 9. Watanzania wengi tulitarajia baada ya kilichotokea Oct 29, serikali ingekuja na mikakati mipya, yenye hekima na inayostahili nchi yenye utulivu kama Tanzania. Lakini cha kushangaza mbinu zilezile zilizotumika mwishoni mwa Oktoba...
  18. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amri ya kuua ya waandamanaji na udhaifu wa kiakili wa askari kuitekeleza

    Sote tunajua kwamba, Askari wa Tanganyika ni yale mazezeta sugu yaliyoshindikana shuleni yakabebwa na kupelekwa depo. Askari wa aina hii ukimpa Amri ya kuua lazima umsimamie kwa karibu sana na umuelekeze kinagaubaga maana ya Amri hiyo. Ninaamini wengi wao (askari) hawakuelewa nini...
  19. Criss

    JamiiForums Tanzania Kuiomba haki yako ni ishara ya udhaifu, tusikubali

    Watu wanatufyagia tena kwa macho makavu halafu sisi tunawabembeleza watutendee haki ,kama siyo ukichaa ni nini? Kama Taifa zima linakosa hata wanaume watano tu wakuweza kuirejesha heshima kwenye misingi yake , tunatofauti gani na jamii ya mashoga ?😎 Hivi inatuingia akilini Taifa zima liwe la...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Walioenguliwa uchaguzi wa ndani kuhamia upinzani na kuteuliwa kuwa wagombea ni kukua kwa demokrasia au udhaifu wa upinzani kukosa wagombea wenye sif?

    Tumeshuhudia uchaguzi ndani ya chama tawala nchini ukitamatika hivi karibuni. Uchaguzi ambao umewaacha/ kuwaengua waliokuwa wabunge katika majimbo mbalimbali. Licha ya rafu katika chaguzi hizo; baadhi ya waliokua wagombea wameingia katika vyama vya upinzani kwenda kupeperusha bendera kupitia...
Back
Top Bottom